media

  1. Natamani siku moja nione JamiiForums kama social media platform inayomuingizia pesa kila mwanachama

    Nina imani kubwa sana na uongozi wa Jamii forum na ninadhani imani yangu inaweza ikawa kubwa kuliko ilivyo sasa. Sijawahi kujuta kuwa mwanachama wa jamii hii pana yenye muono wa aina yake katika kuibua mwamko kwa jamii kuhusu masuala mbalimbali ya kiuchumi, kijamii na kisiasa. Nimejifunza mengi...
  2. Sera za kibiashara za DStv na media zingine zinakera

    Kwa ukweli kuna sera zingine za kibiashara zinakera sana, mfano DStv unakuta wanataka malipo ya kifurushi cha mwezi wakati unakuta kwa mwezi mtu anapata muda wa kuangalia TV mara mbili au tatu. Sasa kwanini kusiwe na kifurushi cha siku, wiki na mwezi kulingana na mtumiaji atahitaji kifurushi...
  3. Tanzania tuna uhuru wa habari, ila media oga! Tungekuwa mbali sana kimaendeleo, rushwa, uhujumu, ufisadi, ubadhirifu vingeibuliwa kabla

    Wanabodi, wale wenye access angalieni Star TV, kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari kinachorushwa live na Star TV, kila siku za Jumamosi asubuhi, leo Mtangazaji Mahiri, Leonard Mapuli yuko na Mkurugenzi Mtendaji wa Umoja wa Press Clubs, UTPC, Aboubakar Karsan, anamwaga nondo za kufa mtu...
  4. B

    Je, ni kweli Wasafi Media washakubali kuwa kivuli cha EFM?

    Ulimwengu wa entertainment (burudani) unaenda kasi sana, vitu vinabadilika kila leo, level ya ushindani imekuwa kubwa pia, mbali na kushuhudia hamahama ya watangazaji kutoka Media House Moja kwenda Nyingine, na tulipofikia ilishakuwa jambo la kawaida sana. Kwa wiki sasa nimekuwa nikifatilia...
  5. Harmonize: Nimewalipa Wasafi Tshs milioni 500 kuvunja mkataba

    Akihojiwa na Clouds FM kwenye XXL amesema imemlazimu kulipa million 500 ili kuvunja mkaba na Kampuni ya Wasafi. Amesema kampuni ya Wasafi walimzuia kutumia chochote kilichotokana na Wasafi ikiwemo jina la Harmonize, nyimbo zake, akaunti za mitandao ya kijamii na mengineyo. Ili kuendelea...
  6. Wasafi Media na anguko la East Africa Radio

    Hii wiki imeanza kwa kishindo upande wa Kiwanda cha media baada ya Wasafi Fm kufanya utambulisho wa watangazaji wa kipindi cha michezo cha Sport Arena, utambulisho uliojaa manjonjo na mbwe huku wakiwa wameacha vilio na mapengo kwenye baadhi ya vyombo vya habari, Biashara ni Ushindani, eeeh ndio...
  7. Tanzania supports China on Hong Kong crisis, blames Western media

    Dar es Salaam. The Tanzanian government said on Wednesday October 23 that it supports China’s position in the Asian country’s ongoing dispute with Hong Kong. Justice and Constitutional Affairs minister Augustine Mahiga said this during a dinner hosted by the Chinese embassy to commemorate five...
  8. H

    Kesho ndio uzinduzi wa kipindi Cha michezo wasafi media

    Kesho kuanzia saa 12 asubuhi wasafi media chini ya CEO wao diamond platnumz wanatarajiwa kufanya tukio kubwa la kulouch kipindi kipya Cha michezo pamoja na mambo mengine Kama suprise kwa mashabiki wao na mgeni rasmi atakuwa waziri wa sanaa na michezo Harrison mwakiembe.ukiachana kuuzulia kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…