mbowe

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Haki Haikuonekana Kutendeka

    Haki haijawahi kujificha. Jaji Siyani kwa kujiridhisha kuwa: 1. Mshitakiwa wa pili alikamatwa akawasaidia polisi kumtafuta Mosses Lijenje Moshi, Boma Ng'ombe hadi Arusha, 2. Njiani wakapata mishikaki na Mo Energy, 3. Mshitakiwa wa pili akatoa maelezo kwa ridhaa yake ndani ya masaa 4...
  2. JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa yatupilia mbali mapingamizi 2 kesi ndogo ya Mbowe na Wenzake. Jaji Siyani ajitoa kuendelea na kesi

    Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, leo Jumatano Oktoba 20, 2021 inatarajiwa kutoa uamuzi katika kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu. Uamuzi huo ambao utatolewa na Jaji Mustapha Siyani (Jaji Kiongozi...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ikiwa leo ni hukumu ya Mbowe na wenzake, anatukumbusha mwandishi huyu wa 1980

    The trial Finally, The judge will take his place And the accused, The complainant And the onlookers: All will know where to be - and Justice will be meted out Even before the trial.
  4. JamiiForums Tanzania Huu ndio msimamo rasmi wa Mbowe dhidi ya Sabaya na washirika wake.

    Hii ni kauli aliyoitoa Mbowe zaidi ya mwaka mmoja uliopita dhidi ya Sabaya na washirika wake. Mbowe aliitoa kauli hii kwa ujasiri mkubwa na hadharani wakati huo Sabaya akiwa mkuu wa wilaya ya Hai chini ya utawala wa Rais Magufuli. "....Siko tayari kumjadili Sabaya, mtoto mpotevu, mhuni, mtu...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere aliipenda nchi siyo CCM

    Kama ilivyokuwa kwa Mwalimu Nyerere mapenzi yake yalikuwa kwa nchi siyo CCM. Ukipenda nchi utakuwa mzalendo kwa dhati yako. Huwezi kutumwa kufanya ujambazi, ubakaji, utekaji, utesaji, wizi, udhwalimu nk, nawe ukakubali na hata kuja kujitetea mahakamani kuwa ulikuwa mtumwa tu. Kwa hakika hii ni...
  6. JamiiForums Tanzania Ukicheka ya Sabaya, Usihuzunike ya Mbowe

    Nasema hivi ya Sabaya yameisha anatumikia adhabu yake, watu wamefurahi wameshangilia na wamemsifu hakimu na mahakama pia. ANGALIZO: mahakama zetu ni hizohizo ndio zinaendesha kesi ya bwana Mbowe. Tutaendelea kusubiria hukumu yake na tuwe tayari kuipokea vyovyote vile tena kwa kushangilia...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wakina Halima Mdee wamekataa kwenda kumsalimia Mbowe Mahabusu?

    Wahenga walisema ukistaajabu ya Farao utashangaa ya Musa. Najaribu kutafuta picha kama akina Mdee na wenzake kwa jinsi walivyokuwa kindakindaki na utii ndani ya chama na mwenyekiti, wadada wa Bawacha walikuwa na makesi kibao ya kumtii Mwenyekiti lakini leo kunauadui zaidi ya ule wa chui na paka...
  8. JamiiForums Tanzania Madhara ya kesi ya Mbowe na tofauti na kesi ya Sabaya

    Ukweli kesi ya Mbowe Kila anaeifuatilia anajua kabisa kuwa kesi hii ni ya kutunga na ukweli pia kesi ya Sabaya kila anaeifuatilia anajua kabisa kuwa kesi yake ni ya ukweli. CCM wote wanajua kabisa kesi ya Mbowe ni ya kumkomoa na CCM wote wanajua kabisa Kesi ya Sabaya ni kweli alifanya makosa...
  9. JamiiForums Tanzania Hukumu ya Sabaya inawasha taa nyekundu kwa Kesi ya Mbowe

    Ukweli NI kuwa hukumu na kesi ya sabaya ilivyoendeshwa inaonesha uhalisia wa utolewaji haki Tanzania. Ila hukumu ya sabaya inamaana kubwa Sana kwenye kesi ya Mbowe. NI taa nyekundu kwake kwasababu. 1. Wapo watakaolazmisha na Mbowe apatwe na hatia ili tu kujustify na kuwafariji sg. 2. NI ishara...
  10. JamiiForums Tanzania Je, hukumu ya Sabaya ina mtazamo gani juu ya kesi ya Mbowe?

    Wakuu kuhusu kilichotokea huko kwa kwa Sabaya ni kama mlivosikia, swali ni je hukumu hiyo imetolewa kama kuwafumba macho Watanzania ili itakapotolewa (mvua) hukumu kwa Mbowe ionekane kwamba imetenda haki? Kwa hukumu hiyo ya Sabaya inaleta taswira gani kwa hukumu ijayo ya Mbowe?
  11. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia serikali yako imwachie Mbowe. Siyo gaidi

    Damu ya Mbowe inakulilia kwasabb wewe ndiye kiongozi mkuu wa chama tawala na serikali. Wafuasi wa Mbowe kucha kutwa wanajenga chuki dhidi yako mpk hapo utakapomwachia kiongozi wao. Familia ya Mbowe inakulilia usiku na mchana, inapoamka, inapokula na inapolala. Mliopo karibu na Samia...
  12. JamiiForums Tanzania Hii kesi ya ugaidi inatumika kupiga ndege wawili kwa jiwe moja, ila mmoja ndiyo analengwa zaidi

    Hii kesi ya ugaidi inatumika kupiga ndege wawili kwa jiwe moja, ila mmoja ndiyo analengwa zaidi, kwa bahati mbaya mshika manati ndiyo anapoteza zaidi. Nakumbuka miaka ya 2000 kuja 2005 ilikuwa ukipita mitaani chama kilichokuwa kwenye headlines ni CCM. Ndicho chama kilichokuwa kinatrend sana...
  13. JamiiForums Tanzania Unajua Freeman Mbowe sio mtu wa Kawaida?

    Freeman Mbowe sio mtu wa Kawaida, amini nakuambia. Huyu mwamba amezaliwa kwenye familia ya kitajiri, Baba yake alikua ni tahiti na alimwezesha Mwlm Nyerere kifedha kwenda NY Marekani kudai uhuru. Hakukulia kwenye Manisha ya shida, Amezaliwa ama amekulia katikati ya jiji la Dar es salaam, Sea...
  14. JamiiForums Tanzania Taifa lenye watu wenye fikra pevu limejengwa katika utamaduni wa kuheshimu na kukubali ukosoaji

    Taifa lenye watu wenye fikra pevu limejengwa katika utamaduni wa kuheshimu na kukubali ukosoaji wa aina yoyote ile, na si usengenyaji. Kuyaona madhaifu ya mwenzako na kumweleza yeye mwenyewe ni kumkosoa, lakini kwenda kuyaeleza madhaifu hayo kwa wengine ni kumsengenya alisema Nyerere kupitia...
  15. JamiiForums Tanzania Je, ugaidi anaotuhumiwa nao Mbowe ni ugaidi wa serikali?

    Je Ugaidi anaotuhumiwa nao mh Mbowe ni ugaidi wa serikali? Najaribu kutafakari kimyakimya kwa maandishi kuhusu mashataka aliyofunguliwa mwenyekiti wa CHADEMA mh Freeman Mbowe. Nimejaribu kupitia rekodi mbalimbali za Mbowe tokea akiwa mwenyekiti wa vijana (BAVICHA) taifa, mpaka anakuwa...
  16. Q

    JamiiForums Tanzania Kathrin Steinbrenner, Naibu Balozi wa Ujerumani kamwambia Mbowe ‘Never Give Up’

    Naibu Balozi wa Germany nchini Tanzania KATHRIN STEINBRENNER akamsogelea Freeman Mbowe na kumueleza "never, never, never Give up!" Freeman akasema "I will never give up". Ikapigwa ngeli ya kutosha hapo. MaCCM wanalalamika koridoni, wanasema Germans wanasapoti ugaidi wa FREEMAN.
  17. B

    JamiiForums Tanzania Kama kupata Maelezo ya Adamoo, sheria ilikiukwa, Yatatupwa

    Shauri dogo ndani ya shauri lilopo sasa hivi linatokana na utata kuwa je mshitakiwa wa pili Adamoo alitoa maelezo yake kwa mujibu wa sheria? Kuna tashwishi kuhusiana na maelezo ya mshitakiwa huyu kuwa aliteswa au hakuteswa kwenye kupelekea kuwapo kwa maelezo yake. Je kulikuwa na shinikizo...
  18. JamiiForums Tanzania Kama Lissu angekuwepo huu udhalimu dhidi ya Mbowe usingetendeka

    Lissu ni defence lawyer mzuri anajua njama zote za polisi na waendesha mashitaka. Lissu angewapiga maswali mazito mawakili wa serikali wasiojitambua na mashahidi wa uongo na Jamhuri ingeumbuka. Kwani watu walioacha kazi jeshi la wananchi yaani JWTz kuomba kazi ya kumlinda mtu ni kosa? Hii...
  19. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe na wenzake imetufumbua macho, haki za Watanzania zipo mikononi mwa Jeshi la polisi

    Sheria za Tanzania zipo wazi kabisa kuwa mtuhumiwa anatakiwa kukiri kwa hiari ili hiyo kiri iweze kutumika mahakamani. Hii ni kwa mujibu wa kifungu cha 27 cha sheria ya ushahidi ya Tanzania. Lakini kifungu cha 29 kinawapa kiburi polisi kupiga na kutesa watu maana kinasema kama mtu ataubaki...
  20. JamiiForums Tanzania Kesi ya ugaidi wa Mbowe na wenzake: Nini maana ya "submission?". Je, ni kweli kuwa DPP ana mamlaka ya kuingilia majukumu ya mahakama?

    Jana tarehe 29/10/2021 mashahidi wa pande mbili wamemaliza kutoa ushahidi wao katika kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi ya tuhuma za ugaidi inayomkabili m/kiti wa CHADEMA taifa Mh. Freeman Aikael Mbowe na wenzake watatu... Kesi hii ndogo imezaliwa baada ya upande wa utetezi kupinga kupokelewa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…