Mimi ni mfanyakazi katika moja ya ofisi hapa mkoa wa Arusha. Tunafanya kazi ambayo siyo ngumu sana, mara nyingi ni kutumia kompyuta na kushughulikia majukumu ya kila siku ya ofisi. Ndani ya mazingira haya ya kazi, kuna mdada mmoja ambaye tumekuwa tukifanya kazi pamoja kwa muda sasa.
Kwa mwanzo...
Habarini,
Tofauti na kichwa cha habari, katika pitapita zangu TikTok nlikutana na account ya jamaa mmoja mtanzania, anajiita Dr Julian sio mwanamziki wala sio muigizaji, hapost maisha expensive, ila aloo hiyo idadi ya wadada wanao-andika thirst comments kwenye picha za huyo mkaka , na...
Wewe uliojufunnza unataka kurekebisha.
Yeye aliyojifunza anataka kuendeleza maana ndio anataka atumie kama defence mechanisma dhidi yako.
So ndugu hakikisha kama upo 27-38, oa binti alie 18- 22.
UTANISHUKURU.
Yani tangu hajaolewa hadi ameolewa bado ananililia mimi tu, halafu mimi moyoni hayupo. Kwa uzuri ni mzuri ila mimi tu sijamkubali.
Fikiria zaid ya miaka 10 ananitongoza tu na hachoki. Imefika mahati naona tu nimkubalie labda akishakutana na mimi atapunguza hamu zake
Habari wakuu,
About
Umri wangu 25, location dar maeneo ya airport, nipo single sina mtoto, mrefu kiasi, mwembamba kiasi, sio mweupe au mweusi, na najitambua.
mimi nime jiajiri kwenye masuala ya programming developer.
Sio mlevii na situmii vitu kama bangi, mimi ni mkristo lakini sina kanisa...
Nimesoma nae kuanzia form1 hadi form4 pia tukakutana chuo, kipindi chote hicho nilikuwa namtongoza kwa njia mbalimbali kama kumpa zawadi na hongo mbalimbali cha ajabu nilipo muambia ukweli kuwa namtaka akanikataa
Wakati tupo o-level nilijua kwakuwa bado tupo na safari ya masomo lakini...
"Sikutaki", "Nina mtu wangu", "Sina hisia nawe", "Hatuwezi kuwa pamoja", "You are not my type"..... na majibu mengine kama hayo ulikuwa ukiyatoa wakati wote mkiwa under 30yrs tena mara nyingi below 25 years. Na utakuta jamaa alikuwa akiona jinsi ukila bata na vipenzi vya moyo wako huku...
Its either wanaingilia harakati zako humu au basi wewe ni sadist.
Kuna wakati mwanaume alichohangaika na mwanamke ni kupata penzi lake pekee ila siku hizi vijana wa kiume nao wanaumia na maamuzi ya kimapenzi ya wadada 🤣🤣
Trash🚮🚮
Habarini,
Kuna huu ushauri unaotolewa na wadada humu jf na baadhi ya wanaume, kwamba ukitaka mdada asikupige vizinga mara kwa mara, usiruhusu mpaka yeye akuombe, mwanaume inatakiwa ujiongeze, utoe bila kuombwa, juzi kati nikajaribu kuiweka hii myth to the test
Sample za research yangu zilitoka...
wakuu habari za siku
#NoReformsNoElection
Kuna mdada mmoja nilikuwa namfukuzia sana lakini ni kama vile alikuwa hanielewi nikaamua kuachana na hilo swala tukiwa tunakutana nampa hi tu kisha nasepa lakini pia kazi zangu baadhi nilikuwa naenda fanyia ofisini kwake stationary
Sa umepita muda...
Niko safarini kutoka njombe kuja Dar,nimekosa seat,nimekalishwa pale mbele kwa dereva,sasa kuna sehemu tumefika ya kula chakula,mimi nikaona ninunue tu vitumbua vyangu viwili vya jero nijilie na maji,
Kuna mdada mmoja pisi kali nimeona kaniangalia kwa huzuni kisha akashuka chini akaja na...
Habarini,
Mda mwingine kwenye utongozaji, mwanaume unajitoa ufahamu unaamua kusaliti chama cha uwabata kwa muda. Unaamua kufata dating advice ya wadada wa humu jf, ya ukiwa na mwanamke unaemtaka mpe hela kabla hata hajakuomba 😁
Unamuona mdada, unasema ngoja huyu nimuoneshe upendo kwa kumpa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.