Noah old model kuzima ikiwa kwenye mwendo mdogo

MANAKE MKARI

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2011
Posts
321
Reaction score
268
Gari aina ya Noah (old model – SR40) inakuwa kama inatetemeka /kushtuka na kuzima ikiwa inatembea kwenye mwendo mdogo (RPM ikiwa chini ya 1,000).Inatokea mfano ukisharuka tuta wakati wa kukanyaga mafuta. Ikizima unawasha na unaendelea na safari. Ukiwasha ‘’silensa’’ ipo vizuri na hakuna ‘’misi’’ yoyote.Mafundi bado hawajaweza kujua tatizo lipo wapi. Naomba kama kuna aliyewahi kupata hili tatizo asaidie jinsi lilivyotatuliwa au fundi mzuri aliyepo Dar.
 
Camshaft sensor, plugs, ignition coils. Cheza nazo hizo utakuta jambo
 
Tatizo hilo linatusumbua wengi kwenye magari ya automatic. Ukifanikiwa kupata ufumbuzi wake uje utupe mrejesho ili tufaidike wengi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom