mbunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge alivyojinadi kwa Kifaransa bungeni

    Mbunge wa Jimbo la Ole Zanzibar Said Salima Hamad ajinadi kwa Lugha ya Kifaransa bungeni wakati wabunge wakiomba kura katika uwakilishi wa Taasisi mbalimbali leo februari 5, 2026
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge Devotha Mburarugaba: Wanawake wakienda kuomba mkopo wanaaambiwa intaneti ipo chini

    Mbunge viti Maalum wa Kagera Devotha Daniel Mburarugaba kwenye kipindi cha maswali na majibu bungeni leo Februari 5, 2026 amehoji Serikali imeweka mikakati gani kuhahakikisha maafisa wanapata vitendea kazi kwani wanawake wakienda kuomba mikopo wanaambiwa intaneti ipo chinihawawezi kupata huduma...
  3. JamiiForums Tanzania Mbunge Musukuma na Usomi phobia, kutokusoma siyo sifa!!

    Mbunge machachari Msukuma ana upeo mkubwa wa kuongea na kuongea. Lakini wakati mwingine kinachomtoka mdomoni ni pumba zisizo ainisha mantiki ya usomi nyuma yake. Huwa anawa nanga sana wasomi, utaifikiri mikakati ya mwalimu Nyerere kufuta ujinga ilikuwa kupoteza muda na fedha. Msukuma...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge Saashisha Mafuwe: Vijana wanaomaliza vyuo kama tusipowaangalia ni bomu lingine

    Mbunge wa Jimbo la Hai, Saashisha Mafuwe, ameionya Serikali kuwa idadi kubwa ya vijana wanaohitimu vyuo vikuu kila mwaka inaweza kugeuka kuwa ‘bomu la kijamii’ ikiwa hakutakuwa na mpango madhubuti wa kuwaingiza kwenye sekta za uzalishaji. Akichangia Mpango Elekezi wa Maendeleo wa Muda Mrefu...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge Festo Sanga: Ripoti inaonyesha tumekopesha zaidi ya Trilioni 3.5 kwa vijana, na bado vijana wanalalamika hakuna ajira nani anakula hizo fedha?

    Mbunge wa Jimbo la Makete, akichangia katika Bunge la 13, Mkutano wa Pili, Kikao cha 6, ameeleza kuwepo kwa mifuko ya vijana katika wizara mbalimbali licha ya kuwepo kwa Wizara rasmi ya Vijana. Amesema kuna zaidi ya mifuko 70 katika wizara tofauti inayopokea fedha kwa ajili ya vijana...
  6. JamiiForums Tanzania Nauliza tu wajameni, yule Mbunge aliebinuka bungeni kwenye meza, alirudi bungeni awamu hii?

    Hata simkumbuki jina...ila nikiwa hapa kanisani leo katika kanisa takatifu la kimitume katoliki parokia ya uparokiani Askofu anazungumzia jambo , anasema kua unaweza kua mtu mzima ila akili huna.. Ndio nikakumbuka tukio la mbunge aliechaguliwa Sasa sijui alichaguliwa na wananchi ama aliwekwa...
  7. JamiiForums Tanzania Mbunge Kangi: Bunge, Mahakama, na vyombo vya Dola viwe huru

    Mbunge wa Jimbo la Mwibara (CCM), Kangi Lugola amesema ni vyema mihimili ya serikali iwe huru ili iweze kufanya kazi zake kwa usahihi bila kuingiliwa. Soma pia: Vyombo vya Dola na taasisi nyingi zianitaji Kukombolewa na Wananchi ikiwepo mihimili Bunge na Mahakama Wananchi tuvikomboe virudi kua...
  8. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mbunge Kunti Yusuph Majala: Tumeangamiza wasiokuwa na hatia kwa tamaa zetu

    " Niwaombe watanzania wenzagu hii nuru tuliyonayo si kitu cha bedha wala siyo kitu cha kutikisa na kwenda kujaribu, na wasahili wanasema sumu haijaribiwi kwa kuonja tumejionea sisi wenyewe yaliyotokea. Wapo waloathirika hata ambao walikuwa hawahusiki na hayo mambo lakini tumeenda kuangamiza...
  9. JamiiForums Tanzania Mbunge Musukuma uwe unatumia akili, sio kutaka sifa zisizo na mashiko. Wewe umesoma na una PhD

    Mtu amesoma na ana Phd lakini anaingilia suala ambalo lina mkataba kisheria. Kama muwekezaji ameingia kima kosa basi halmashauri au waliofunga nae mkataba wauvunje kama kweli ni voidable contract. Sasa habari ya kutaka upewwa maelezo kibabe mbele ya kamera ya nini? Wewe sio sehemu ya mkataba...
  10. JamiiForums Tanzania Kila mwezi lazima mbunge mmoja afariki baada ya uchaguzi wa Oktoba 29,2025, hii ni ishara mbaya kiroho

    Sisi watu wa rohoni tunaona mengi mno, nadhani wataalam wenzangu wa ulimwengu wa roho mshagundua kuwa hii siyo ishara ya kawaida Baada ya kuapishwa bunge baada ya uchaguzi kila mwezi laZima mbunge mmoja afariki kutokana na sababu mbalimbali Mwezi December, Jenestha Mhagama RIP alipoteza maisha...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mwekezaji na Mbunge wamliza bibi ni kuhusu ghorofa lililopo Kariakoo, aomba Serikali Kuu imsaidie apate haki yake

    BIBI kikongwe Khadija Isihaka (84), amemwangukia Rais Samia Suluhu Hassan,akimsihi aingilie kati mgogoro wake na mwekezaji Munir Harbesh, anayelalamikiwa kuvunja mkataba wao wa kumiliki jengo la ghorofa kwa ubia. Bibi Khadija anasema wakati akihangaika kusaka haki yake kwenye uwekezaji huo wa...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi watu wa Arusha mjini mpaka sasa mmenufaika nini na Makonda kuwa mbunge wenu?

    Mlimchagua kwa mbwembwe.. Vipi kuna lolote zuri alilolianzisha hapo Arusha mjini tulijue?
  13. C

    JamiiForums Tanzania Gari la Mbunge Babalevo T555 EPN halina bima?

    Inasikitisha kutembeza chuma cha zaidi ya thamani ya Tsh Milioni 100 bila kuwa na bima. Waweza kuhakiki kwa kuweka namba ya gari T555EPN https://tiramis.tira.go.tz/#/
  14. JamiiForums Tanzania Mbunge Mstaafu Bwege: Serikali isingeweza fungia hata Msikiti mmoja. Siku hiyo kungechafuka sana

    Nakubaliana na Mbunge wangu aliyemaliza muda wake. Huyu jamaa huwa hajui kuuma uma maneno. Nina wasiwasi pia si mtu wa Pwani. Nakubaliana naye Serikali ingejaribu kufungia msikiti mmoja tu kingewaka. Siku hiyo ndo Kahaba na Makahaba wenzake wangeona cha moto. Maana ni ukahaba tu unaofanya mtu...
  15. JamiiForums Tanzania Mbunge wa viti maalumu ana majukumu gani kwenye Jimbo

    Wakuu kwema ! Heri ya mwaka mpya Moja kwa moja kwenye hoja Nataka kuambiwa haraka sana Mbunge wa viti maalumu ana majukumu gani ktk Jimbo ? Nauliza hvyo kwa sabqbu nimemuona Mbunge wa viti maalumu kwa jina la Sigrada Mligo akimfokeaa sijui mkurugenzi na waatalamu kwa kuwambia kuwa kbla ya week...
  16. JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Saranga, Kibamba ni mbovu sana na kero kwa mwananchi. Mamlaka saidieni kurekebisha miundombinu

    Kwanza niwape pole wana saranga Kibamba. Mungu awasaidie mfike mbingun bila maswali. Leo nilienda kumchukua mke wa bro anakaribia kujifungua akae karibu na home yeye yuko huko Congo Ile barabara nilipita mwaka jana hakika niliandika humu nani mbunge wa Kibamba, njia inasikitisha sana wapendwa...
  17. JamiiForums Tanzania Rais ni mwanasiasa sio Mungu inapaswa achukuliwe kama mjumbe wa nyumba kumi au mbunge mitizamo hasi juu ya Rais ni kichocheo cha matatizo

    Rais ni mwanasiasa sio mungu inapaswa achukuliwe kama mjumbe wa nyumba kumi au mbunge mitizamo hasi juu ya rais ni kichocheo cha matatizo. Rais ni mwanasiasa yule ni sawa na mbunge tuwekeni mizania sawa ili kuwepo na uwajibikaji rais atumike na sio atumikiwe. Mfano uchaguzi wa oct 29 kwa...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na Jonathan L. Jackson, Mbunge wa Bunge la Wawakilishi la Marekani ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Ndogo ya Afrika ya Bunge hilo

    Katika mwendelezo wa mazungumzo na wadau mbalimbali muhimu katika kukuza uhusiano baina ya Tanzania na Marekani, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki alikutana kwa mazungumzo na Mhe. Jonathan L. Jackson, Mbunge wa Bunge la Wawakilishi...
  19. JamiiForums Tanzania Mbunge Kamonga: Je, Ni Mipira 193 ya Milioni 13?

    Ni masaa machache sasa kumekuwa na mjadala mkali uliosambaa kama moto porini kuhusu ununuzi wa mipira 193 kwa Sh. 13,510,000 na Mbunge wa Ludewa, Mheshimiwa Joseph Kamonga, akikumbwa na lawama kutoka kwa wananchi na wadau wa michezo. Ripoti zilizotengwa mtandaoni zinaibua maswali tele: Je, bei...
  20. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Damas Ndumbaro: Wasanii wa Tanzania hawajavunja sheria kwa kuuza kazi zao au kushiriki katika kampeni za CCM

    Damas Ndumbaro: Kazi ya Sanaa ni haki ya msingi ya binadamu, kama inavyotambuliwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara ya 18 (a). Vilevile, sanaa ni ajira na biashara halali. Wasanii wa Tanzania hawajavunja sheria kwa kuuza kazi zao au kushiriki katika kampeni za Uchaguzi Mkuu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…