membe

Bernard Kamillius Membe (born 9 November 1953) is a Tanzanian ACT-Wazalendo politician who was Minister of Foreign Affairs of Tanzania from 2007 to 2015. He served as a Member of Parliament for Mtama constituency from 2000 to 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. and 998 others

    Membe kwenda ACT 2020 mratibu NI Msoga boy?

    Polepole NI Noma. Anatema mawe hadi aibu. Project ya ACT imeanza siku nyingi
  2. Chizi Maarifa

    Kuna haja ya kuchunguza kifo cha Mkapa, Magufuli, Membe, Sitta na Ndugai

    Uchunguzi huru ufanyike na kwa watu huru ambao watatoa taarifa kwa uhuru kabisa bila woga au shinikizo. Hii itasaidia kuondoa hali ya sintofahamu ambayo imejitokeza kwa sasa na kukosekana kwa imani kwa serikali. Hali ni mbaya sana.
  3. E

    Mpina anarudia makosa yale yale ya kina Mrema, Membe na Lowassa

    Aliyekuwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina sasa amehamia CCM na anatajwa kuwa mgombea uraia s wa chama hicho katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Ilikuwa wazi kwamba Mpina asingepitishwa kwenye kura za maoni za CCM licha ya wananchi wa jimbo lake kumpenda. Hiyo ni kutokana na msigano wake na...
  4. N

    GE2025 2015 Lowassa alijitoa CCM , 2020 Membe alijitoa CCM, 2025 kuna dalili yoyote ya mwanachama mzito kuchomoka ?

    2015 - EDWARD NGOYAI LOWASSA 2020 - BENARD KAMILIUS MEMBE 2025 - ???? (Imekuwa Reverse kwa mkuu wa chama cha upinzani kwa muda mrefu)
  5. Knock life

    Nina mashaka makubwa na kifo Bernad Membe something is wrong .

    ...
  6. technically

    Kifo Cha Membe kifanyiwe uchunguzi

    Bado Nina mashaka na kifo chake Alikuwa mtia Nia urais 2025
  7. BLACK MOVEMENT

    Tuwe makini na sakata la Gwajima, huenda ni Move ya CCM ili atoke aende ACT akagombee Uraisi, kumbuka ya Membe

    Huenda kuna Move inatengenezwa ndani ya CCM na sisi hatuna habari tuna shangilia tu bila tahadhari yoyote ile. Swala la Gwajima ni kulishangilia kwa tahadharu kubwa sana. Swala la GWajima huenda ni systeam ndani ya CCM na Serikali wana itengeneza ila Gwajima atoke kwa kufukuzwa au kujidhulu na...
  8. Z

    RIP Fr Beda Pavel(OSB) mwalimu wa Membe na mlezi wa kiroho wa Kingunge Mwiru(1935-2025)

    FR Beda Pavel alizaliwa mjini Humberg ujerumani, alipadrishwa mwaka 1953 na kutumwa Tanganyika mwaka huohuo. Amewahi kufundisha Biology katika seminary kadhaa nchini, amehudumu parokia mbalimbali, mara ya mwisho alihudumu kama paroko wa parokia ya kilimahewa jimbo kuu la Dar es salaam. Fr Beda...
  9. Yoda

    Viktor Orban wa Hungary kama Membe wa ACT

    Huyu waziri mkuu wa Hungary ananikumbusha Bernard Membe alivyojiunga ACT akafanywa mgombea urais halafu akawa hafanyi kampeni anapiga ruti za Dubai tu na akagoma kujiuzulu pale chama chake walipoamua kumuunga Lissu mkono kama mgombea wao. Viktor Orban yeye anawatukana viongozi wenzake wa EU na...
  10. Waufukweni

    LGE2024 Polisi wamkamata na kumuweka Lock up Steven Membe, Mwanachama wa CHADEMA, nyumbani kwao Rondo

    Wakuu Yericko Nyerere ameandika; Jeshi la Polisi limemkamata Kamanda wetu Mwanachama wa Chadema Mhe. Steven Kamilius Membe nyumbani kwao Rondo na kumuweka Lock up ya Kituo kikubwa cha Polisi Lindi Mjini. Bado hakuna uwazi wa makosa wanayomshikilia nayo. Tunaendelea kufuatilia kwa ukaribu...
  11. Gabeji

    Haitatokea mwana-CCM jasiri na shupavu kama Marehemu Kachelo Membe 2025

    Bila shaka wote ni wazima wa afya njema. Ndani ya CCM haitatokea Mwanasiasa kama kachelo marehemu Membe, aliweza kumpinga wazi wazi Raisi Magufuli juu ya demokrasia, ndani ya CCM. Aliweza kuonesha nia ya kuchukua form ya kugombea urais kama sehemu ya kidemokrasia, mbali na vitisho alivyokuwa...
  12. Stuxnet

    Hongera Samia Kum-Endorse Dr Ndugulile; Mtangulizi Wako Aliwazuia Membe, Likwelile na Mulamula Wasiende AU

    Magufuli alizuia Benard Membe (RIP) asiende kazi ya AU, akamzuia pia na Sirvacus Likwelile (RIP) na Liberata Mulamula kwa kazi za Ukamishna walizopata AU. Rais Samia siyo tu ame mu-endorse Dr Faustine Ndugulile bali pia amemfanyia Kampeni kushinda nafasi ya Director- WHO Africa. Magufuli...
  13. B

    Kwa sasa sioni Mtu Mwenye Nguvu na Bold Man kama Hayati Membe kuelekea 2025

    Katiba ya Chama iko wazi. Inapofika wakati wa uchaguzi mkuu wa Urais Madiwani na Wabunge basi ndani ya chama kila mwenye sifa anaruhusiwa kuchukua form na kugombea. Endapo kama ana viwango na sifa takiwa basi Kamati Kuu ya CCM inaweza kumpitisha kama Mgombea wao. Achana na zile stori za...
  14. Nsanzagee

    Nchi inaweza kusahau uwepo wa kina Membe na wenginewe wengi ila si kwa watu kama Magufuli n.k

    Watu huja na watu hupotea! Lakini watu hao hao wengine huendelea kuishi kwa maana ya yale waliyowahi kuyafanya na kuyaacha kama mnara wa kumubukumbu zao kwenye vizazi na vizazi Watanzania wasipomuenzi Magufuli, Waganda watamuenzi pindi wanapokuwa wakiliona bomba la mafuta kuyoka Hoima kuja...
  15. D

    Stephen Membe aiteka Mtama, Nape amuomba Rais Samia kuokoa jahazi

    Stephen Kamilius Membe ambaye ni mdogo wake marehemu Bernard Membe amemkalia kooni Mbunge wa Mtama Nape Nnauye baada ya kuweka hadharani nia yake ya kugombea Ubunge wa Jimbo hilo kupitia CHADEMA. Upepo wa siasa hapa Mtama umegeuka ambapo kila kona ya Kijiji watu wanamuimba Membe tu mdomoni...
  16. D

    40 ya Membe yamvuruga Waziri Nape Nauye

    KWELI siasa ni mchezo wa ajabu. Tarehe 27/8/2023 kutafanyika maadhimisho ya kifo Cha utata wa Bernard Membe kijijini kwake Rondo-Chiponda mkoani Lindi. Waandalizi wa tukio hilo kutoka Dar es salaam wameamua kufanya hilo tukio la kishindo ambapo watu wapatao 1290 wanategemewa kuelekea Lindi...
  17. benzemah

    Rais Samia awatembelea Mzee Makamba, Mama Maria Nyerere pamoja na Familia ya Marehemu Membe leo 14 Julai 2023

    Kwa nyakati tofauti leo Julai 14 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ametembelea na kumfariji Mama Dorcas Membe Mjane wa Waziri Mstaafu wa Mambo ya Nje Hayati Bernard Membe nyumbani kwake Mikocheni Jijini Dar es Salaam. Rais Samia pia amemtembelea Katibu Mkuu...
  18. D

    Wazee wa Mtama wamgeuka Nape Nnauye. Kukutana 40 ya Membe kutoa laana!

    Wajumbe, hali ya siasa kwa Mbunge wa Mtama Nape Moses Nnauye inazidi kuwa mbaya kuelekea 2025 baada ya Wazee wa kabila la Wamwera kuafikiana kuwa kijana huyo hawezi tena kuwa chaguo lao na badala yake wanahitaji mtu kutoka katika familia ya Hayati Bernard Membe kama hatua ya kumuenzi...
  19. D

    Nape Nnauye jiandae kisaikolojia, Mtama wanataka Steve Membe kuwaongoza!

    Wana wema! Siasa za Lindi Jimbo la Mtama zimeanza kushika kasi ambapo harakati za kumtaka mdogo wake Hayati Bernard Membe, Steve Membe anatajwa kutakiwa kumrithi kaka yake jimbo la Mtama kama hatua ya kumuenzi huyo Mwamba wa Kusini. Jitihada hizo inadaiwa kufanywa vigogo wa chama huku majina...
  20. T

    Mikataba 40 ya Dubai! Mmoja ndio tayari, tunangoja inatokuja!

    Inasadikiwa kuna mikataba 40 ilisainiwa huko Dubai, mmoja ndio huoo.... nao ni wa uchungu kushinda Mwalovera na ndio wa kwanza tu kati ya hiyo yote! Itatofuata..... tusishangae kuona kipanda cha aridhi mkoa fulani kupewa hao jamaa kwa njia hizihizi za kubinafisisha! Nyaya zimeshagusana, moto...
Back
Top Bottom