meli

Meli is an Italian surname and a given name. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. MK254

    JamiiForums Tanzania Houthi wajaribu kuteka meli, wauawa 10 na jeshi la Marekani

    Hawa jamaa walidhani kila siku itakua sikukuu At least 10 Houthi rebels were killed today and two wounded when US forces struck their boats in the southern Red Sea, two sources at Yemen’s Hodeida port say. The US military earlier said it had destroyed several small boats operated by the...
  2. MK254

    JamiiForums Tanzania India yaapa kulipiza kisasi kwa shambulizi lililofanywa kwa meli yenye mizigo yake - Iran ijiande

    Ugaidi wa kidini unaifanya Iran izidi kutengeneza maadui hata kule ambapo hakukua na ugomvi. Ikumbukwe India ni ya nne kwa ubabe wa kijeshi duniani. New Delhi’s defense officials vowed to bring those responsible for the recent attacks on two predominantly Indian-crewed merchant vessels to...
  3. MK254

    JamiiForums Tanzania India yapeleka meli tatu za kivita, hii ni baada ya lile shambulizi la drones za Iran

    Muhimu sana dunia ikawa tayari kupambana na haya magaidi ya kidini yakiongozwa na kubwa lao Iran... India has said it is sending three warships to the Arabian Sea after a drone hit an "Israel-affiliated" merchant vessel off its western coast last week. MV Chem Pluto was attacked about 200...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Meli ya uvuvi ya Iran yatekwa na maharamia ya kisomali

    Mzuka wanajamvi, Naanza kwa kucheka hahaha kwikwikwi. Meli ya uvuvi ya Iran Almeraj 1 imetekwa na maharamia ya Kisomali ambao wanadai usd 400000 ili kuichia pamoja na wavuvi wake. Kumbuka Kwenye hiyohiyo bahari nyekundu Iran wanatumia wanamgambo wa Houthi kuteka meli za wateule Israel na...
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Meli yenye Wahindi yapigwa na drone ya Iran

    Mnapenda kulazimisha ugomvi kote kisha mnalia lia kwamba mnaonewa, fahamuni kwamba Wahindi nao ni kama Wayahudi, hupiga sana, temaneni nao, yaani kwenue maugomvi yenu temaneni na Wayahudi, Wahindi, Wachina. Shobo zenu tufanyieni sisi. ===== https://www.youtube.com/watch?v=tdcWFEf-zQI A...
  6. Webabu

    JamiiForums Tanzania Iran yatishia kuziba mfereji wa Gibraltar ambako meli zinazozunguka Afrika Kusini hupita kwenda Israel

    Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu wakati vita vikiendelea,mori wa vita sasa umepanda kwa Iran na kusema iwapo vita havitasimama basi dunia ijitayarishe kuona taifa hilo likiuziba mfereji wa Gibraltar. Mfereji huo kama ilivyo kwa mfereji wa Sueza na bahari nyekundu nao ni njia kubwa ya baharini...
  7. Webabu

    JamiiForums Tanzania Oman yasema hawaoni haja kuwabembeleza Houth kutozilenga meli huku vita Gaza vikiendelea

    Kumbe jumuiya ya kimataifa ilitaka kuitumia Oman kwa maslahi yake pekee bila kuzingatia athari nyengine.Jambo la kufurahisha ni kuwa katika mazungumzo baina yao ikiwajumuisha wanamgambo wa Houth,Oman imejitenga na harakati hizo. Kwa mujibu wa msemaji mmoja wa Oman ambaye hakutaka kujitokeza...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ansarullah: Msimu wa baridi kali umekaribia Ulaya; tukichokozwa tutapiga visima na meli za mafuta na gesi

    Mmoja wa viongozi waandamizi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amezionya nchi mbili za Kiarabu kwamba zisithubutu kuingia kwenye muungano wa Bahari Nyekundu wa Marekani na imetangaza wazi kwamba, kama Yemen itashambuliwa, basi harakati hiyo itajibu kwa kupinga visima na meli za maafuta na gesi...
  9. Ritz

    JamiiForums Tanzania Malaysia yapiga marufuku Meli za Israel kutia nanga kwenye Bandari yake.

    Wanaukumbi. Malaysia ilisema itazuia Huduma Jumuishi za Usafirishaji za ZIM zenye makao yake makuu nchini Israel kutia nanga katika bandari zozote za taifa la Asia ya Kusini-Mashariki, hatua ambayo inaashiria kuongezeka kwa kuchanganyikiwa kwa vita huko Gaza. Nchi hiyo pia inapiga marufuku...
  10. Webabu

    JamiiForums Tanzania Akili gani hii ya Kiafrika! Viwanja vya ndege vimefungwa na mashirika ya meli kubadili njia. Kenya na Malawi wanawaza kupeleka vibarua Israel

    Ikiwa ni mwezi wa tatu wa vita kati ya wapalestina na Israel bado vita vikali vinapiganwa katika ya jiji la Gaza na makombora kurushwa na kudondoka Tel Avivi la karibuni likiwa lile la jana. Hali hiyo imelazimisha viwanja vyote vya Israel kutokuwa salama kwa safari za anga kupelekea wafanyakazi...
  11. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bandari ya Mombasa haijawahi kupokea mizigo kama wakati huu, meli zinachepuka kutoka Dar

    Hivi kuna nini bandari ya Dar, je mwarabu aliyepewa kashindwa? Maana meli nyingi zimetamaushwa kwa kusubirishwa Dar hadi zimegeuza na kushushia mizigo Mombasa.... Nakumbuka mwarabu alipewa bandari zote baada ya Wabongo kushindwa, itabidi hatimaye zipewe mzungu maana hata mwarabu ni wale wale...
  12. Webabu

    JamiiForums Tanzania Oman yajiweka kimbelembele kutaka Houth waache kushambulia meli zipitazo bahari nyekundu

    Msemaji wa wanamgambo wa Houth amesema wapo Oman kwa mwaliko wa kuzungumza na upande mwengine wa kimataifa kwa ajili ya kuacha mashambulizi ya meli zinazopita mlango wa bahari wa Bab Mandeb. Mohamed Abdel-Salam hakutaja huo upande wa pili katika mazungumzo hayo lakini akasisitiza kuwa msimamo wa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Meli ya kivita ya USA yafukuzwa baharini na jeshi maji la Iran

    Jeshi la wanamaji la Irani limeiamuru meli ya kivita ya Marekani iliyobeba ndege za kivita zaidi ya 20 iondoke karibu na eneo la bahari la Iran na pia ishushe chini helcopter yake ya kivita ambayo ilikua ikifanya doria baharini. Baada ya ubishi kidogo,wakatii amri. Tazama tukio Zima la...
  14. Ritz

    JamiiForums Tanzania Yemen inalazimisha meli za Israel kuzunguka Afrika kupata hasara kubwa ya kiuchumi

    Wanaukumbi. ISRAELI WAPATA CHANGAMOTO YA USAFIRI 🇮🇱🇵🇸 Akifanyiwa mahojiano kupitia kituo cha redio cha 104 cha Israeli, Kamanda wa zamani wa Jeshi la Wanamaji la Israeli, Eliezer Merom alisema kwamba, "Israeli iko chini ya kizuizi cha majini. Kwa sasa inapata changamoto kubwa ya usafirishaji...
  15. Webabu

    JamiiForums Tanzania Meli yawaka moto Red Sea. Meli za kivita za Marekani na Ufaransa zimeshindwa kuzuia shambulio

    Meli inayoitwa Mt/Stindra inaendelea kuwaka moto na karibu ya kuzama baada ya makombora ya Houth kuishambulia katikati ya meli kadhaa za kivita za Marekani na Ufaransa. Kwa mujibu wa wasemaji wa jeshi la Marekani ambao hawakutaka kutajwa majina yao meli hiyo ilishambuliwa kwa kombora moja tu...
  16. Ritz

    JamiiForums Tanzania Yemen yeigeuza meli ya Israel kuwa kivutio cha watalii

    Wanaukumbi. 🇾🇪🇮🇱 The Yemenis have turned the captured Israeli ship into a tourist attraction Visitors are seen dancing, smoking waterpipes, and chilling on the ship. =============== 🇾🇪🇮🇱 Wayemeni wamegeuza meli ya Israel iliyotekwa kuwa kivutio cha watalii. Wageni wanaonekana wakicheza...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Bandari Tanzania mnapotoa ufafanuzi wa hoja kuweni makini; meli kukaa bandarini siku 20 ni sifa?

    Bandarini kuna shida, viongozi wanashangilia meli kukaa zaidi ya siku ishirini bila kukamilisha huduma. Mamlaka inatuambia ongezeko la meli kwao ni kikwazo badala ya kuwa fursa. Kibaya zaidi pamoja na mifumo waliyonayo ila wanadiriki kuwaambia waaguzaji mizigo kama wana malalamiko waende...
  18. Webabu

    JamiiForums Tanzania Marekani yapata kipigo chake cha mwanzo Red Sea. Yakiri meli yake kupigwa makombora ikihusiswa na vita vya Israel

    Pentagon imekiri meli yake ya kivita iitwayo USS Carney imepigwa kwa makombora kwenye bahari nyekundu.Vipigo hivyo vimehusishwa na vita vya Israel huko Gaza na kwamba meli nyengine za kibiashara zinazohusishwa na Israel nazo pia zimeshambuliwa. Bado haijawekwa wazi kiwango cha hasara na nani...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Marekani lakamata magaidi 5 walioteka meli ya mizigo ya Muisraeli

    Jeshi la Marekani limewakamata washambuliaji watano waliokamata meli ya mizigo yenye uhusiano na Israel katika Ghuba ya Aden huku kukiwa na mashambulizi ya makombora kutoka Yemen inayodhibitiwa na Wahouthi. Mwangamizi USS Mason alijibu siku ya Jumapili wito wa SOS kutoka kwa meli ya kibiashara...
  20. Webabu

    JamiiForums Tanzania Meli ya 3 ya Israel yatiwa nguvuni Yemen

    Huu ni mwaka wa wanamgambo wa Houth kupata ngawira kutokana na vita vinavyoendelea huko Gaza. Muda mfupi ulopita meli nyengine yenye mafungamano na Israel imetekwa kwenye bahari ya Aden Meli hiyo ya inayoitwa central Park inamilikiwa na kampuni ya ZODIAC MARITIME ambayo ni mali ya tajiri wa...
Back
Top Bottom