Mbunge wa Jimbo la Ulanga (2020 - 2025), Salim Alaudin Hasham amechukua fomu ya kuwania ubunge wa jimbo hilo akiomba dhamana ya ubunge wa jimbo hilo 2025 - 2030.
Baada ya kuchukua fomu hiyo Salim amesema, “Wana Ulanga wameona kazi nilizofanya kwa miaka mitano, na nimeitikia wito wao wa kutaka...