mchezo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Aviator mchezo ulionipoteza kiakili na kifedha ila sasa nimeushinda

    Nataka kushiriki uzoefu wangu kama somo kwa wengine. Nilicheza mchezo wa Aviator, ambao walisema ni 'provably fair', lakini kwa kweli nilipoteza hela nyingi sana. Mchezo huu uliharibu hali yangu ya kifedha na kuniacha na pressure kubwa ya akili. Zaidi ya hasara ya pesa, niliona pia jinsi...
  2. M

    Mabomu ya machozi yarindima kuwatawanya mashabiki Uwanja wa CCM Kirumba baada ya mchezo kuisha 1-1

    Jeshi la Polisi limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya mashabiki katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. Mabomu hayo yamepigwa baada ya kumalizika mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya wenyeji Pamba Jiji dhidi ya Simba SC uliomalizika kwa sare ya bao 1-1. Baada ya mchezo kumalizika...
  3. Chizi Maarifa

    Je, baadhi ya Viongozi Iran watakuwa wameshtukia huu Mchezo?

    Inaonekana kama mtu anakuchukia, hakupendi Irani kwa sasa au anakuona we ni tishio kwake anapendekeza upewe/uteuliwe cheo flani. Akipendekeza ukiteuliwa au chaguliwa anaanza kukuhesabia siku. Huo ndo uhuni unaofanyika Irani. Mtu hakupendi anakupendekeza upate cheo. Basi baada ya hapo anatulia...
  4. W

    Mwigulu: Nimesisitiza kutolimbikiza viporo vya kero na migogoro, kwani inatishia undugu wetu

    Akiwa katika Ziara yake Nsimbo Katavi, Waziri Mkuu Mwigulu ameonya pia mwenendo wa kulimbikiza migogoro jambo linalopelekea kwa kua migogoro hiyo inatishia undugu wetu kama Watanzania. Ameeleza kuwa wakati mwingine wanaosababisha migogoro hiyo ni watu walioamaniwa.
  5. M

    Kuna mchezo wa ajabu sana unafanyika vituo vya mafuta, hivi vidumu vya mafuta wanavyoficha kwenye dustbin wanatoa wapi mafuta ?

    wiki iliyopita nilienda kufanya service kwenye gereji ya kituo cha mafuta gari ilikuwa na tatizo la mafuta, fundi ali drain mafuta yote kwenye gari, sasa wakati wa kujaza upya mafuta nilishuhudia mchezo huu. nilikuwa na kidumu changu kwenye buti nikampa fundi ajaza mafuta ya elf 10. nimempa...
  6. Waufukweni

    Mwigulu: Hakutakuwepo na mchezo wala mzaha kwa anayecheza na fedha za umma

    Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, amesema hayo Machi 13, 2026 akiwa mkoani Katavi katika ziara ya kikazi, ambapo anatarajiwa kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo na kuzungumza na wananchi.
  7. Sir John Deere

    Urusi angekubali Ukraine iikaribishe NATO yangemkuta ya Iran kashtukia mchezo

    Iran anapata tabu sasa kutokana na nchi za kiarabu kuiruhusu marekani na nchi za ulaya kuweka majeshi Yao katika ardhi ya nchi zao Nimetafakari kama urusi angeruhusu Ukraine kuwakaribisha Hawa jamaa hivi sasa tungekuwa tunaongea mengine. Heko Russia kwa kulitambua hilo na kutoa ONYO Kali kwa...
  8. fimboyaukwaju

    Eti refa akiharibu mchezo wa kesho tutamfunga!

    Hii ni kauli ya Karia,kwahiyo siku hizi masuala ya mpira yanapelekwa mahakamani? Wakati jamaa fulani walikuwa wanapeleka kesi mahakami,si mlipiga kelele kuwa masuala ya mpira hayapelekwi mahakamani,sasa imekuwaje?
  9. ChoiceVariable

    Video: Je, Hayati Magufuli Alistukia Mchezo na Uchochoro wa Kusajili Meli Tanzania Ambazo Zinakamatwa na Matukio Tata?

    My Take Hakuna kumung'unya maneno Inawezekana kabisa kwamba magenge ya wahalifu wa Kimataifa wamepata Uchochoro wa Kusajili Meli zao hapa Bongo Kwa rushwa Ili zikatumike kwenye Uhuni. Mwaka 2018 hayati Magufuli aliliona hili na kuzuia usajili wa hizi meli lakini naona ule mchezo umejirudia...
  10. comrade_kipepe

    Kufunga ni kama mchezo wa kuigiza

    Yani mtu unakula usiku kucha kama mchwa, kula masaa mengi kukaa na njaa masaa machache. Mtu unakandamiza nguna alfajiri, unashiba ngaaa! Unalala unaamka bado umeshiba, jioni tena unashindilia. Yani wakati wa Ramadhani mtu anakula sana zaidi ya mara 3 ya siku za kawaida sasa ndio nini hiyo...
  11. A

    Sasa hivi kuishi na mwanamke imekuwa kama ugonjwa wa kansa kwetu wanaume

    Kutokana na mambo mengi ambayo yanatokea duniani kuhusu wanawake Mda mwingine hivi vitabu vya dini tunavitukana lakini ukichunguza vizuri vilikuwa vina haki ya kuwanyima uhuru hawa viumbe na hata mababu zetu walivyokuwa wana watenga yaani kuwashusha kabisa thamani yao walikuwa wana haki...
  12. B

    🔴#LIVE MATCH: AS otoho VS Singida black Stars || Mchezo Wa Caf Confederation Cup 1 February 2026

    01 February 2026 Stade Alphonse Massamba-Débat in Brazzaville Kutoka Uwanja wa Alphonse Massamba-Débat jijini Brazzaville, katika pambano muhimu la Kundi C la Kombe la Shirikisho la CAF. Katika pambano la mwisho kati ya timu hizo mbili, lililochezwa Januari 25, 2026 nchini Tanzania, Singida...
  13. Q

    'Directors' wa 'Wakatoliki Feki' wameamua waingie wenyewe kwenye mchezo

    Kila script wanayotoa waigizaji wanakosea. Script ya kwanza ni ile ya maandamano ya kwenda ubalozi wa Vatican Tanzania, kuna makosa mengi ya kiufundi yalifanyika ikakosa mvuto. Script ya pili ni ile ya kuvamiwa kwa main character (steringi), ikajulikana hakuvamiwa wala kuumizwa bali alipaka...
  14. Damaso

    Jeshi la Polisi: Mchezo wa Kirafiki au Jaribio la Kusafisha Taswira?

    Leo tarehe 11 Januari 2026, Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limetangaza mechi ya kirafiki itakayochezwa majira ya saa 10:00 jioni katika uwanja wa Manispaa ya Kinondoni (KMC), Mwenge. Mchezo huo unawakutanisha timu ya Tanzania Sport Influencer—iliyoundwa na mashabiki wa Azam, Simba na...
  15. Mdigokhan

    Mchezo haujauelewa

    Ukija kichwa kichwa, utaona team ya wasanii kama hawajui kucheza mpira, kama hawaelewani, wanapishana, ila bado inabaki kuwa team moja. Wana mbinu nyingi za kushinda hii game. Moja ya mbinu yao ni katikati ya mchezo wanacheza chenga na madoido maana lengo lao sio kushinda tu hii game yao, bali...
  16. mirindimo

    Hakuna umeme, hakuna maji na joto kali. Hii mande si mchezo

    TANESCO NA DAWASCO SIJUI DAWASA MTAUA WATU. Kama bi shosti kaamua kutesa watanganyika basi hii yenyewe.
  17. Mshana Jr

    Nyota wa mchezo wa MO29 na D9

    Maji ni kitu chenye nguvu sana! Kamwe usijaribu kuyazuia yanapochagua njia yake, maana hutayaweza. Ukijaribu, yatakusababishia madhara makubwa! Ni wakati wa mabadiliko… Hayazuiliki! Na kujaribu kufanya hivyo ni kujitafutia shida za kujitakia. Nyota waliohamasisha na kufanikisha maandamano ya...
  18. ngara23

    Mapokezi waliopewa Yanga Zanzibar yatawatoa mchezoni na kupoteza mchezo dhidi ya Far Rabat

    Nimeshangaa wale watu wa bandarini pale Zanzibar wakiwafanyia harassment wachezaji wa Yanga na kuwaweka juani muda mrefu Wale walinzinwamegoma kuwaruhusu kupita ati hawana vitambulisho Yaani hapo Zanzibar napo wachezaji wagonge passport Zanzibar mnajikuta nani awamu hii? Yaani mnamgomea...
  19. Jackpiano

    Ukweli wa Ardhi House: ‘Mtandao unasumbua’ ni kificho — Nilijaribu kuingia kwenye mfumo, na mchezo ulianza!”

    Ukweli wa Ardhi House: ‘Mtandao unasumbua’ ni kificho — Nilijaribu kuingia kwenye mfumo, na mchezo ulianza!” UZI: Nimekuwa nikitoka HADI hapa na nikakutana na kitu ambacho siwezi kuziba mol. Huyu ni story ya jinsi ‘mtandao’ unavyotumika kama kificho ili watu wafanye ujanja katika ofisi za umma...
Back
Top Bottom