mdogo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwa walimu tu; Bachelor of education in special needs vs Bachelor of education in policy planning and management ipi inamfaa mdogo wangu?

    I salute you kinsmen. Mdogo wangu kutoka kijijini alichaguliwa chuo huku mjini na ndio vile alipata ualimu kama mnavyojua maskini yeye ni ualimu ndiyo unamfaa ameona. Alichaguliwa hiyo Bachelor of education in policy planning and management lakini aliomba Bachelor of education in special...
  2. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ana uwezo mdogo mno wa uongozi ukimlinganisha na Dkt. Slaa au mbowe ambao angalau wana maono

    Ukiachilia mbali hekima na busara za kiuongozi na kimamlaka kumpitia mbali, saikolojia na uzalendo wake ni wa mashaka zaidi ukilinganisha na hao wengine japo nao familia ziko ughaibuni. Hana maandalizi wala mpangilio wa kujieleza. Ni kama analalamika tu kwa kila kitu. Akijieleza binafsi...
  3. JamiiForums Tanzania Tatizo Sio business idea, tatizo ni mtaji mdogo, biashara zipo NYINGI Ila limit ni mtaji mdogo.

    Biashara zipo kila Kona biashara yoyote ukiinvest Hela hata biashara ya makopo inaweza kukutajirisha. Ila tatizo linakuja kwenye mtaji how to get capital malegend AU tips Gani hutumika kukuza small Business mpaka iwe huge
  4. JamiiForums Tanzania Kijana mdogo kutoka na mshangazi ni kuidhulumu nafsi

    Nipende kuwa tu muwazi, unless kuna faida za kiuchumi unazozipata, kijana mdogo kutoka na mshangazi ni kujipunja na kuidhulumu nafsi yako. Niulize kwanini? Kikubwa unachotakiwa kujua ni kuwa wanawake hua wanaanza mambo ya mapenzi mapema sana. Kwa kawaida mabinti huanza "mchezo mchafu" wakiwa...
  5. JamiiForums Tanzania Mdogo Wangu anataka nimfungulie biashara hii

    Wakuu habari Nataka nimfungulie biashara mdogo wangu nikamuuliza kwanza biashara gani amefikilia kuifanya kwa mtaji wa chini ya 500,000 kaniambia kuuza ndizi mzuzu ,Yani anaenda kuchukua mizogo kule morogoro (mbingu) afu anakuja kuuza huku kwa reja reja.(Kwa mafungu ) Kuna mambo nataka...
  6. JamiiForums Tanzania Huu mfuko mdogo kwenye suruali nyingi za jeans huwa ni wa kazi gani haswa?

  7. JamiiForums Tanzania Ushindani Mdogo, Faida Kubwa: Mwongozo wa Biashara kwa Wenye Mtaji Tanzania!

    Habari wana JF, sitotaka kufanya uzi huu uwe mrefu sana; najaribu kufupisha ili nisikuchoshe wewe utakaechukua muda wako kusoma. Hakuna biashara utakayoanza leo ambayo haijawahi kufanywa; naamini hilo linahusu sekta zote. Swali muhimu ni, umejiandaa vipi kushindana na wale walioanza mapema? Ni...
  8. JamiiForums Tanzania Sheikh Kishki yupo sahihi ila huyu Bwana Mdogo Shareef Firdaus ana nyota kubwa sana

    Kaka angu sheikh Kishki upo sahihi sana kuhusu sakata la huyu Bwana mdogo " Abdul Dunya" almaarufu " Shareef Firdaus". Dogo ana karama sana ana nyota sana na anakubalika sana. Bora umpotezee tu. Raia mitaani jijini Darusalama wanamkubali ile kinomanoma. Kwa Raia mitaani, Kishki vs Shareef...
  9. JamiiForums Tanzania Biashara ya stationery ya mtaji mdogo iliyoongezewa thamani

    Wakuu naomba mawazo yenu. Nina mpango wa kuanzisha stationery ya mtaji mdogo around mil 5 yani umo kila kitu mpaka fremu. Naomba ushauri zaidi ya kuprint na kutoa copy pamoja na vifaa kama bahasha, rimu, kalamu, etc Naweza vipi kuongeza thamani kwenye stationery kwa gharama ndogo lakini niwe...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Ayatollah Khomen Anasena Israel ni Mtoto Mdogo Sana Mbele Ya Hezbullah

    https://youtube.com/shorts/ieBLRTPg-xE?si=Mf1qykB9kyqh8kt3 Ujumbe ndio huo leo kutoka kwa Ayatollah Khomen, asema Israel ni watoto sana mbele ya Hezbulla. Hawaiwezi Hezbullah. Hivi kuna kuna dharau kama hi tena. Ayatollah anasema Israel lazima wakuze akili zao wasifikirie hata siku moja...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna kijana mdogo kaniuliza hili swali nikashindwa kabisa kulijibu

    Naomba msaada wenu wana JF Huyu kijana sijui hili swali kilitoa wapi, ameniuliza mwalimu aliingia darasani akasema "Kama jana ingekuwa kesho, basi leo ingekuwa ni Jumamosi" Mwalimu alizungumza maneno haya siku gani? Mwenye majibu ya swali hili fikirishi tafadhali ashuke chini hapo, nisije...
  12. JamiiForums Tanzania Mdogo wangu anatafuta kazi ya Maabara maeneo ya Dodoma

    Mdogo wangu kamaliza chuo mwaka 2021 kasomea mambo ya Maabara za Hospitali na anayo leseni hai kabisa kwa sasa anapatikana Dodoma. Anaomba kazi ya maabara za hospitali kwa mkoa wa Dodoma. Natanguliza shukrani nduguzanguni.
  13. G

    JamiiForums Tanzania Profit ni kitu muhimu sana kwenye kuamua biashara ya kufanya, ukiwa na mtaji mdogo epukana na biashara zenye faida chini ya 10%

    Hii inawhusu zaidi ambao huiga biashara bila kutafakari kwa kina, Ni muhimu sana kufuatilia asilimia ya profitability Huwezi kuwa na mtaji wa milioni 1 uanze kufanya biashara yenye faida ya 5% Utachelewa sana
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mdogomdogo maji na mafuta yanaanza kujitenga, Yanga anacheza mechi zake kibingwa na ndiye bingwa mtarajiwa!

    Wenye uelewa na Mpira watakuwa wamenielewa ninachomaanisha, siku zote timu yenye tabia za kuchukua ubingwa uwa Zina viashiria Fulani Fulani vya kutwaa ubingwa! Viashiria ivyo yanga anavyo kwa 100%, yanga amekuwa awezi kudondosha point kizembe ata kama mechi imewakalia vibaya lazima waondoke na...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi kuna gari zaidi Vitz na Passo ambazo sio hybrid Kwa ulaji mdogo wa mafuta.?

    Wadau Nataka kununua kigari cha kupigia misele hapa mjini. Yaani Nataka kila niendapo iwe ni mwendo wa kukanyaga Gia Tu. Je kuna gari zaidi ya Vitz na Passo Kwa ulaji mdogo wa mafuta.?
  16. JamiiForums Tanzania Mambo sita (6) - hii inakuhusu wewe mjasiriamali mdogo

    📖MHADHARA WA 13 Hello mjasiriamali mwenzangu. Naomba leo nishee mambo sita (6) muhimu ambayo ukiyazingatia hutopoteza wateja. Kama unataka kufungua biashara, au tayari umefungua biashara zingatia mambo yafuatayo; 1. UCHESHI NA MATUMIZI YA LUGHA Jaribu kuwa mcheshi kwa wateja hata kama wewe ni...
  17. JamiiForums Tanzania Mimi ni mtoto mdogo ila pesa imejaa

    Huwa nashangaa mtu anaumri mkubwa halafu ni fukara wakati nipo Mimi mtoto mdogo tu miaka 28 ila pesa nyingi. Hivi mnafikiri kuwa na umri mkubwa ni sifa wakati mfukoni hamna kitu tafuteni hela nyie wazee. Huwa najiuliza hivi binadamu unakosaje kuwa na pesa yaani pesa nayo ni kitu Cha kukosa...
  18. JamiiForums Tanzania Ukiwa na mtaji mdogo usifanye biashara ya kusubiri mteja, Fanya biashara ya kutafuta mteja

    Watu wengi wanafirisika biashara Kwa kufuata mkumbo wa kufungua maduka, bar, vibanda n.k Yaani mtu una million 2 au 3 unachukua mzigo wa kuweka dukani? Ndugu utalia sana aisee, Vijana wanatoka vyuo wanapewa mtaji na wazazi wanakimbilia kufungua boutiques, sijui bar, n.k na mtaji umepewa...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwa nini mwitikio wa umma ni mdogo sana kwa press ya chadema licha ya uzito wa waliyopitia!?

    Sijajua nini nini kinaendelea katika taifa letu hususani kuhusu hali ya siasa za upinzani nchini. Nilitegemea baada ya tukio lilotokea juzi basi hasira za umma zingewaka na kuitikia hituba ya Mbowe badala yake imepokelewa kikawaida sana Hii ni kwa nini hasa!? Mbona ni kama tunakubali hao...
  20. JamiiForums Tanzania Kama timu yako haipo hapa wewe bado mdogo soka la Afrika

    RATIBA YA HATUA YA PILI YA MASHINDANO MAKUBWA AFRIKA (CAFCL) CBE FC 🇧🇴 x 🇹🇿Yanga SC Dekedda SC 🇬🇼x 🇭🇰Esperance Gor Mahia FC 🇰🇪 x 🇪🇬Al Ahly SC APR FC 🇷🇼 x 🇪🇬Pyramids FC Mbabane 🇬🇼 x 🇿🇦Mamelodi AS Maniema 🇨🇩 x 🇦🇴 Petro Atletico Red Arrows 🇿🇲x 🇨🇩 TP Mazembe Jwaneng Galaxy 🇧🇼 x 🇿🇦 Orlando Enugu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…