Mwanasiasa na nabii Godbless Lema ameweka video kwenye ukurasa wake wa X ikiwa na ujumbe wa kusisitiza kutoamini mwanasiasa yoyote.
Tunajua Mawazo alikuwa akilalamika kuna watu ndani ya chama chake wanataka kumdhuru kabla ya kufikwa na umauti wake.
Ni wazi kuwa Mbowe alilipwa pesa nyingi inayotajwa kuwa ni fidia ya yeye kukaa gerezani kwa kesi ya kusingiziwa, na pia kwa kuharibiwa biashara zake.
Lakini kwa nafasi yake kama kiongozi wa chama kikuu cha upinzani, na kwaajili ya kuleta uwazi katika uongozi, na kuzuia fikra za pesa hiyo...
Wakuu,
CHADEMA mambo yamezidi kupamba moto.
Lissu akiwa anajibu swali aliloulizwa kuhusu tuhuma za Mbowe kwamba nyaraka za chama zilikuwa zinqvujishwa na Msigwa ambaye ni rafiki yake mkubwa.
Lissu akiwa anajibu swali hilo amesema kuwa hajawi kuvujisha nyaraka za chama na kuongeza kuwa...
Habari zenu wanaJF wenzangu
Inashangaza sana mtu kama Sugu alieanza kuikanyaga ardhi ya Kaburu kabla ya vijana wengi wa Tanzania hawajawa na akili ya kufika huku, ameshindwa kusoma alama za nyakati ambazo bila chenga wala mizengwe zinaonesha fika kwamba awamu hii ni zamu ya Lisu iwe mvua au...
Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Mbowe ndio aliyetoa tangazo na agizo la kwamba CHADEMA ikashiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa. Pamoja na madhaifu yaliyokuwepo ila bado alikioeleka chama kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa. Mwisho wa siku chama kikapata Asilimia 0.78 na CCM kikapata Asilimia 99...
Wakuu,
Viongozi mbalimbali wa CHADEMA wameendelea kutoa matamko yao wakati wakiwa wanaelekea kwenye Uchaguzi
Haya ni maneno ya Rose Moshi, Mwenyekiti BAWACHA Kanda ya Pwani
"Sioni sababu za kumbadilisha na kumuondoa tunatakiwa kumuombea ili aendelee na moyo huo huo wa ujasiri mpaka hapo...
Dunia ilimsikia Magufuli akimuahidi Lissu Cheo, akawaomba hadi wazee wa Singida waongee na kijana wao.
Leo Mwenda zake ameenda zake, hatukumsikia Lissu akiirudia kauli ile ya Magufuli ili kuchuMbowe credits
Badala yake leo Mbowe ndiye amejivalisha uhusika wa Tundu Lissu, anatembea na story ile...
Kuhusu Mbowe, Mandela, Nyerere na Maalim Seif...
Mlisoma kitabu cha Nelson Mandela cha The Long Walk to Freedom, kiongozi huyo wa zamani wa ANC na baadaye Afrika Kusini anasema wakati alipoanza mazungumzo ya faragha ya kusaka maridhiano na serikali ya makaburu wakati akiwa jela, wenzake ndani...
Inawezekana kabisa TAL aliamua kugombea uenyekiti wa Chama taifa mapema zaidi lakini hakutangaza kutokana na historia ndani ya chadema. Historia inaonesha viongozi wote ndani ya chadema walioonesha kuutaka uenyekiti mapema waliundiwa zengwe na kupewa kesi za usaliti kuwazuia kugombea uenyekiti...
Hizi hapa ndiyo sifa kuu za wanaomuunga mkono Freeman mbowe.
machawa wanaotegemea kula na kuendeleza harakati zao kwa mgongo wa mbowe (posho za harakati)
Wanachama wenye maono madogo yaliyobebwa na imani zaidi kuliko akili (Hisia)
Watu waliokata tamaa ya kushika dola na hawaamini kuwa chama...
Lissu sio mwanasiasa haijui siasa kaingia kwenye siasa ili kufanikisha malengo yake ya uanaharakati.
Lengo la mwanaharakati sio kushika dola ni kutetea haki na kuleta mageuzi, tofauti na lengo la mwanasiasa ambalo ni kushika dola.
Mbowe ni mwanasiasa, mwanasiasa makini hutumia hoja, dialogue...
Nimeona mitandaoni na kwenye vyombo vya habari inaonekana ccm pamoja na serikali wana matumaini makubwa sana na Mbowe kuliko Lisu.
Wako tayari kumpigia kampeni Mbowe na kupiga kampeni dhidi ya Lisu.
Haya mahaba na Mbowe yanatoa picha gani!?
Tatizo liko wapia haswa na lilianzia wapi pale chadema?
au nani amemuona mwingine ni tatizo pale chadema kwenye harakati za mageuzi?
na kwa mtazamo wako kama mdau wa siasa,
kwa viongozi wa aina hii wasioweza kuwaunganisha wananchama wa chama chao kimoja, tena kidogo tu cha siasa, badala yake...
Hawa wakina Job Ndugai, Zungu, Shabiby, Olesendeka,na Simbachawene mbona hawaongolewi hawa tangu 2005 ni wabunge hawataki kung,atuka
kama ni CCM ni wapenda demokrasia mbona wamekalia viti.
Why double standard kwa Freeman Mbowe
Ndugu zangu Watanzania,
Huyu Mwamba apewe Maua yake tu,apewe heshima yake tu.Atambulike na watu wote angali hai kuwa ndiye Mwamba aliyetumia ujana wake wote Kuitesekea na kuijenga CHADEMA kwa jasho na Machozi.Ametumia Muda wake wote kwa ajili ya chama.
Inasikitisha sana unapoona Mwana CHADEMA...
Jana, Mbowe kwenye hotuba yake, alitumia muda mwingi kuzungumzia maridhiano. Na yeye mwenyewe alisema kuwa angetumia muda mrefu kuongelea maridhiano.
Kwa hotuba ile ya Mbowe, ni dhahiri chini ya uongozi wake, CHADEMA itakuwa chama rafiki wa CCM ya Samia, na mwanachama yeyote atakayekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.