mbowe

  1. M

    JamiiForums Tanzania Siwezi kumlaumu Mbowe kulamba asali, kupigania watanzania ni kazi ngumu sana

    Siku zote raia ndio hufanya maamuzi ya mwisho, hata mitandaoni ukosoaji uwe mkubwa kiasi gani, kama raia hawataingia kwa ground huwa hakuna kinachotokea. Siwezi kumlaumuMbowe kulamba asali, kupigania watanzania ni kazi ngumu sana. Wanaharakati wana 20% tu, lakini raia wana 80% ya mageuzi...
  2. JamiiForums Tanzania Zitto na Mbowe nao ni Wanamtandao?

    Kuna Habari za ndani zinasema mfadhili mkuu wa ACT wazalendo na mtu aliyemshawishi Zitto kuondoka chadema ili chadema ife baada ya vikao kadhaa ni Rostam Azziz. Je inawezekana ndio sababu ya Mbowe kuwasaliti Lissu,Mnyika na Slaa na kuamleta Lowassa chadema mwaka 2015? Je Mbowe na Zitto ni...
  3. JamiiForums Tanzania Ukimwangalia Mbowe machoni utadanganyika sana

    Mbowe ni mwanasiasa ambaye anatizama kushoto anachukua kulia. Usije ukawa unacheza naye draft kisha unamwangalia machoni ili uone atasogeza kete gani. Atakudanganya. Anaangalie kushoto anasukuma kulia. Ni aina ya wachezaji ambao huwa tunasema wanatema kushoto wanafukia kulia. Usimwangalie...
  4. JamiiForums Tanzania Ikiwa CCM imemtengeneza Mbowe mpaka mkamuamini ni mpinzani je watashindwa kumtengeneza Lissu

    Watu ambao hamuwajui CCM ndio nyie mmekuwa mkitengenezewa upinzani fake na CCM na bado mnafata . CCM ndio chama pekee kina watu intelligent kuzidi chama chochote.
  5. JamiiForums Tanzania Huyu James Mbowe anatakiwa ajue Mbowe alisajili vipaji vya siasa CHADEMA na sio kwamba aliwatengeneza yeye

    Huyu dogo James anakosea sana kusema kuwa Mbowe aliwasaidia kina Lissu, Lema, Msigwa kuwa wanasiasa wakubwa. Mbowe alichofanya ni kama Madrid inavyosajili mastaa wa soka toka timu mbalimbali. CHADEMA iliwahitaji kina Lissu na wenzake kuliko wao walivyoihitaji CHADEMA. Kwa mfano Lema hata...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti CHADEMA Arusha: Mbowe atoke hadharani na aseme 'No reforms No election'

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Arusha, Elisa Mungure, ametoa wito kwa Mwenyekiti Mstaafu wa chama hicho ngazi ya taifa, Freeman Mbowe, kujitokeza hadharani na kuunga mkono kaulimbiu ya chama ya “No Reforms, No Election”, kwa kuwa ndiye mwanzilishi wa msimamo...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Mchinjita: Ulikuwa ukisikiliza upande wa Mbowe, ni kama Lissu hafai hata kuwa mwenyekiti wa kijiji

    Isihaka Mchinjita, Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Bara, amesema kuwa wakati wa kampeni za ndani ya CHADEMA za kumtafuta Mwenyekiti, taswira ya chama iliharibika sana kutokana na makundi ya ndani kushambuliana vikali. Ameeleza kuwa moja ya mambo yaliyoumiza zaidi ni namna kundi la Mbowe...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe kwenye Kesi ya Ugaidi alitetewa na Mawakili karibia 400 ila Tundu Lisu anajitetea Mwenyewe, Chadema ina Hazina ya Weledi!

    Kichwa cha Habari ndio Habari yenyewe Mawakili 400 hadi Bingwa kujitetea mwenyewe kama Mwana wa Adam mbele ya Pilato Ila Chadema 🐼
  9. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Freeman Mbowe amefutwa uanachama CHADEMA Agosti 17, 2025

  10. JamiiForums Tanzania Nani adui wa CHADEMA - Freeman Mbowe au Tundu Lissu!?

    Kwa kauli hizi mbili tutajua tu nani ni adui wa Chadema,tulisikia mengi mara Magufuli kaiua Chadema,mara Magufuli kamteka Saanane,mara Magufuli kampiga risasi Tundu Lissu,sasa kwa kauli hizi ebu tafakari,nani ni adui wa Chadema!? Mbowe "Sikumuogopa Rais John Magufuli aliyekuwa na majeshi leo...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Fikiria Mbowe angeendelea na Uenyekiti Chadema saa hizi Chopa ya Kampeni ingeshakodishwa huku Watanganyika wakishangilia kama Mazuzu vile!

    Binafsi naona kuliko kuendelea kudanganywa na akina Sugu kuwa Chadema ni Wapinzani halisi huku Wafuasi wao wakipotea na wengine Wakifa kwa kukipigania chama cha mchongo ni afadhali kabisa maamuzi ya Lisu na Heche kutoshiriki Uchaguzi Chopa zingekodiwa na Watu wangejeruhiwa hata kuuawa kwenye...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Amani Golugwa: CHADEMA hatujanuniana na Mbowe, faragha yake iheshimiwe

    Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA – Tanzania Bara, Amani Golugwa, amefunguka kuhusu ukimya wa hivi karibuni kati ya chama na Mwenyekiti Mstaafu Freeman Mbowe, akisisitiza kuwa hakuna ugomvi wala kununiana.
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Golugwa: Tuendelee kuheshimu mapumziko ya Mbowe atakapokuwa tayari atatupa majibu

    Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) – Tanzania Bara, Amani Golugwa ameweka sawa kuhusiana na ukimya mzito wa mwenyekiti mstaafu wa chama chao Freeman Mbowe.
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Bwege: Ni lini Mbowe alienda Gerezani kumona Tundu Lissu?

    Seleman Bungara (Bwege), aliyewahi kuwa Mbunge wa Kilwa Kusini, anahoji ukimya wa mwenyekiti mstaafu wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe kwa kusema ni lini alienda Gerezani kumona mwanafunzi wake wa siasa Tundu Lissu?
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Hakika Lissu ndiye ataweza, Mbowe hakutegemea hiki

    Amani muswano mtanzania. Katika jambo nililojiuliza ni moja, kwa nini Lissu?. Nimepitia mijadala mingi na kujipa jibu, kwamba kumbe hatukuwahi kuwa na kiongozi wa kisiasa anayetaka kuiondoa CCM kiringeni. Wote hawa ni sinema tu. Siku Lissu alipovaa jacket la kuzuia risasi nikaelewa, siku...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Ikitokea Mbowe ameahamia CHAUMMA, nini hatma ya ile nafasi yake ya mjumbe wa kudumu?

    Lisemwalo lipo na kama halipo laja , huu ni msemo tuliyousikia tangu enzi na enzi. Kutokana na yanayoendelea mitaani na mitandaoni inaonyesha kuwa nyuma ya CHAUMMA kuna Mbowe , anyway zinaweza kuwa ni hisia tu na pengine ikawa ni kweli . Watu wengi hawaonyeshi kustushwa hata ikitokea MBOWE...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Yericko Nyerere: Mbowe alienda kumuona Lissu gerezani zaidi ya mara tatu

    Wakuu Yericko Yohanesy Msambila Mkana Nyerere, mwanachama wa CHAUMMA, anasema Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA, Freeman Mbowe, alienda mara tatu gerezani kumuona Mwenyekiti wa sasa, Tundu Lissu. Je, alikuwa anaenda kumshawishi Lissu alegeze kamba?
  18. JamiiForums Tanzania James Mbowe: Wanaoshangilia vifo wamrudie Mungu

    Kada wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), James Mbowe, amewataka Watanzania kumtanguliza Mungu na kukemea vikali mwenendo unaoanza kuenea wa kushangilia vifo vya viongozi wa kisiasa. Akizungumza na Jambo TV leo, Agosti 9, 2025, alipofika kuhani msiba wa Spika wa Bunge Mstaafu, Hayati Job...
  19. JamiiForums Tanzania Rais - Serikali yako ilitenda wema kwa Lema, ikatenda kwa Mbowe kisha ikatenda kwa Ole Sabaya - fanye hivyo kwa Lissu

    Rais wetu mpendwa! Salaam! 1. Nakupa hongera sana kwa kufika muda wa kuchukua fomu wewe na mgombea mwenza Dkt Nchimbi; 2. Dunia inafahamu wema wako na Serikali iliyopita kupitia msamaha kwa Lema (mbunge wa zamani wa Arusha); inatambua wema tena wako kwa Freeman Aikael Mbowe (Mwenyekiti wa...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Yericko Nyerere: Lissu amepotosha 'No Reforms No Election', hakumwelewa Mbowe

    "Watu wengi wamekuwa wakipotosha No Reforms No Election ya Freeman Mbowe ilikuwaje na No Reforms No Election ya Tundu Lissu ikoje. Wanatumia udhaifu wa wanachama kwamba haya yote yalikuwa yameanzishwa na Mbowe na ndiyo hayahaya, si kweli" Aliyekuwa Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…