mchawi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Mchawi wa kwanza wa matatizo ya gari lako ni wewe mwenyewe, ni kitu gani huwa unakitatua mwenyewe au kumpa fundi maelekezo asilete ujuaji

    Kwenye oili ya usukani huwa nipo strict sana kuiweka mwenyewe, na nikipeleka kwa fundi huwa nampa maelekezo asiweke oili ya gearbox kama walivyozoea. Air filter – hii huwa naibadilisha mwenyewe au nikiwa kwa fundi namsisitiza aweke original, si zile za bei rahisi zinazoziba haraka. Engine oil...
  2. Hivi mchawi anaweza kukuroga kama hujalala?

    Wachawi wanawanga usiku. Sasa kaka wewe sio mtu wa kulala usiku tufanye kazini unaingia usiku au unakesha usiku kucha unaperuzi bila kulala au upo sehemu unakunywa pombe mchawi atakupata kweli?
  3. Kwa miaka mingi sana Walimwengu tulimweshimu sana Nicki Minaj lakini hatukujua kama ni mwehu, shutuma za kumwita Jay Z mchawi zitamgharimu

    Nicki Minaj anaonekana kama ana ajitambua lakini bado ana tatizo kubwa sana la kukosa akili Hivi majuzi amemuita Jay Z mchawi na hii ni kwasababu ya utajiri alio nao Jay Z Watu wasiokuwa na uelewa kila wanapowaona matajiri huwa wanawatupia kashafa chafu hakuna siku watawapongeza wala kuwasifia...
  4. PostGE2025 Mimi siyo Mchawi ila Wafuatao inabidi wapotee kiushahidi MO29 kabla ya kesi ya ICC

    GTs, Mimi siyo mtabiri ila naona kabisa wafuatao (ongezea) inabidi wapotezwe na yule aliyewatuma wafanye mauaji MO29. Yaani iko hivi kesi ya ICC ili iwe na nguvu lazima pawe na watu watakao kiri kuwa walitumwa na aliyewatuma kuua. Ila kama hawapo kesi ya MO29 itakuwa haina nguvu. Hivyo...
  5. Tumekubali kuishi na mchawi ndani?

    Hakuna aliye salama. Kama mzazi wako ni mchawi, usicheke sana unapoona anamaliza majirani. Watakapokwisha ataanza na wewe.
  6. Jinsi Wazaramo walivyokuwa wanatafuta mchawi iwapo ndugu yao amefariki, na jinsi walivyomuadhibu

    NDAGU, KITALA NA ADHABU YA MCHAWI NDAGU maana yake ni ‘ramli'. Kwa desturi, baada ya kuondoa matanga, ndugu waliofiwa huenda kwa mganga wa ramli ili awajulishe sababu ya kifo kilichotokea. Ziko namna nyingi za ndagu, kwa mfano, ndagu ya kifo, ndagu ya ugonjwa, yaani ramli ya kubashiri maradhi...
  7. Siku nimefatwa na mchawi kisa nimebeba hawala yake

    Nilikua usukumani, nikiwa kama mganga wa Zahanati ya kijiji, Kulikua na msimbe mmoja ambae tulikua tunafanana makabila, kazi yake alikuwa akifanya kazi Grocery, muuza vinywaji. Siku nazungumza nae alikuja ofisini kwangu, akaniomba nimtolee Njiti. Basi bhana nilikua na upwiru mwingi kijiji...
  8. Kwa mara ya kwanza Sayansi inaweza kumgundu mtu mchawi

    Wahini siti nitaeleza elimu ya ndani sana. Vitu nitakavyo gusia ni 1. Mambo ya kidini (Kikiristo). Nitaongelea Mwili, Nafsi na Roho 2. Artificial Intelligence (AI) Technology na Machine Learning 3. Brain Computer Interface Technology (BCI) 3.Teknolojia ya BCI ya Kusoma na Kutafsiri Mawazo...
  9. Polepole: Msitafute mchawi kokote (eti kuna mtu nyuma yangu). Nipo peke yangu!

  10. Picha: Said Othman Mangwelele a.k.a mchawi wa drafti wa muda wote

    Kama ulishawahi kutazama game zake either physically au online bila shaka utakiri huyu jamaa ni mchawi kama sio jini kabisa. Jamaa anakufunga anavyotaka yeye, yani kuna ile game unaona kabisa imeisha ila jamaa hataki kumaliza ,atataka akufunge ki ladha kiasi kwamba hata wewe unayefungwa...
  11. Tusimtafute mchawi nani Turudi kwenye maboresho ya kanuni za mpila wetu.

    Mtu wa kwanza kulaumiwa apa alitakiwa yule wa simba alie fanya maamuzi kusema tusicheze mechi trh nane kukataliwa ku train, ndo ukatae kucheza? , Uwanja wa serikali mmekodi siku ya mechi tu kwa nn ulazimishe ku train kana kwamba uwanja wa yanga, utalipia garama za ku train? Turudi kweny...
  12. Mwanasiasa Mdomo Tupu ni Sawa na Mchawi Mnafiki!

    Katika jamii nyingi za Kiafrika, mchawi huogopwa kwa sababu ya hulka yake ya unafiki, mwenye uso wa tabasamu mchana, lakini usiku huwaza maangamizi kwa wengine. Ni mtu anayeishi kwa kutegemea uongo, siri, na usaliti ili kufanikisha malengo yake binafsi. Hali hii inazidi kuakisiwa kwenye taswira...
  13. Kama ni kurogwa Watanganyika wamerogwa na mchawi kafariki katuachia msala huu

    Wakuu habari zenu hapa. Nimekaa na kuwaza na kuangalia mambo yote ya kisiasa yanayo tendeka nchini, nimejikuta napatwa na hasira zinazokaba kabisa kwa maana hili taifa letu hususani Tanganyika watu wake sijui walilishwa nini..? 1. Inasikitisha na kusononesha unaposikiliza kauli za mkuu wa...
  14. Huyu jamaa yangu ni mchawi au ni roho mbaya tu?

    Huyu mshikaji wangu nashindwa kumuelewa,tuko nae kwenye harakati kitambo tu ila naona ni kama kaanza kuwa na roho ya kichawi hivi. Yeye ameanza hizi harakati za kupiga paper za ajira za serikali kitambo tu na kwa maelezo yake hajawahi kufika oral hata moja. Sasa me mwaka huu nilimuambia tukaze...
  15. R

    Kuna mstari mwembamba sana unaomtofautisha kahaba, mchawi na jambazi

    Hellow! Kwa mwonekano wa nje, hawa watatu kuna wakati huwa wanapingana lakini ni kitu kimoja. 1. KAHABA. IIli awapate waume kirahisi, atahitaji uchawi, awaroge wote wamuangaliapo Ili wafungwe fikra na kumtamani Kisha awatie kifungoni na kusahau ndoa zao au kuwasahaulisha vijana kuoa. Huu nao...
  16. K

    YANGA MSITAFUTE MCHAWI

    Sakata linaloendelea la kuahirishwa kwa mechi ya Dabi ya Kariakoo. Katika pitapita zangu nimegundua kuwa aliyewaua Yanga hadi haya yote yanatokea, kumbe ni Yanga. Kivipi? Ukisoma Kanuni ya 36, kuna mtu anaitwa Kamishna wa mchezo. Kamishina wa Mchezo ndiye mwakilishi Rasmi wa Bodi ya Ligi (TPLB)...
  17. Kwanini mchawi haibi pesa?

    Akikukuta una mamilioni yako ataondoka bila kuchukua hata mia. Kwanini? Au mchawi hapendi pesa aka chapaa aka maokoto?
  18. Imeandikwa katika kitabu cha kutoka 22:18"usimuache mwanamke mchawi akaishi"mbona wachawi ndio wanaishi muda mrafu kuliko watu wema?

    Hapo vip!! Andiko hili linatia faraja sana ukilisoma na kama litajidhihirisha kwa matendo ila unapokuja kugundua na kuona kihalisia ni ngumu kulifanyia kazi kwa vitendo na kiroho inaumiza na inakatisha tamaa,labda mimi ndio sielewi ila mwenye ufahamu anifungue kwenye andiko hili. Mimi binafsi...
  19. Mchawi wa Simba ni Mashabiki na Wachambuzi uchwara

    Msimu uliopita mashabiki wa Simba walikuwa smart, waligundua tatizo la timu Yao kuwa ni viongozi Kwa kusajili magalasa akina Jobe, Onana, Saido, Sarr na Magalasa mengine Walishinikiza uongozi kuingia sokoni na kumshawishi arudi na kuwekeza Cha kushangaza viongozi Matapeli waliendelea...
  20. Simba wasitafute mchawi ...mchawi wa simba namba1 ni Ahmed Ally...siku huyu jamaa atakapofukuzwa kazi simba itarudi kwenye ubora wake

    Kosa kubwa la Ahmed Ally ni ubinafsi na kulinda kibarua chake kuliko kupigania ubora wa timu...anatumia nguvu nyingi sana kushindana na kina Ally Kamwe na na akina Hashim Ibwe ili aonekane kama yeye ndo semaji namba1 wa mpira hapa nchini.Simba inahitaji wachezaii wake waambiwe ukweli kwasababu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…