Mwaka huu tuna mpango wa kufungw ndoa na huyu mpenzi wangu na tulikubaliana nitume mshenga apeleke posa kwao, Sasa naona amekuja na hoja kwamba kabla ya yote anipeleke kwa Mchugaji wake wa miaka mingi na ana muhamini sana huyu mchugaji wake kwa maono ya mambo ya Nyuma ya pazia, je ni sahii...