Kuna mdada amenitongoza zaidi ya miaka 10, na bado hakati tamaa

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,566
Reaction score
3,833
Yani tangu hajaolewa hadi ameolewa bado ananililia mimi tu, halafu mimi moyoni hayupo. Kwa uzuri ni mzuri ila mimi tu sijamkubali.

Fikiria zaid ya miaka 10 ananitongoza tu na hachoki. Imefika mahati naona tu nimkubalie labda akishakutana na mimi atapunguza hamu zake
1757446742933.jpeg
 
View attachment 3468627
Kati ya hawa watatu wewe ni yupi hapo?
 
Huwezi amini sasa kwa namna wanawake wasivyojua wanachokitaka. Ukikaa nae ataanza kukuozea na kuanza kujiuliza why ulikuwa unamnyima usingizi.

Automatically ataanza kukufanyia visa na vituko na ndipo hapo atajiambia kuwa na wewe hakuna jipya alilopata na atataka wewe umfanye aendelee kuwapo katika uhusiano na usipofanya jitihada mtaanza kugombana na kuishia kuachana vibaya na wewe ukiwa na majuto ya kuchezewa hisia huku yeye akiwa amechanganyikiwa zaidi asijue alifuata nini kwako.

Kwa kifupi, mwanamke hajawahi na hatowahi kumpenda mwanaume hadi kufikia hatua ya kumfuata. Mwanamke sahihi ni yule anae jisubmit kwa mwanaume kama mtumishi au mtiifu au mtu ambaye atakusikiliza kuliko mtu yoyote.
 
Yani tangu hajaolewa hadi ameolewa bado ananililia mimi tu, halafu mimi moyoni hayupo. Kwa uzuri ni mzuri ila mimi tu sijamkubali.

Fikiria zaid ya miaka 10 ananitongoza tu na hachoki. Imefika mahati naona tu nimkubalie labda akishakutana na mimi atapunguza hamu zake
View attachment 3468627
Kwanza tafuta kazi. pili tafuta mwanasaikolojia, tatu tafuta daktari bingwa wa mifumo ya uzazi ya wanaume.. Haupo sawa wewe. mwaka mmoja unasiku 365. umemkataa mwanamke mzuri anaekutaka zaidi ya siku 3650????? Uongo gani huo mzee???
 
alafu punguza nyeto. Zinapunguza uwezo wa kufikiri na kujenga hoja.
 
Iphone 17 imetoka nipo tayar kuuza kiwanja cha urithi cha mzee wangu pale goba kwaajir yako
 
Njoo na mimi nikutongoze unipe kinyeo hicho.
 
Yani tangu hajaolewa hadi ameolewa bado ananililia mimi tu, halafu mimi moyoni hayupo. Kwa uzuri ni mzuri ila mimi tu sijamkubali.

Fikiria zaid ya miaka 10 ananitongoza tu na hachoki. Imefika mahati naona tu nimkubalie labda akishakutana na mimi atapunguza hamu zake
View attachment 3468627
Mkimbie huyo ni pepo tena mshukuru Mungu kukuepusha hadi sasa
 
Back
Top Bottom