mbowe

  1. JamiiForums Tanzania Mbowe hatohama Chadema kama mnavyodhani, Gwajima atashinda Urais..

    Jamani, hebu niwaambie kitu – Mbowe hatohama CHADEMA kama mnavyodhani! Wengi wamekuwa wakisema eti anajiandaa kutoka, eti amechoka, eti kuna mgawanyiko... lakini ukweli ni kwamba Mbowe bado yupo imara. Yule ni mtu ambaye amepitia mengi – kifungo, mateso, siasa za vurugu – lakini hajawahi...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Je mwamba Freeman Mbowe anasubiri chadema ifutwe?

    Salut wanaJF! Waungwana ni shahiri dhahiri CHADEMA sasa inakwenda kufutwa na msajili wa vyama vya siasa kutokana na kuendesha shughuli zake bila ya kufuata Sheria za vyama vya siasa, Hii sababu ni ya msajili mkuu wa vyama vya siasa na ndio iliyopelekea kunyimwa ruzuku Yao. Je Mwamba anasubiri...
  3. JamiiForums Tanzania Heche na genge lake wamefanya ziara Mkoa wa Kilimanjaro, lakini wamegwaya kupita Wilaya ya Hai. Hakika Mbowe anaogopwa

    Chadema wamemaliza ziara Mkoa wa Kilimanjaro. Ajabu ni kwamba wamepita Wilaya zote isipokuwa Wilaya ya Hai. Hakika wanamuogopa Mbowe, wanawaogopa wana Hai
  4. JamiiForums Tanzania Je, hii video ndo inamfanya Mbowe Kuogopa na Kubaki ndani akiwa anachungulia Dirishani?

    GT. Laana ya watoto wadogo wa taifa hili zitawatesa wasaliti. 'Waacheni watoto wadogo waje kwangu". Mkisaliti mapambano x3
  5. F

    JamiiForums Tanzania Mbowe akienda CHAUMMA wengi tutakuwa mwanachama wa CHAUDEMA

    Wengi ni wakereketwa wa CHADEMA, chama makini, lakini pia wengi wanamkubali Freeman Mbowe kama mwanasiasa mahiri. Kama Mbowe atakwenda CHAUMMA wengi wetu itatubidi tuwe wanachama wa CHAUDEMA ili tufaidi vyote.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Endapo Freeman Mbowe atajiunga na CHAUMMA, taifa litanufaika sana

    Habari wanaukumbi! kujiondoa kwa CHADEMA uchaguzi mkuu wa oktoba 2025 ni dhahiri shahiri ni pigo kwa taifa, hivyo basi lazima kupatikane jukwaa mbadala la kuandaa viongozi wa taifa hili kwa siku za mbeleni, mtu sahihi wa kufanya hivyo ni FAM, Sisi sote ni mashahidi katika uongozi wake...
  7. JamiiForums Tanzania Lyatonga Mrema , Maalim Self, Lipumba, Mbowe , Mama Tanzania pamoja na Zitto je historia ya Tanzania itawakumbukaje hawa watu ?

    Lyatonga Mrema , Maalim Self, Lipumba, Mbowe , Mama Tanzania pamoja na Zitto je historia ya Tanzania itawakumbukaje hawa watu ?. .
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, Mbowe anatumika ama anatumiwa?

    Mbowe si muongeaji sana ni mkimya na mtulivu sana! Huwa hapendi kuongea mwanzoni, hupenda kuongea mwishoni na kufunga mjadala. Ni jambo zuri lakini kuna baadhi ya mazingira hupaswi kukaa kimya muda mrefu sana. Mwenyekiti huyu mstaafu wa CHADEMA kahusishwa mara nyingi sana na CHAUMMA, chama...
  9. JamiiForums Tanzania Ni kweli kwamba Freeman Mbowe alikaa gerezani wakati wa ile kesi yake ya ugaidi?

    Nimeanza kupata mashaka sana na sarakasi za huyu 'mpambanaji'. Alikuwa anapambania tumbo lake. Ni kweli alikaa gerezani kipindi kile?
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kishindo cha Hashim Rungwe: Aendelea kutamba anga za siasa za Tanzania, asema CHAUMMA iko tayari kumpokea Mbowe awe Mwenyekiti

    Kiongozi wa Chama Kikuu cha upinzani Tanzania kaongea tena. Ni mwaka wa bilionea Hashim Rungwe, atamba na kusema yuko tayari kumuachia Mbowe uenyekiti wa chama. Piga picha mabilionea wawili wakae mahala pamoja! Watu waliooukwaa ubilionea tangu senti hamsini iko kwenye mzunguko wa fedha Tanzania...
  11. JamiiForums Tanzania Mbowe ni Wakala wa Siasa – CHADEMA Sio Mali ya Familia Yako!

    Muda umefika wa kuongea bila kupepesa macho, bila kupaka mafuta kwenye sufuria chafu. CHAUMA sasa inageuka kuwa jalala la kisiasa, bandari ya masaliti, sehemu ya watu waliotimuliwa kwa sababu ya tamaa zao binafsi na sasa wanakimbilia huko kama paka waliomwagiwa maji moto. Sasa, nasikia eti...
  12. JamiiForums Tanzania Tetesi: Mbowe kuondoka na covid-19 kumi kwenda nao CHAUMMA

    Zile Helicopter zilizoandaliwa Kwajili ya Mission C4C ya CHAUMMA zitaanza kuonekana Rasmi punde na Mbowe Yuko mbioni kujiunga na Chama hicho Pamoja na WABUNGE 10 wa KUNDI LA COVID-19. akiwemo Halima mdee!. Mwezi julai Tarehe 5 Mwamba kutimka Rasmi Kwenda CHAUMMA Kwajili ya kugombea Urais.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Mabadiliko Je Zitto alikuwa sahihi kutaka kumng'oa Mbowe?

    Sote tunaona yanayoendelea ndani ya CHADEMA ya leo. Uchaguzi ndani ya chama umezaa kizaazaa baada ya madalali wa kisiasa nchini kupigwa chini. Takriban miaka 12 iliyopita, wakati huo Kijana Zitto Kabwe, Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba walipanga mkakati wa kumng'oa Freeman Mbowe, hoja yao kuu...
  14. JamiiForums Tanzania Nadhani Watanzania wote mmeshajua wapi Mbowe alikuwa akitoa hela za kuisapoti CHADEMA

    Kuna watu wenye akili ndogo mlikuwa mnasema Mbowe anaisapoti Chadema kupitia hela zake za Biashara . Ila Lissu alihoji je ikiwa Ana hela za biashara ni biashara gani hizp ambazo hazina jina. Ni vichekesho Sana wakuu nadhani mmeshajua aina gani ya biashara alikuwa anaifanya na wapi alikuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia kapunguza safari za nje au ni mimi tu?

    Hivi ni mimi tu au ni kweli kapunguza safari za nje? Kuna wakati huyu Rais wetu alikuwa hakai nchini kwa muda mrefu. Kila fursa ya kusafiri kwenda nje ya nchi alikuwa hailazii damu. Fursa za safari alikuwa anazikamata kweli kweli. Nakumbuka alikuwa anapenda sana kwenda Marekani. Sasa...
  16. JamiiForums Tanzania Namkubali sana Mbowe ila kuna madhaifu makubwa sana kwake niliyaona tangu 2014 japo niliamua kukaa kimya

    Mbowe namkubali Sana kwa hizi sifa mbili 1. Mbowe alikuwa na uwezo mkubwa wa kusoma na kujua potential za WATU na kuziibua . 2. Alikuwa na uwezo wa kukubalika kwa watu wenye upeo wa juu great thinkers na wasomi . Ila udhaifu ambao nimeuona kwake ni ile kukumbatia falsafa ya kiswahili...
  17. JamiiForums Tanzania Je, Mbowe ataipora Chadema jengo lake la makao makuu Mikocheni?

    Mbowe amemaanisha yupo serious kwenye vita yake na Chadema, kuwapora wanachama na viongozi kadhaa, kuifungulia kesi kwa msajili was vyama na kuna kesi nyingine pia imefunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wake upande wa Zanzibar Je Mbowe atatumia mbinu gani (akisaidiwa na dola) kuipora...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Uvumi, tetesi , fununu zilibashiri kuwa leo Mbowe ataonekana rasmi kwenye mkutano wa Chaumma, hali ikoje?

    Nyerere alisema DHANA HAIPATANI NA UKWELI. Tujiepushe na kubashiri mambo bila concrete reasoning and valuations
  19. R

    JamiiForums Tanzania Ikiwa mlinzi wa Freeman Mbowe amepokelewa CHAUMMA, what next?

    Salaam! Kwa wajuvi wa kuunga dots, hebu tujaribu kuchakata jambo hili. Mlinzi wa Mh Mbowe SI mwanasiasa, ni komandoo mstaafu, Sasa mkubwa akitaka kufanya ziara Magu kwa mfano, nani hutangulia mbele kabla kuweka mambo sawa? Sasa kupokelewa kwa mlinzi wa Mh Mbowe,CHAUMMA kuna move gani yaja...
  20. JamiiForums Tanzania Mmemuona Mh. Mwenyekiti Mstaafu Mahakamani au Hamjamuna?

    Bado nipo dilemma kuelewa mchezo mzima wa siasa za CDM mara baada ya uchaguzi. Sitaki kuamini kwamba kiongozi eti kapumzika kutokana na pirikapirika za siasa kwa miaka 20+ iliyopita, hivyo kaamua kutandika akili na kujihusisha na siasa za CDM. Ikiwa ni mtu aliyeaminiwa na waazilishi wa hicho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…