mdogo wangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. co fm

    Ushauri kuhusu huyu mdogo wangu mkopo wa milion 100

    Hello wadau, poleni sana na majukumu ya kulijenga taifa. Ipo hivi mimi nina mdogo wangu mwaka jana alipata mchongo kwenye taasisi moja hivi na wanamlipa vizuri sana like 4m kwa mwezi na tena bado ni mdogo sana ni miaka 26 tu. Juzi kaja home nikawa namuulizia habari za kazi akawa anipa stories...
  2. tonicimmobility

    Nafanyaje kumsaidia mdogo wangu kukabiliana na mabadiliko ya ukuaji wake kimwili?

    Wakuu! Nisaidieni mimi ni Dada mtu Nina mdogo wangu alienifuata jinsia (kiume) umri (16) anakabiliwa na madadiliko ya ukuaji kimwili, miongoni mwa mabadiliko hayo ni pamoja na kubadilika kwa sauti yake. Siku za hivi karibuni sauti yake imekua kubwa sana na nzito, hali inawafanya marafiki na...
  3. BumbleBeeBot

    Mdogo wangu (Family friend), kanipa penzi najiona nimekolea

    Huku Mbeya tuna family friend ambaye ni kama ndugu, huyu mzee namfahamu kama bamkubwa toka 2008, huyu mzee watoto wake wote wamepiga shule za nje ya nchi na waliosoma hapa bas ni shule nzuri ni mkali sana kwa watoto wake. Kuna kipindi niliishi sana kwake zaidi ya miezi 6, kwa kipindi hiko...
  4. BigTall

    Mdogo wangu kashushwa njiani wakati anasafiri kutoka Dar kwenda Morogoro kwa kuwa hana kitambulisho

    Mdogo wangu jana alikuwa anasafari ya kutoka Dar kwenda Morogoro, wakiwa wameshatoka Stendi ya Magufuli hata kabla hawajaliacha jiji hilo, wakasimamishwa na Wanausalama, wakaombwa vitambulisho, yeye na wenzake kadhaa hawakuwa na ID zozote wakati huo. Wanausalama hawakutaka kuwalewa wakaamua...
  5. Think2

    Mdogo wangu anaweza kupangiwa mkopo

    Cv yake hii Amesoma private school O-level A-level amesoma shule ya kata kombi PCB Shule ya msingi amesoma private school Nb, anaomba mkopo ngazi ya diploma
  6. Kazanazo

    Namtafutia kazi au nafasi ya kujitolea mdogo wangu

    Habari wanajf, Nina mdogo wangu kahitimu chuo kikuu kada ualimu masomo English na Kiswahili anaishi Dar es Salaam na Tanga Hivyo basi kama kuna mwenye connection ya shule yoyote ya private katika mikoa hiyo naomba msaada wa kuniunganisha mdogo wangu apate nafasi ya kufundisha. Kuhusu level ya...
  7. kiss ov love

    Namhurumia mdogo wangu, lakini aliyataka mwenyewe

    Habari za uzima wakuu, binafsi nashukuru kwa uwepo wa huu mtandao, kwani imekuwa ni sehemu ya kufarijiana, kutiana moyo pamoja na kupeana ushauri kwenye mambo mbali mbali yanayotokea kwenye jamii yetu. Nakumbuka niliwahi kuleta uzi humu wa "hapa kuna mapenzi kweli au napotezewa muda" wengi...
  8. W

    Mdogo wangu kanitumia link ya muziki wake, nimempongeza kinafki ila najisikia vibaya naona anaenda kupoteza muda au kupata umaarufu usio na maendeleo.

    Ni mara 100 zaidi hata angenitumia mbuzi au kuku ningejua baada ya muda watazaliana na biashara itakuwa. Kanitumia muziki wa youtube, leo siku ya 3 kuna views 600, kakomaa sana na muziki, wazazi na ndugu tumemuasa lakini wapi, hasikii wala haoni kwenye muziki. anapost sana status za one day...
  9. Jocasta

    Mdogo wangu wa kike anaugua sana kichwa, na watoto wake wapo hoi. Mnisaidie tafadhali

    Mdogo wangu wakike ameolewa kama miaka 10 iliyopita, anasumbuliwa sana na maumivu makali ya kichwa kisichosikia dawa, nimempeleka kamanga hadi bugando kafanyiwa MRI Lakini haijabaini shida yoyote. Mtoto wake wa kike kafariki juzi baadae ya kuwa chini Kwa muda Sasa, watoto karibia woote...
  10. Holoholo

    Ni njia gani nitumie ili mdogo wangu ajiunge na academy au timu yeyote ya Mira wa miguu nchini ??

    Wakuu, Ni mdogo wangu wa damu anaitwa Charles masanja ana umri wa miaka 12 anakiwasha sawa sawa anacheza nafasi zote za mbele namaanisha namba 8,9,10,11 na 7 Anakipaji kikubwa Sana,kipaji chake kimepelekea kuaminiwa ktk timu ya wakubwa na anacheza vizuri Sana Ndiyo zake ni kuwa mchezaji...
  11. M

    Music production

    Natafuta mtu wa kufundisha mdogo wangu music production Dodoma aniachie namba
  12. Stroke

    Mdogo wangu anataka Kuoa Mnyakyusa atawaweza hawa watu?

    Wakuu sisi ni wamasai. Ila mdogo wangu anataka kuoa binti wa kinyakyusa. Dogo kachagua, ila tabia za wanawake wa kinyakyusa kwa utafiti wangu (ila bado sijathibitisha) ni wakorofi sana. Mnaona huyu dogo anaweza fan ikiwa kwa huyu binti?? Tumshauri.
  13. D

    Mdogo wangu anatafuta taasisi ya kufanyia field ya project planning

    Habari za muda huu wanaJf. Kama kichwa kinavyojieleza,nina mdogo wangu anasoma "Bachelor of Project planning and community dvt" anatafuta taasisi ya kufanya mafunzo kwa vitendo(field) mkoa wowote Tanzania.Hivyo basi nimekuja kwenu naamin nitapata msaada wenu members wa humu juu ya hili suala...
  14. mdukuzi

    Mwaka 2010 mdogo wangu aliwekwa korokoroni Africa kusini bila kosa sababu ya muonekani wa kihuni mpaka kombe la dunia kilipoisha

    Unajua mbinu waliyotumia Africa kusini kuandaa michuano ya kombe la dunia kwa anani bila wahuni kuivuruga. Naomba nikiri tu kuwa kipindi tunakua,kulikuwa na mwamko wa vijana kuzamia nchi za America ,ulaya au South Africa. Unapafahamu Salanander Cafe,down town kabisa mtaa wa Samora zilipo ofisi...
  15. Paul dybala

    Mdogo wangu wa kike kapotea tokea siku ya ijumaa

    Wakuu,,,kichwa kinauma sana,..malezi ya watoto wa kike ni magumu sana. Dogo mara ya mwisho aliga anaenda kujaza fomu shule,...yaani ndio hawa madogo wamemaliza mitihani juzi ya necta. Sasa kutokea ijumaa alivoondoka ndio hadi sasa hajaonekana. Nilivofikishiwa na bi mkubwa hizi taarifa...
  16. Its Pancho

    Kwa walimu tu; Bachelor of education in special needs vs Bachelor of education in policy planning and management ipi inamfaa mdogo wangu?

    I salute you kinsmen. Mdogo wangu kutoka kijijini alichaguliwa chuo huku mjini na ndio vile alipata ualimu kama mnavyojua maskini yeye ni ualimu ndiyo unamfaa ameona. Alichaguliwa hiyo Bachelor of education in policy planning and management lakini aliomba Bachelor of education in special...
  17. Zacht

    Mdogo Wangu anataka nimfungulie biashara hii

    Wakuu habari Nataka nimfungulie biashara mdogo wangu nikamuuliza kwanza biashara gani amefikilia kuifanya kwa mtaji wa chini ya 500,000 kaniambia kuuza ndizi mzuzu ,Yani anaenda kuchukua mizogo kule morogoro (mbingu) afu anakuja kuuza huku kwa reja reja.(Kwa mafungu ) Kuna mambo nataka...
  18. kante mp2025

    Mdogo wangu anatafuta kazi ya Maabara maeneo ya Dodoma

    Mdogo wangu kamaliza chuo mwaka 2021 kasomea mambo ya Maabara za Hospitali na anayo leseni hai kabisa kwa sasa anapatikana Dodoma. Anaomba kazi ya maabara za hospitali kwa mkoa wa Dodoma. Natanguliza shukrani nduguzanguni.
  19. VINICIOUS JR

    Mdogo wangu wa kike kaenda mkesha kwenye makanisa ya kilokole ila nina wasiwasi. Je, kesho akirudi nitakuwa sawa kumdadisi?

    Kwema wakuu, Kama mada inavojieleza. Nimepokea taarifa kwa shingo upande kua mdogo wangu kaenda mkesha kwa makanisa ya kilokole, najua kwenda ibadani ni sawa lakini nahisi kuna mambo yanaweza kuendelea huko. Naomba maoni yenu ila sitapendezwa na lugha chafu.
Back
Top Bottom