mbowe

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Kufanana na Kutofautiana kwa Barua ya Ling'wenya na DR ya Msemwa

    Kesho ni kesho asiye na mwana na akaeleke jiwe. Kesho Mh. Jaji Tiganga atatoa hukumu yake kuihusu barua ya Mohammed Ling'wenya. Kama ilivyokuwa kwa DR na shahidi Jumanne, ilipingwa mahakamani. Hukumu ya Jaji ikaonyesha nini kilitakiwa kifanyike ili iweze kukubalika. Bila ya ajizi WS Chavula...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Kesi ya Mbowe na Kauli tata za Serikali - Katiba Mpya ni Hitaji la Dharura sana

    Kauli hii ni rasmi ya serikali: Ukichanganya na mfano wa kauli kama hizi (kwenye kesi ya Mbowe) zenye kutokea upande wa serikali: 1. Mahakama si mama yako, 2. Waraka wa mshitakiwa kama nyenzo yake kujitetea ni "takataka," 3. Mtake msitake mawakili wa serikali ni mawakili wa mahakama, 4...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: "Mahakamani si kwa Mama zetu"

    Barua hii kumhusu Komando Ling'wenya itakuwa imeutafsiri uwanja mzima rasmi kabisa kwa jinsi ulivyo. Hakuna kisichofahamika tena. Hii ni vita kamili. Vita vya haki dhidi ya dhuluma. Vita vya wanaothamini haki za watu yakiwamo maisha ya akina Luteni Urio, Moses Lijenje na wenzao, dhidi ya...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Watoto na Familia za Freeman Mbowe na washtakiwa wenzake Mwenyezi Mungu awatie nguvu sana!

    Kila siku huwa nianatafakari hali mnayoipitia. Hakika Mwenyezi Mungu awalinde, awaongoze na awatie nguvu sana ili msije jaa roho mbaya na zisizo na hofu ya Mungu kama za watesi wenu! Yote hii kwa sababu tu ya madaraka! Khaaaa!
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Kwa minajili ya haki Mbivu na Mbichi zote zianikwe

    Kesi ndogo ya Mohammed Ling'wenya iwe nafasi ya kuzianika mbivu na mbichi zote hadharani. Iliyodhaniwa nia njema (ya kusaka haki tu) kuwapo japo kidogo, imeshadhihirika kuwa haipo. Si jaji si mashtaka haonekani anayewaelewa. Kwa maana hiyo hapa sasa inabidi kieleweke. Kumwangalia nyani...
  6. JamiiForums Tanzania CHADEMA huruma za kisiasa kupitia mitandao ya kijamii haziwezi kusaidia Mbowe na wenzake kushinda kesi, kesi ni ushahidi

    Ni cardinal rule kuwa anayetoa shutuma lazima athibitishe. Jamhuri ya Tanzania imetoa shutuma kuwa Mbowe na wenzake walipanga njama ili kutekeleza ugaidi. Hili jukumu la kuthibitisha waachiwe Jamhuri ili kuthibisha. Madai kuwa kuna njama za kuwakandamiza watuhumiwa hazina mashiko maana suala...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Maslahi gani Washitakiwa kunyimwa Haki?

    Jambo la kupongezwa kuona mawakili wa utetezi wakipambana vilivyo kuona haki za washitakiwa haziporwi. Hata hivyo inashangaza ni kwa motisha gani upande wa mashtaka kupambana kikuku kuona ikiwezekana washitakiwa hawapati haki zao. Faulo za upande wa mashtaka ziko nyingi na ziko wazi: 1...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Madai Mahakamani yathibitishwe Kisayansi

    Leo kumekuwapo shahidi mahakamani kuonyesha Ling'wenya hakuwahi kufikishwa Tazara Polisi. Shahidi huyu ana anayodai kuwa ni detention register kama ushahidi. Baadhi ya kurasa zake zimenyofolewa na nyingine zimeongezwa. Si mageni kusikia polisi wamebambikizia watu kesi, wamewaweka watu rumande...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Nyerere aliwagomea TANU kususia uchaguzi ila Mbowe kawashawishi CHADEMA kususia!! Hili laweza kuwa kaburi la CHADEMA

    Kuna simulizi alikuwa anatoa mzee mmoja mstaafu, kwamba kwenye moja ya uchaguzi sikumbuki ni wa mwaka gani uliofanyika enzi za Serikali ya kikoloni, wajumbe wa halmashauri ya TANU walikuwa wamekubaliana kwamba wasusie uchaguzi kutokana na kutokubaliana na utaratibu mbovu wa kura tatu, ambao...
  10. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe -Inspector Lugawa ISSA Maulid atoa Ushahidi, Kesi yaahirishwa hadi Novemba 25, 2021

    Leo tarehe 24, Nov. 2021kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake 3 inaendelea katika mahakama divisheni ya Uhujumu Uchumu na Rushwa ambapo leo Jamhuri italeta Shahidi Mwingine. Kujua kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 23, 2021. Kesi yaahirishwa hadi...
  11. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe, The most African opposition legend leader

    Hakuna ubishi kua Mapigo anayopitia Mhe Freeman Mbowe hayana tofauti na waasisi wa mataifa mbali mbali nyakati za tawala za kikoloni. Mbowe yupo gerezani akisubiri hukumu ya kesi ambayo nchi nzima inajua na dunia nzima inajua kua ni ya kutengeneza ili kumsotesha bure mwanasiasa huyu mkongwe...
  12. JamiiForums Tanzania Mdude Nyagali: Kati ya mashahidi nane kesi ya Mbowe nimewatambua ni wale walioniteka na kunitesa

  13. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Detective Afande Goodluck atoa Ushahidi, Kesi yaahirishwa hadi Novemba 24, 2021

    Leo tarehe 23/11/2021 kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe inaendelea baada ya kuahirishwa siku siku ya Jumatatu, tarehe 22 Novemba, 2021. Kujua kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 22, 2021. Mahakama yatupilia mbali hoja tatu za utetezi. Kesi...
  14. JamiiForums Tanzania Je, Mbowe kausaliti Upinzani Tanzania ?

    Jukwaa Huru ! Binafsi siamini kabisa kwamba Mbowe ana kesi yoyote ile, hii yote kwa maoni yangu ni geresha tu na siajabu hata Mbowe analala kwake na siyo Mahabusu. Kwa nini nasema hivi ? Iweje Mbowe awe na kesi na yuko Mahabusu kwa miezi sasa halafu kila mtu yuko kimya? I mean Askofu Shoo...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Unamfunga Mbowe kisha unakatiwa misaada na mikopo na zaidi kutakiwa kuimarisha utawala bora na demokrasia

    Mungu ana makusudi kwa kila jambo, na mojawapo ya kusudi la Mungu katika hii kesi ya Mbowe, ni watawala kubanwa kimataifa ikiwamo kupunguziwa au kunyimwa kabisa mikopo na misaada iwapo Mbowe atafungwa. Hawataishia hapo, wataongeza mbinyo kutaka aachiliwe na zaidi watataka mabadiliko ya katika...
  16. O

    JamiiForums Tanzania Namkubali Rais Samia, lakini suala la Mbowe linapunguza mapenzi yangu dhidi yake

    Rais Samia binafsi nampenda lakini kila nikifikiria swala la Mbowe furaha yangu yote dhidi yake inapotea. Nifanyeje mimi Samia nampenda na Mbowe nampenda. Samia ananipa wakati mgumu, kupinga utawala wake nashindwa maana mazuri mengi anafanya lakini swala la Mbowe anachemka tena vibaya sana...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Yanayoendelea ni taswira ya Uongozi tulionao

    Alisikika Jaji Mkuu kwenye hafla ya kuapishwa Jaji Siyani: "Hukumu zenu zizingatie mitizamo ya mihimili mingine." Tulipo sasa tumemalizana na shahidi ambaye ushahidi wake umepokelewa kama ulivyo. Hii ni pamoja na kukutwa akiwa na maandiko ya chabo yaliyo batili kizimbani. Huyu ni shahidi...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Hivi maamuzi ya leo ya kesi ndogo ya Mbowe et al yalihusu nini? Issue Estopel? Res judicate? au Functus Officio? CA ina rejea ya hayo isome hapa chini

    What was the issue of contention, what was Liganga supposed to decide? Kama ni issues hizi: Estopel? Res judicata? au Functus Officio? Mahakama ya Rufaa ilishaweka msimamo kamili: ina rejea ya hayo isome hapa chini Jaji kakosea katika maamuzi yake ya leo? Ni ya Kiingereza labda itafsiliwe na...
  19. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 22, 2021. Mahakama yatupilia mbali hoja tatu za utetezi. Kesi imeahirishwa hadi Novemba 23, 2021

    Leo tarehe 22/11/2021 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea baada ya kuahirishwa siku siku ya Ijumaa, tarehe 18 Novemba, 2021. Kujua kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 18, 2021. Kesi imeahirishwa hadi Novemba 22, 2021 Ungana nami katika...
  20. JamiiForums Tanzania Mbowe yupo tayari kufia Magereza lakini hatoipigia magoti Serikali

    Hope mko poa wakuu, hakuna kitu kinachoiumiza serikali vichwa kama kesi ya Mbowe, kubali kataa serikali wanashindwa hii kesi waiteme vipi. Nilisema toka awali kuwa maamuzi ya hii kesi yatakuwa faida kwa Mbowe, iwe kuhukumiwa maisha, kunyongwa au kushinda kesi, leo hio mawakili wa serikali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…