members

A member of parliament (MP) is the representative of the people who live in their constituency. In many countries with bicameral parliaments, this category includes specifically members of the lower house, as upper houses often have a different title. Member of Congress is an equivalent term in other jurisdictions.
Members of parliament seem to tend to form parliamentary groups (also called parliamentary parties) with members of the same political party.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Utakapo kufa leo unadhani members wenzako wa jf watajua au ndio ile fulani mbona haonekani hewani?

    Nianze kwa habari hii, kuna mama mmoja alikuwa pale TRA tawi la Kinondoni,alikuwa mama poa sana,ukienda pale kufanya makadirio huwa anakupa ushirikiano mzur sana na mwisho wa siku mambo yanakuwa sawa. Kama Miaka miwili au mitatu iliyopita nilimtafuta kwenye call kutaka kumuuliza jambo...
  2. JamiiForums Tanzania Hatujuani ila kuna members wenzetu humu JF na hata ndugu zako matajiri wanaingiza hela za usiku wengine wanaita husttle wengine wanaita black market

    uchumi wa dunia sio GDP rasmi za nchi pekee kuna upande mwingine mkubwa sana wa uchumi ambao haupo kwenye reports rasmi za serikali wala World Bank. Huu ndio Black Market au unaeza ita Shadow Economy. Inaaminika karibu asilimia 5 ya GDP ya dunia hupitia kwenye money laundering na criminal...
  3. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Over 1.2 bn already spent on iPads for members of parliament

    The Clerk to Parliament, Adolf Mwesige, has revealed that Parliament has already procured iPads for all Members of Parliament, with distribution expected to begin soon as part of efforts to facilitate digital operations within the House. According to Mwesige, each iPad is valued at...
  4. JamiiForums Tanzania Akili za members hawa apewe JF Founder Melo kama shukrani kwa kutuletea JF

    Nafikiri huu sio uzi wa kwanza ila leo natoa shukurani zangu za dhati pia kwa alieanzisha JF na akatuletea mungu amuongezee akili zaidi kutoka kwa baadhi ya members humu. Akili za baadhi ya members kama The Icebreaker , adriz de mbusi , chai ya rangi , Holoholo-Baba Kijacho na akili za church...
  5. JamiiForums Tanzania Natamani sana hawa guest wote 43k wangekuwa registered members hapa JF

  6. JamiiForums Tanzania Members Kimsboy na Webabu leo kiimyaa

    Tangu ijumaa Iran ilivyobahatisha kuidungua ndege ya kivita ya Marekani na rubani ku eject kimsboy na Webabu waliibuka mafichoni na kuanza kuposti propaganda mfulululizo. Ila leo kimya baada ya Marekani kufanya yao ndani ya Iran kwa msaada wa wateule Mossad. Hadi napoandika huu uzi hawaonekani...
  7. JamiiForums Tanzania Nimepiga Ban hawa members mpaka tarehe 11 /5 /2026

    Moja kwa moja. Zamani nilikuwa na mtazamo kuwa kitufe Cha ignore hakina maana na kuweka mtu katika ignored list ni udhaifu ila sasa nimebadili msimamo baada ya kupata kero ya members hao chini na kujaza notifications zisizo na maana kwenye upuuzi , ilikuwa naweza kukuta notification takribani...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KNCHR Report reveals business activities in Mau Forest infringe on Ogiek Community members rights

    The Kenya National Commission on Human Rights (KNCHR) recently released a report that details how local commercial operations marginalize the indigenous community. The "The Voice from the Land" report details the experiences of indigenous populations in 13 counties and emphasizes how government...
  9. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda EAC Heads of State Endorse Reforms Including New Pay Structure for EALA Members

    Leaders of the East African Community (EAC) have endorsed a series of reforms aimed at strengthening the efficiency and sustainability of the regional bloc’s institutions. Among the key decisions adopted by the Heads of State is a new arrangement under which members of the East African...
  10. U

    JamiiForums Tanzania The Department of War has named four of the six U.S. service members killed in a drone attack in Kuwait:,

    BREAKING: The Department of War has named four of the six U.S. service members killed in a drone attack in Kuwait: Capt. Cody A. Khork, 35, of Winter Haven, Florida; Sgt. 1st Class Noah L. Tietjens, 42, of Bellevue, Nebraska; Sgt. 1st Class Nicole M. Amor, 39, of White Bear Lake, Minnesota; and...
  11. JamiiForums Tanzania Maombi naalum kwa viongozi wafanyakazi wa JF na members Mungu akafanye kuwa mbaraka kwenye nchi yetu mkawe juu mkabarikiwe mpaka

    Prayer for YOU! Father God, Tonight I lift up my Jf family to You. Every mother, every father, every business owner, every leader, every person carrying silent battles that nobody else sees. Lord, Your Word says You give sweet sleep. So I declare sweet sleep over their homes tonight. For the...
  12. JamiiForums Tanzania Hebu wataje members ambao huwa unalike post/comments zao hata kabla ya kuzisoma

    Kuna Yule member ambaye pindi unapokutana na thread ama comment yake mahali unaanza kwa kugonga like Kwanza kisha unatulia na kusoma vizuri alichokiandika kwa sababu unajua ameandika madini matupu Twende kazi
  13. JamiiForums Tanzania Ebu bashiri umri wa members humu JF

    Mshana Jr 46 cocastic 31 Binti wa zamani 40 Hannah 35 Kiranga 37 secretarybird 31 ELI COHEN 34 ERoni 36 hamis77 35 FaizaFoxy 48 ephen_ 36 dosho12 30 Vincenzo Jr 31 Maxence Melo 48 Chica Gee 27 Dr am 4 real PhD 42 Mallerina 28
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Michango ya members wa JF kuhusu ndoa huifanya ndoa ionekane ni taasisi ngumu sana

    My people, Wachangiaji wa JF Wanaifanya Ndoa Ionekane Ngumu Kuliko Uhalisia Wake Katika miaka ya karibuni, mitandao ya kijamii imekuwa kama kioo cha maisha ya watu, lakini mara nyingi kioo hicho hakioneshi picha halisi bali taswira iliyopambwa au iliyotiwa chumvi. Moja ya maeneo yaliyoathiriwa...
  15. JamiiForums Tanzania Tukielekea kufunga mwaka taja Members wako bora watano kwa mwaka huu 2025-Top 5

    Tupo ukimgoni wa mwaka huu uliokuwa na shuruba nzito nzito Kwa hakika ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu mpaka leo imetukuta tukiwa tunavuta pumzi yake Hawa ni members bora kabisa kwangu kwa huu mwaka 2025 1. Binti wa zamani at the top 2. Manyanza 3. Sizinga 4. Chief-Mkwawa 5...
  16. JamiiForums Tanzania Undumilakuwili wa JF Members

    My people, Utangulizi: Kwanza naomba kutoa shukrani zangu za dhati kwa members wote ambao bila kuchoka pamoja na kutukunwa na kurushiwa maneno machafu lakini bado mmesimama imara kupigania kile tunachokiamini nacho ni Tanzania yenye amani Tuendelee kupigania kile tunachoamini ni sahihi hata...
  17. JamiiForums Tanzania Tujifunze kutunza kumbukumbu za members wote wanaosapoti mauaji ya halaiki.

    Kumekuwa na wimbi la baadhi ya members kubeza juhudi za umma, kudhihaki wale wote waliouawa kikatili na na serikali iliopo madarakani. Wanaenda mbali zaidi na kutishia members wengine kuwa chamoto watakiona, kama haitoshi wamekuwa wakipita pm za watu na kuwatishia. Wao naona familia zao na...
  18. JamiiForums Tanzania Waogope members wakali nyuma ya keyboards, wenye vitendo sifuri katika kipindi hiki

    Waogope members wakali nyuma ya keyboards, wenye vitendo sifuri katika kipindi hiki.
  19. JamiiForums Tanzania Naomba tuwaite members wa JF ambao sasa hivi wanatamba kule TikTok

    Ni dhahiri kwamba baada ya JF kupigwa ban members wengi wamekimbilia kwenye mitandao mingine. Natumai kuwa membaz wengine wako Facebook, X (Twitter), na Instagram hiyo siyo shida sana. Shida ni kwamba members wengine sasa hivi wako TikTok wakifanya challenge ya Ngoma za akina Zuchu na Nandi...
  20. JamiiForums Tanzania JF-Expert members - mnaujua ukweli huu? Maneno yote tunayosema na kuandika, Mungu anayarekodi. This is serious!

    Mada hii ni maalum kwa ajili ya JF-Expert members. Kuanzia leo, tambua kuwa maneno unayo-post humu, licha ya kuhifadhiwa na servers za JF, yanatunzwa pia kwenye "servers" za mbinguni. Yesu mwenyewe alisema, “Lakini nawaambia, katika siku ya hukumu watu watatoa maelezo kuhusu kila neno walilonena...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…