Habari zenu, Assalam alaykum, Shalom.
Baada ya kumshuru Mwenyezimungu, shukrani zangu za dhati ziende kwa admini wa group kisha kwa wanakundi kwa support muliyonipatia kijana mimi wa miaka 25 nilipoandika andiko langu la kwanza la Kutafuta muwekezaji. Nashukuru nilifanikisha kupata na biashara...
Habari za majukumu wakuu
Naomba kufahamu usafiri wa kusafirisha mbuzi kutoka minada hii simiyu ...kondoa ....na kilosa je nitapata ya jumuia au itanilazimu kuwa na usafiri binafsi?
Ndugu zangu kamwene,
Katika ulimwengu wa madaraka, kuna wakati taasisi inabidi ijioshe ili ipate hewa ya kupumua. Nchi inapokwama kiuchumi kwa sababu ya doa la damu mfumo haulazimishi kila mtu kuwajibika maana kuna uwajibikaji hauna impact hivyo anatafutwa mtu mmoja mwenye uzito wa kubeba...
Mwanamume mmoja anayeaminika kuwa na umri wa miaka 40 aliyetambulika kama Mitchell Dopoh amedaiwa kumlawiti Mbuzi na kusababisha kifo cha mnyama huyo.
Kulingana na ripoti, uchunguzi wa awali unaendelea kwa sasa, kwani maafisa wa sheria waliopewa eneo hilo bado hawajatoa matokeo rasmi kuhusiana...
Nimepenyezewa hapa habari za ukweli kabisaa na mtu aliekua kwenye press ya wakatoliki leo, naskia nyuma ya camera kuna mtu si akaleta bwana sinia la mbuzi katoliki na ndizi kama kuwashkuru wakatoliki kuungana.
Naskia bwana wale jamaa wengi wao wakasema wao dini yao hairuhisu kula MBUZI KATOLIKI...
1. MONGOSO-GBPi
2. Tuesday Fire
3. Internal affairs boss. ✂️
4. The teeth-Boss mobimba Mombo na ngai
5. Mama sitomea UBER🚕✂️
6..... Reserved for further updates.
This is coming sooner than anyone could have expected.
WATIBELI SIO MBUZI WA KAFARA. KAMWE HATUTAKUBALI KUGEUZWA CHAMBO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Sisi tunaongozwa na mambo makuu manne; HAKI, AKILI, UPENDO NA UKWELI. Hayo ndio yanayotuongoza na ndio mhimili mkuu katika maisha yetu.
2. Huwezi mgeuza mtibeli mbuzi wa kafara au chambo...
Habari wakuu
Naomba uzoefu...Niko na mawazo haya mawili bucha la nyama ya mbuzi au bucha la nyama ya kuku wa kienyeji biashara ipi italipa location ni dar
Hawa mbuzi wa Dar tunaoshinda nao Bar na kugombea nao madem wananifikirisha sana,hivi nani aliwahi kumchinja mmoja akakakutana na mauza uza??
Maana kila mtu anasema ni mbuzi mara dawa mara wa albadiri eti ukila lina kukuta jambo,nani aliwahi kukutwa na jambo au mtu wake wa karibu kwa kujaribu...
Humphrey Polepole, aliyekuwa Balozi na Katibu wa Itikadi wa CCM, sasa ni mshindwa wa hali ya juu (pathetic loser) anayeandamwa na machungu, akidai kufichua siri za chama ili kuudhoofisha utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan.
Kauli zake za chuki ni za mtu aliyeporomoka, anayeishi kama kibaraka...
Eti wakuu, mimi ni tandiboi wa Malori ya kwenda Congo na Malawi. Sasa baada ya kukaa nje ya Tanzania kwa miezi miwili, juzi nilirudi kusalimia mke wangu na mtoto mmoja.
Kuna jamaa mmoja akatuma meseji katika simu ya mke wangu akamuuliza, "HIVI HUYO MBUZI BADO YUPO?"
Sasa najiuliza, mke wangu...
Wakuu,
Akiwa anazungumza kwenye mkutano mkuu maalum wa CUF wa kuchagua wagombea nafasi ya urais kwa upande Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar, Profesa Ibrahim alikumbushia dosari zilizotokea kwenye Uchaguzi wa 2020
Akitoa mfano namna ambavyo pamoja na kuchinjiwa kipindi cha kampeni...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye ni mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi amepewa Mbuzi kwa ajili ya supu atakayotumia baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea urais.
Mbuzi hiyo iliyotolewa na Madereva Pikipiki za miguu mitatu (bajaji)na miwili...
Habari wana JF,
Mimi ni kijana wa miaka 26 nimekuja kwenu wana JF ili niweze kupata elimu na kunifungua akili juu ya wazo nililo nalo na wapi pa kuanzia
Nimejipanga kuanza shughuli za ufugaji wa mbuzi wa nyama ni kitu ambacho sijawahi kufanya hapo kabla hivo nahitaji msaada wa mawazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.