Ndugu zangu kamwene,
Katika ulimwengu wa madaraka, kuna wakati taasisi inabidi ijioshe ili ipate hewa ya kupumua. Nchi inapokwama kiuchumi kwa sababu ya doa la damu mfumo haulazimishi kila mtu kuwajibika maana kuna uwajibikaji hauna impact hivyo anatafutwa mtu mmoja mwenye uzito wa kubeba...
1. MONGOSO-GBPi
2. Tuesday Fire
3. Internal affairs boss. ✂️
4. The teeth-Boss mobimba Mombo na ngai
5. Mama sitomea UBER🚕✂️
6..... Reserved for further updates.
This is coming sooner than anyone could have expected.
WATIBELI SIO MBUZI WA KAFARA. KAMWE HATUTAKUBALI KUGEUZWA CHAMBO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Sisi tunaongozwa na mambo makuu manne; HAKI, AKILI, UPENDO NA UKWELI. Hayo ndio yanayotuongoza na ndio mhimili mkuu katika maisha yetu.
2. Huwezi mgeuza mtibeli mbuzi wa kafara au chambo...
Ninatolewa kafara. Sasa mimi ndiye mshukiwa mkuu wa mauaji ya Albert Ojwang, ingawa sina hatia.
Maafisa wa DCI walipomleta Albert Ojwang katika Kituo Kikuu cha Polisi, alikuwa katika hali mbaya. Alionekana kuteswa. Niliwataka maafisa wa DCI kumpeleka hospitalini kabla ya kumwingiza mahabudu...
Salaam jamiiAfrica.
Unataka kuwa huru?
Unataka kuwa na Amani?
Unataka watoto wako uwalee na wafurahie uwepo wako?
Unataka kufaidi mema ya Dunia,japo asilimia 0.01?
Jitenge na siasa,kaa mbali na wanasiasa.
Acha kuiongelea siasa.
Kaa kimya fanya mambo yako ,usifanye vitu Kwa kutafuta sifa...
Baada ya kufungwa na Singida, sasa rasmi Azam FC hawatoweza kufikia idadi ya alama walizomaliza nazo msimu uliopita (69) walipokuwa chini ya kocha msenegali Youssouph Dabo, mpaka sasa Azam wana alama 51, wamesalia na mechi 5 ambazo hata wakishinda zote watafikisha alama 66.
Tusamehe sana Kocha...
NAMNA maisha yanavyokwenda kasi. Ijumaa usiku wa manane dunia ilikuwa imemwangukia mlinzi wa kati wa kimataifa, Josh Onyango mara baada ya kumalizika kwa pambano kati ya Simba na Raja pale Casablanca.
Asubuhi tuliamka picha zake katika mitandao ya jamii na alikuwa akishambuliwa kwa kejeli na...
Nawashangaa sana mashabiki wasiojitambua wala kujielewa na wasioitambua sayansi ya mpira wa miguu. Simba kapigwa 3 mzuka na Raja nongwa na jumba bovu wanaangushiwa Onyango, Mkude, Manula na Nyoni, ni mpuuzi tu anaweza kuongea utumbo kama huo!
Wachezaji wa Simba ndio hao hao wa siku zote na...
Popote pale unapoenda lazima kuwe na wakubwa au watu wenye hadhi fulani zaidi ya wengine, ni kweli pia hata ‘treatment’ yao huwa inakuwa nzuri tofauti na wengine, japokuwa haitakiwi kuzidi na kuwafanya wale wa chini wajione kama wao ni takataka.
Ndiyo maana ‘treatment’ ya viongozi wa Serikali...
Ijapokuwa Ole Sabaya anatuhumiwa kufanya uovu mkubwa wakati akiwa DC Hai, alipaswa kufunguliwa mashtaka ya jinai kortini. Kwa TAKUKURU kumweka mahabusu kwa wiki nzima ni kukiuka sheria za nchi yetu & kuendeleza tabia ya ukiukaji wa haki za binadamu ya vyombo vyetu vya usalama!
Wanabodi,
Preamble
Mtu mwenye akili na mwenye busara, anapojikwaa na kuanguka, anaangalia mahali alipojikwaa, ili kuipata sababu iliyomfanya ajikwae na kuanguka, badala ya kuangalia alipoangukia tuu, anaamka na kuendelea na safari yake, hivyo huko mbele atakuja kujikwaa tena pale pale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.