Hope mko poa wakuu, hakuna kitu kinachoiumiza serikali vichwa kama kesi ya Mbowe, kubali kataa serikali wanashindwa hii kesi waiteme vipi.
Nilisema toka awali kuwa maamuzi ya hii kesi yatakuwa faida kwa Mbowe, iwe kuhukumiwa maisha, kunyongwa au kushinda kesi, leo hio mawakili wa serikali...
Mbowe alisema wamepanga kumpa kesi isiyodhaminika mapema kabisa. Yani mchongo aliujua.
Na msimamo wake NI kuwa wakifikishwa mahakamani hataongea chochote wakitaka wamfunge. Sasa sijui wanasheria wanasumbuka Nini.
Wanachokifanya mahakamani NI kuhalalisha kushikiliwa mahabusu mwezi wa nne...
Angalieni video hapo chini?
Kwanini Mbowe hafungwi pingu?
Kulingana na maelezo ya Polisi, Mbowe ndio kinara, sponsor, na mastermind, wa tuhuma zilizoko mahakamani.
Polisi wanasema Mbowe ndiye aliyewa-recruit washtakiwa wenzake watatu wakafanye waliyotaka kufanya.
Bila Mbowe kuwa na malengo...
Mara nyingi, Mbowe amekuwa ni mtu wa amani sana.
Kuna nyakati wafuasi wa chama chake walikuwa wakimtaka Mwenyekiti awape go ahead ya kufanya matendo ya kulipiza visasi kutokana na hila na uonevu waliokuwa wakifanyiwa na watu wa mrengo wa CCM na serikali, Lakini Mbowe siku zote amekuwa akiwaasa...
Mwezi April 2021, Baada ya dakika chache tu ya kufariki Rais Magufuli aliyekuwa mfuasi kindakindaki wa hayati John Magufuli bwana Job Ndugai aliyeapa kumuongeza muda wa kutawala kidikteta Tanzania atake asitake, alimgeuka mchana kweupe na kulitangazia taifa kuwa serikali ya Rais John Magufuli...
Salaam Wakuu,
Leo tarehe 18/11/2021 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea baada ya kuahirishwa siku ya jana.
Kujua jana kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 17, 2021: Kesi yaahirishwa mpaka tarehe 18/11/2021 saa tatu asubuhi
Ungana nami...
Salaam Wakuu,
Leo tarehe 17/11/2021 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea baada ya kuahirishwa siku ya jana.
Kujua jana kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe: Jaji aahirisha kutoa uamuzi mpaka tarehe 17/11/2021 saa tatu asubuhi
Ungana nami katika uzi...
Katika hali ya kawaida watanzania wanafikishwa mahali pabaya na utawala wa CCM. Kuibinya demokrasia kwenye taifa kunasababisha taifa kupata raia wakakamavu sana bila sababu.
Utawala wa makaburu, wareno, Idd Amin, au Gadaffi ulizaa raia wakakamavu sana kwenye mataifa hayo.
Kazi ya ulinzi...
Wafuasi wa CHADEMA wanaofika katika Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi kufuatilia kesi ya Mwenyekiti wao Freeman Mbowe na wenzake watatu wamebuni utaratibu wa kuandaa na kupata mlo wakiwa mahakamani hapo.
Mbowe na wenzake wanakabiliwa na mashtaka sita ya uhujumu uchumi...
Nauona upotoshaji mkubwa sana unaoenezwa mitandaoni na mitaani kuwa ndugu Mbowe amebambikiziwa kesi kwa sababu ya mambo ya kisiasa. Mi nadhani kama kweli ingekuwa hivyo basi alikuwa tishio awamu za nyuma kwani nakumbuka huko nyuma Chadema pekee kiliwai kuwa na wabunge 70 na ushee ambapo kisiasa...
Salaam Wakuu,
Leo tarehe 16/11/2021 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea.
Kujua jana kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri kesi ya Freeman Mbowe na wenzake Nov 15,2021
Ungana nami katika uzi huu ili kujua kila kinachojiri Mahakamani.
UPDATES;
- Jaji ameingia Mahakamani..
-...
Kama ambavyo kichwa cha habari kinaeleza, ni mwendo wa kutafuta haki zilizocheleweshwa kwa muda mrefu. Sasa Bwanamdogo kumfuata jamaa yake Sabaya.
====
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda anatarajiwa kufikishwa mahakamani muda wowote kujibu tuhuma za matumizi mabaya ya...
Jana kwenye kesi ya Mbowe shahidi wa Jamhuri (polisi) amefumaniwa ameingia na simu na diary kizimbani baada ya akina Kibatala kumgundua. Hiyo ni kinyume na taratibu za kutoa ushahidi na shahidi kuwa kizimbani.
Sasa jaji akaamuru mahakama ikae na hio diary huku jumatatu tukisubiri hoja kwamba...
Ifahamike kuwa hatuna taabu Mh. Mbowe na wenziwe kuhukumiwa kama kweli ni wahalifu.
Hata hivyo ifahamike kuwa haikubaliki kuwabambikizia kesi na hukumu zisizokuwa za haki.
Inafahamika kuwa Mawakili wetu wanafanya kazi kubwa katika mazingira magumu sana. Heshima kubwa kwao.
Heshima kwenu pia...
Hapo vip!!
Nimekuwa nikifuatilua hii kesi ya mbowe,mwenendo ya kesi yenyewe na namna ushahidi unavyotolewa mahakamani na jamhuri.
Jamhuri inaonyesha wamejipanga muda mrefu sana kwasababu za kiupelelezi nakadhalika.
Na kwanamna wanavyotoa ushahidi wao hakika umenyooka sana kuliko hata ule...
6Kila wakati wa sikukuu ya Pasaka, Pilato alikuwa na desturi ya kuwafungulia mfungwa mmoja waliyemtaka. 7Basi, kulikuwa na mtu mmoja aitwaye Baraba, ambaye alikuwa amefungwa pamoja na waasi wengine kwa kusababisha uasi na mauaji.
8Watu wengi wakamwendea Pilato wakamwomba awafanyie kama kawaida...
Shahidi Msemwa kwenye shauri ndani ya shauri la kesi hii, alikutikana na vitu vya chabo asivyopaswa kuwa navyo kizimbani.
Kwanini utetezi hawakwenda mbele zaidi kuhitaji kumkagua thoroughly kujiridhisha na kuvipata vyote?
Kwanini simu alirejeshewa bila kuwa imefanyiwa dodoso lolote?
Kwanini...
Mimi kama Wakili mkongwe ndani na nje ya nchi kwakweli sijawahi kushudia kesi yenye vituko na mikamganyiko mingi kama hii inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe na wenzeke.
Yaani Mawakili wa Jamhuri wanajichanganya wanaharibu mambo, mashahidi wanajichanganya hawaelewi ni wapi...