mchango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania CDF Mkunda amechangia kwa kiwango kikubwa kutokea mauaji ya maangamizi ya wananchi

    Tangu tupate Uhuru haijawahi kutokea Mkuu wa Majeshi (CDF) kulihutubia Taifa kwa njia yo yote ile. Jambo lililo wastaajabisha wengi ni pale CDF General Mkunda alipojitokeza mbele ya vyombo vya habari na kumuunga mkono IGP katika harakati za kuua wananchi kwa kisingizio cha kuzima maandamano ya...
  2. JamiiForums Tanzania Lugha ya Mwl. Nyerere kwa Oscar Kambona ina mchango hasi kiasi gani kwa uonevu upinzani uliopitia na unaopitia sasa?

    Mojawapo ya Icon wakubwa wa upinzani na mawazo mbdala katika nchi yetu ni Oscar Kambona aliyetoka kuwa swahiba na mtu wa karibu wa Nyerere mpaka kuwa mkosoaji wake mkuu. Lugha aliyokuwa anatumia Nyerere kumkosoa Kambona hadharani ilikuwa kali sana na isiyo ya kiungwana kwa nyakati hizo, hatujui...
  3. JamiiForums Tanzania Oktoba 29 inapaswa kuwa siku ya mashujaa kuwaenzi na kutambua mchango wao katika kutetea watanzania maskini

    Tarehe 29 October inapaswa kuwa siku ya mashujaa kuwaenzi na kutambua mchango wao katika kutetea watanzania maskini. Mimi nipo mstari wa mbele kupigania mabadiliko na kusimama na watanzania kwa hali zote, nime mwaga machozi kwa kutambua kuwa watanzania walikufa kwa kunipigania mimi na wewe...
  4. JamiiForums Tanzania Kabla ya kudharau wabunge wa darasa la saba ebu tuangalie mchango wa wabunge wasomi wa Tanzania tangu nchi ijipatie uhuru wake .

    Watanzania Wengi Ambao wanadharau wabunge , naomba watupe mchango wa wabunge ambao wamesoma wamelifanyia nini Taifa la Tanganyika.
  5. JamiiForums Tanzania Je, Serikali ya CCM itaweza kumuwajibisha GSM endapo akikosea kwa mchango aliowapa kipindi hiki cha uchaguzi?

    Miaka kadhaa iliyopita Mwigulu Nchemba alitamba sana kwa maneno ya TRAB na TRAT ambayo wengi waliona kuwa waziri hajui maana ya maneno hayo huku wengi wakishindwa kuzungumzia zaidi ya Tsh trilioni 300 ambazo halisema hazipo huko. Okay TRAB ni Tax Revenue Appeals Board na TRAT ni Tax Revenue...
  6. JamiiForums Tanzania Je? Unatumaga mchango wa msiba kijijini kwenu?

    Mimi huwa natuma yaani kwa ujumla nipo kwenye daftari la kijiji ila nataka kujiondoa je? Kuna hasara gani nitapata maana faida siioni mm nina mke na watoto.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Agusa mioyo ya watu Baada ya kukataa Uwanja Kuitwa kwa jina Lake. Ampatia John Malecela Heshima Hiyo kutambua Mchango wake

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa kwa hakika ni zaidi ya kiongozi,ni zaidi ya mtu wa kawaida ,ni zaidi ya Binadamu. Rais Samia siyo mtu wa kawaida ,Mama ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Ni ngumu sana kumfananisha na mtu yeyote yule hapa Nchini na barani Afrika na pengine Duniani Kwote...
  8. JamiiForums Tanzania Bi. Mtumwa Kitete Muuza Uji na Vitumbua Mchango Wake Ndiyo Ulihitimisha Safari ya Nyerere UNO 1955

    BI. MTUMWA KITETE MAMA MUUZA UJI NA VITUMBUA MCHANGO WAKE SAFARI YA NYERERE UNO 1955 Kuna jambo moja nimewahi kuelezwa na Bi. Mwamvua bint Mrisho maarufu kwa jina la Mama Daisy. Wakati huu alikuwa akiishi Ali Hassan Mwinyi Road. Ningependa ulizingatie na ufanye utafiti zaidi. Bi Mwamvua...
  9. JamiiForums Tanzania KUMBUKIZI | Benjamin Mkapa: Ni kosa kwa kiongozi kudharau mchango wa Serikali iliyopita

    Leo ikiwa ni miaka mitano tangu kufariki kwa Rais wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa, alisisitiza kuwa ni kosa kwa kiongozi kudharau mchango wa serikali iliyopita na kuwataka viongozi kuheshimu misingi na mafanikio yaliyotangulia. "Tuna mabadiliko ya serikali katika nchi za Afrika, wakati...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Picha: Achana na mahusiano na mwanamke ambaye hana mchango kwenye maisha yako. Kuwa kama mimi!

    Wanaume kama sisi wenye akili timamu na future. Pampuchi sio kitu cha muhimu sana hasa tunapoingia kwenye mahusiano. Mwanamke anatakiwa kuwa na akili na mawazo Hasi. Mwanamke akupe peace of mind. Mwanamke awe hamasa ya wewe kusave pesa. Mwanamke anatakiwa kuwa mbunifu kila siku. Awe na ofu ya...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kiboko ya wachawi: Vichwa vya Taifa kama Tundu Lissu yuko Gerezani na watu wengine wasio na Mchango wowote wako Uraiani

    Nabii Dominiki Kiboko ya Wachawi aliyekuwa akiongoza kanisa lake kule Temeke Buza kwa Lulenge ameonekana akijipost video huku akicheka na kutoa maneno ya kejeli. Mwenyewe anadai eti anashangaa sana na kusema dunia haiko fair. Anasema haelewi wala haiingui akilini kuona Kichwa kama Tundu(...
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana Ukiwa above 25 ni bora usiwe na mwenza kabisa kuliko kuwa na mwenza hasiye na Mchango wowote kwenye maisha yako

    allen_strong anasema As a man, you should either have a supportive woman by your side or no woman at all. There's no third option. Japo yeye ameongelea kwa wanaume ila mimi naongezea hata kwa wanawake pia. Ni bora uwe single kuliko kuwa na mwenza hasiye na mchango wowote positive kwenye...
  13. JamiiForums Tanzania Mawakili wasomi mchango wenu hapa

    Ni hivi kuna binti wa kaka wamekuwa na tofauti na mme wake kwa muda.hii imepelekea wakaenda kwa balozi kwa usuluhishi ila bado mme hakuridhia ,mme akatupigia simu sisi wazazi nikawaita kuwashauri ,kwa kumwambia hizi tabia ndogondogo ni sababu ya mimba hivyo vumilia na binti tukamkanya basi...
  14. JamiiForums Tanzania CCM inapitisha bakuli (Tone tone) kwa makampuni

    Nakusogezea hii habari toka kwa Mange kimambi kama iivyo (This is nothing but uhujumu uchumi, ufisadi, uonevu, rushwa, udhulumat etc. CCM inatuma barua hizi za kuomba pesa za uchaguzi kwa makampuni binafsi, hivi kuna kampuni itakayodhubutu kutokutoa michango? Hivi kuna kampuni itayo dhubutu...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa nini LAND CRUISER 300 ZX nyeusi?

    Natamani kufahamu utofauti wa LC 300 ZX nyeusi dhidi ya LC 300 ZX nyeupe. Nimekuta mahali LAND CRUISER 300 ZX nyeusi inapigiwa "debe" kama kwamba ni "bora" kuliko rangi zingine kama nyeupe. Nimeona pia viongozi wengi wanaotumia LC 300, magari yao ni rangi nyeusi. Naomba kufahamishwa...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niliyetaka kumuoa kanidanganya kuwa mama yake amelazwa ICU nitume hela ya mchango

    Kupata mke kazi ndugu zanguni. Nilipanga kumsogeza huyu binti niishi nae sababu ji msafi,anajua kupika ,anajua mapenzi na ni mzuri sana,huwa namuachia nyumba hajawahi kuniibia wala kudokoa hata senti moja. Juzi kajichanganya eti mama yake mgonjwa amelazwa ICU unatakiwa mchango 50,000 kila...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania Taifa linalothamini Machawa na Wasanii huku likipuuza Mchango wa wasomi hatuwezi kusonga mbele

    Great Thinkers Hakuna jambo linakera kama 1. Kutosikiliza na kuenzi wataalamu wetu. 2 Kutowatumia wataalamu wetu kuelimisha jamii. 3. Kuwathamini wasomi na kuwafanya watembee kifua mbele. 4. Kuliacha Taifa liongozwe na mbumbmbu ni kero kubwa sana. Amini nawaambia taifa lolote ambalo.halina...
  18. JamiiForums Tanzania TANROADS Yapokea Tuzo ya Kimataifa Kutokana na Mchango Wake wa Kuboresha Usalama wa Barabara (Safer Road)

    TANROADS YAPOKEA TUZO YA KIMATAIFA KUTOKANA NA MCHANGO WAKE WA KUBORESHA USALAMA WA BARABARA (SAFER ROAD) Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amepokea tuzo ya heshima katika mashindano ya kimataifa ya usalama wa barabara, iRAP Gary Liddle...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Huyu Dube mnataka afunge magoli mangapi ili aonekane ni bora? Goli 8, assist 7 siyo mchango mdogo kwenye timu!

    Bado nasema dube ni mshambuliaji mzuri pamoja na mapito anayopitia. Mpaka sasa sidhani kama Kuna namba 9 kwenye ligi nzima mwenye mchango wa magoli kwenye timu yake anayemzidi dube! Kama yupo nitajieni,,magoli 8 na asisti 7 ni jumla ya mchango wa goli 15 kwenye timu,,sio jambo jepesi...
  20. JamiiForums Tanzania Kuomba mchango wa harusi ni matusi makubwa

    Jumapili au Jumamosi funga ndoa kanisani rudi nyumbani na mwenzi wako muishi kwa amani na furaha. Nendeni ofisi ya DC fungeni ndoa mrudi nyumbani muishi kwa amani. Au fungeni ndoa nyumbani kwa binti murudi nyumbani mukaishi kwa amani. Kama unataka kufanya sherehe ruksa, fanya kwa uwezo wako...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…