MPAKA SASA HALI SIO NZURI
KWETU
MPAKA SASA INAONEKANA FT MATOKEO YATAKUWA
2-0/2-1
KUNA MCHEZAJI AKIWEPO KWENYE LIST NTAWAJUZA MAPEMA 3 ZINAWEZA KUTUHUSU
ALL N ALL
KILA LA KHERI TIMU ZOTE
Mshambuliaji wa zamani wa TP Mazembe, As Vita Club na Yanga SC Chico Ushindi Wakubanza, amefariki leo mchana akiwa kwao Congo ya Kinshasa.
Akiwa mshambuliaji aliyetoa kila alichokuwa nacho uwanjani, Chico ameacha kumbukumbu za ari, kujituma na nyakati zilizowasisimua mashabiki wa soka la...
Magoli mchezaji aliyempigania na anakula nae ni Joshua Mutale budo. Lazima aanze piga ua. Na Fadlu kuondoka tu kawashika wasouth wawili. Za ndani kabisa.(kwa mujibu wa za ndani kabisa)
Mpanzu ni Try Again na wanaompenda Simba yani akina Matola.
Wale wa skauti wa Mo ni kujipigania hata kama una...
Yanga wameiandikia TFF barua kuwa wako tayari mchezaji wao wa timu ya wanawake, Jeanine MUkandayisenga kupima na kuuthibitisha jinsia yake kama TFF walivotaka
TFF waliwaandikia barua Yanga kuwa timu za wanawake za Simba na JKT wamelalamika kuhusu utata wa jinsia ya Jeanine MUkandayisenga na...
Tunajua Karia na TFF yake wana kidonda kizoto moyoni baada ya msimu uliopita Yanga kuwa bingwa na kampeni yake ya kugomea derby iliyohairishwa kihuni, hili linamkera sana Karia na TFF yake
Kumbuka Yanga ndo timu pekee ambayo haikumuunga mkono Karia kwenye uchaguzi wa utapeli wa TFF, ambapo...
Hij ahadi aliyeutia Boss wa kampuni siku anatambulishwa rasmi kuwa mdhamjnj mpya wa Jezi, Je wanaSimba tunaikumbuka vizuri?
Kuna wachezaji kadhaa Simba imewakosa kwa kushindwa kufika Dau au wengine kuzidiwa Dau na timu nyingine.
Jeuruti kashindwa au alitoa ahadi ya uongo? Huu ni kama utapeli...
Kikosi hiki cha zamani cha Simba SC kimeacha kumbukumbu kubwa kwa mashabiki wa soka nchini. Wengi walitoa burudani uwanjani na kutengeneza historia ya klabu.
Unamkumbuka mchezaji gani hapa kwenye hiki kikosi cha Simba?
Ni nadra sana kukuta Mchezaji wa Mpira wa Miguu mwenye Matege mabaya kama yake akawa anajua Mpira.
Ilitokea bahati tu kwa Marehemu Ramadhan Lenny kuwa nayo na hakika alikuwa na Kipaji cha hali ya Juu hasa katika Nafasi ya Kiungo wa Juu na cha Chini.
Hebu upesi sana Kocha Hemed Morocco amtoe...
Kama makocha wetu wangekuwa na uwezo wa kutambua vipaji basi kiungo wa pembeni Edmund John ni namba moja, dogo anajua sana boli, awali alipokuwa Singida nilidhan ni mchezaji wa kigeni lkn baadae nikaambiwa ni mbongo.
Sipepesi macho, kwa sasa Tanzania ukimuondoa Kibbu Dennis, anayefuatia upande...
MAISHA YA MSTAHAFU 😎
Hivi ndivyo anavyoishi mtu aliyeshinda kila kitu kwenye soka la dunia hii.
Alimpa mama yake kila alichoweza, pesa, furaha na hata umaarufu. Aliifurahia kazi yake ya soka kutoka mwanzo hadi mwisho. Alifanya makosa, lakini yalibaki kuwa sehemu ya safari yake.
Alinyakua...
Mkiambiwa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ni habari nyingine kwa Taarifa za Ndani na sina Mpinzani hapa JamiiForums muwe mnakubali tu na hata kunipigia Saluti Kudadadeki. Haya upesi sana huyu Mchezaji wetu mpya na Fundi wa Kufunga Magoli Jonathan Sowah aitwe na aonywe kuwa Simba SC hatutaki Ndodi za...
Unaambiwa baada tu ya mechi kuisha, Wachezaji wamekula mgao wa milioni 21 kabla hata jasho halijakauka..
Na akaahidi mzigo mwingine kama huo endapo watashinda kila mchezo ulio mbele yao.
Ni muhimu Rais wetu akashauriwa kuwa anapotoa ahadi, awe anatoa ahadi ambazo zipo too specific.
Ukiahidi...
Binafsi nimeanza kumfuatilia Feisal kama mchezaji tangu akiwa JKU, na kwa kipindi Fulani kama ilivyo kwa wanamichezo wengi ,"Zanzibar finest" aliwahi kuwa katika ubora wa maisha yake (prime period) na hii ilikuwa misimu yake mitatu ya mwisho Yanga na walau ule wakwanza akiwa na azam FC .
Na...
Kwa mahesabu yangu zimebaki nafasi mbili za wachezaji wa kigeni mpaka sasa.....moja ni MAEMA ambaye ni kiungo mshambuliaji....nyingine NAHISI ni ya full back namba 3 kureplace valentine noumer,, mpaka hapo tayari idadi ya wachezaji 12 itakuwa imekamilika.
Najiuliza,, Simba SC imekuwa na...