mbunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Mkataba wa Bandari: Mbunge Aida Khenani akiri kupelekwa Dubai, lakini mpaka wanarudi hakujua walikwenda kufanya nini

    Hakika shetani ana trick za ajabu sana anapotaka kutenda au anapotenda uovu wake kwa kuwatumia watu waovu hususani viongozi wenye dhamana kubwa za kuongoza nchi na wananchi wa nchi yetu.. Hebu twende pamoja, soma na sikiliza hii👇👇👇 Mkataba wa DP WORLD ni zaidi ya mkataba tu! • Kumbe kulikuwa...
  2. Mbunge Boniventura Destery Kiswaga (CCM) Aishauri Serikali Kuongeza Kodi Mafuta Yanayozalishwa Nje

    MBUNGE BONIVENTURA KISWAGA AISHAURI SERIKALI KUONGEZA KODI KWENYE MAFUTA YANAYOZALISHWA NJE Mbunge wa Jimbo la Magu (CCM), Mhe. Boniventura Destery Kiswaga ameishauri Serikali kuongeza kodi katika mafuta ya kula yanayoagizwa kutoka nje ya nchi na kuondoa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kwenye...
  3. F

    Yupo wapi Mbunge Christopher Ole Sendeka?

    Kwa Bunge hili wamekuwepo wabunge wa CCM waliojaribu kuongea ukweli ktk Bunge lisilo na upinzani. Baadhi yao ni Mipina, Gwajima, Sendeka nk. Mbunge Christopher Ole Sendeka haonekani Bungeni kwa muda sasa. Yupo wapi?
  4. Hamad Masauni: Kamera zenye Mfumo wa utambuzi wa Sura kufungwa Dar es Salaam, Arusha na Dodoma

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 35 leo Mei 29, 2023. Ufungaji wa kamera za Ulinzi Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhe. Hamad Masauni amesema Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Polisi limekamilisha mradi wa ujenzi wa mji salama utakaotumia kamera zenye mfumo wa...
  5. Mbunge Mnyeti aiomba Serikali kupeleka Vifaa Tiba katika Hospitali ya Wilaya ya Misungwi

    Mbunge wa Jimbo la Misungwi, Mhe. Alexander Mnyeti ameiomba Serikali kupeleka vifaa tiba katika Hospitali ya Wilaya ya Misungwi kuwezesha wananchi kupata huduma bora za afya. Akitoa salaam kwa niaba ya wapiga kura wake leo Juni 14, 2023, wakati wa ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kukagua...
  6. Sharti Mbunge awe amepitia JKT au jeshini na amewahi kutumikia taifa

    Kama ilivyo kwa ajira nyingine ambazo kigezo mojawapo ni ukakamavu na uzalendo (JKT). Tunahitaji MBUNGE sifa ya kugombea iwe JKT na awe na historia ya KUTUMIKIA TAIFA kwa uzalendo kwa muda usiooungua miaka mitano.
  7. Mbunge Esther Malleko Aibana Wizara ya Afya Kuhusu Hospitali ya KCMC

    MHE. ESTHER MALLEKO AIBANA WIZARA YA AFYA KUHUSU HOSPITALI YA KCMC Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Esther Edwin Malleko leo tarehe 12 Juni, 2023 Bungeni jijini Dodoma ameibana Wizara ya Afya kwa Maswali kuhusu ukarabati, huduma na watumishi katika Hospitali ya KCMC "Je...
  8. Mbunge adai kuibiwa simu bungeni

    Hii ni baraa Bi Chege, alisema alinyang’anywa simu aina ya iphone 14 mnamo Juni 8, 2023 kufuatia vurugu zilizozuka katika bunge la kitaifa. Akizungumza eneo la Meru, mbunge mwakilishi huyo wa wanawake zamani Murang’a, alimrai Naibu Rais Rigathi Gachagua kuingilia kati kumsaidia kupata simu...
  9. Mbunge Assa Makanika akutana na viongozi wa dini zote Jimbo la Kigoma Kaskazini

    Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Mhe. Assa Makanika mnamo tarehe 10 Juni, 2023 alikutana na viongozi wa dini zote wa Jimbo la kigoma kaskazini ikiwa ni utaratibu wake kukutana na taasisi mbalimbali jimboni. Lengo la kikao hicho ni Muendelezo wa kushukuru, kupokea ushauri na maoni kutoka kwa...
  10. Je wajua: Mbunge Jumanne Kishimba ndiye mmiliki wa Dar Free Market na Imalaseko Supermarket

    Licha ya elimu yake ndogo ya Darasa la 7, Mzee Kishimba alianza biashara akiwa na miaka 14 baada ya kuacha shule na kukimbilia kuchimba madini ya Dhahabu katika mikoa ya Kanda ya Ziwa. Kwa sasa amejijengea jina kubwa Bungeni kwa miongoni mwa Wabunge wanaotoa hoja za kipekee sana na michango...
  11. Sijaona Mbunge wa CCM anaetoa angalizo kwenye makubaliano ya Bandari na DP

    Kunapo kuwepo na makubaliano ya pande mbili hususani katika minority point of view. Tulitegemea Bunge liwe sehemu ya wabunge kuchambua maelezo ya makubaliano na kuyawakilisha kwa niaba ya wananchi. Lakini cha kusikitisha, leo katika bunge, wabunge wote wa CCM kujikita katika kusifia, ku attack...
  12. F

    Bunge lasikiliza maoni ya Freeman Mbowe kupitia simu ya mkononi. Spika ataka mbunge aandae audio nzuri

    Mjadala wa kubinafsisha shughuli za bandari ya Dar es Salaam umepamba moto leo katika ukumbi wa bunge Dodoma. Baada ya wabunge wa CCM kumshutumu Freeman Mbowe kwa kauli yake juu ya nafasi ya wazanzibari kwenye ubinafsishaji wa bandari za Tanzania, spika Tulia Akson amelazimika kuruhusu clip...
  13. Mchezo umekwisha, kila mbunge anaona ni sawa kwenye hili la bandari

    Kila aliyepo bungeni leo hadi spika wanaona ni sawa DP world kupewa bandari, na hakuna kipengele tata kwenye mkataba( makubaliano kama wanavyoita) yaani vifungu vyote vipo sawa tu, hakuna hata mmoja anayena kuna tatizo hata moja. "Uchangiaji waoleo upo hivi, Serikali ina njema na nchi...
  14. J

    Musukuma aisifia DP world ya Dubai sakata la bandari. Adai Taifa linacheleweshwa na wajinga wanaotaka kushirikishwa kila kitu

    SAKATA la kuuza Bandari kwa Mwarabu limezidi kuwagawa watanzania hapo Mbunge Joseph Msukuma amewashambulia watanzania wanaopiga kuuzwa kwa bandari kwa mwarabu. ============== Mimi ni mmmoja wa Wabunge niliyeenda Dubai, kuona uwekezaji uliopo Dubai. Wala sijifichi. Nilienda kwenye ziara ya...
  15. S

    Tetesi: Mbunge Shangazi ana ubia na Kampuni ya DP World

    MBUNGE, Rashid Shangazi anatajwa kuwa ndiye Dalali wa Kampuni ya DP World inayotaka kuuziwa bandari zote Tanzania isipokuwa za Zanzibar tu, Shangazi alianza kuipigia debe na baadaye kuwaleta nchini na kukamilisha hiyo dili ambalo limezua mgogoro mkubwa Tanzania. Ushahidi wa ni SWALI NA 58 LA...
  16. Sakata la Picha ya Mbunge wa Ngara Wananchi Wakana Kulazimishwa

    SAKATA LA PICHA YA MBUNGE WA NGARA WANANCHI WAKANA KULAZIMISHWA Wananchi na wakazi wa Wilaya ya Ngara mkoani Kagera wamekanusha kulazimishwa kuweka picha ya Mbunge wa Jimbo hilo Mhe. Ndaisaba Gerge Ruholo kwenye maeneo yao kama ilivyoripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari hapa nchini...
  17. Mbunge Juliana Masaburi Ahoji Utekelezaji wa Mradi wa REA III Mkoa wa Mara

    Mbunge wa Viti Maalum Vijana Taifa, Mhe. Juliana Didas Masaburi katika kipindi cha Maswali na Majibu Bungeni Jijini Dodoma amehoji Wizara ya Nishati kuhusu utekelezaji wa Miradi ya REA III awamu ya Pili Katika Mkoa wa Mara Maswali yote yalijibiwa na Naibu Waziri Wizara ya Nishati Mhe. Wakili...
  18. Mbunge Neema Mgaya Aitaka Serikali Kufanyia Ukarabati Shule Kongwe Hapa Ncnini

    MBUNGE NEEMA MGAYA AITAKA SERIKALI KUFANYIA UKARABATI SHULE KONGWE HAPA NCHINI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Njombe, Mhe. Neema William Mgaya katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni ametaka kujua mpango wa Serikali kukarabati Shule Kongwe katika Mkoa wa Njombe "Je, lini Serikali...
  19. Mbunge Stella Ikupa Alex Aitaka Serikali Kusimamia Kanuni ya Kupata Mikopo kwa Watu Wenye Ulemavu

    MBUNGE STELLA IKUPA AITAKA SERIKALI KUSIMAMIA KANUNI YA KUPATA MIKOPO KWA WATU WENYE ULEMAVU NCHINI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Stella Ikupa Alex Bungeni jijini Dodoma ameishauri Serikali kuhakikisha Halmashauri na Manispaa zinasimamia muongozo na kanuni ya kutoa mikopo kwa...
  20. Sintofahamu picha za Mbunge wa Ngara zikiwekwa maofisini kama picha ya Rais

    Updates: Video imeambatanishwa . . . Mbunge wa Ngara (CCM) Ndaisaba Ruhoro anadaiwa kulazimisha picha zake zibandikwe maeneo yenye mkusanyiko wa watu ndani ya jimbo huku baadhi ya watu wakihoii kwa nini iwe lazima. Picha hizo zinaelezwa kubandikwa maeneo ambako kuna picha za Rais na sehemu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…