Je? Unatumaga mchango wa msiba kijijini kwenu?

Je? Unatumaga mchango wa msiba kijijini kwenu?

Desierto

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
900
Reaction score
3,112
Mimi huwa natuma yaani kwa ujumla nipo kwenye daftari la kijiji ila nataka kujiondoa je?

Kuna hasara gani nitapata maana faida siioni mm nina mke na watoto.
 
Usijitoe, wewe changa tu. Jana nilikuwa uko nimeulizwa mbona haupo kwenye daftari
 
Kuna mzee mmoja MATUI MATUI KITETO anaitwa mzee Mkurya he have than ten with something hatujawahi mwona ila jina lake lipo kila page.
 
Kuna mzee mmoja MATUI MATUI KITETO anaitwa mzee Mkurya he have than ten with something hatujawahi mwona ila jina lake lipo kila page.
October atakuja kuomba kura, ole wenu mumnyime
 
Mimi huko kijijini niliko zaliwa huwa natuma hela ya mchango tu nikiwa sina mzee wangu anatoa badili yangu na naandikwa mimi
 
Kama haikupunguzii kitu endelea tu kuchangia
 
Back
Top Bottom