mbowe

  1. chakii

    JamiiForums Tanzania Mbowe miongoni mwa wasaliti wa Vyama vya upinzani wa kweli kuwahi kutokea

    Wanaomfuatia ni pamoja na Lipumba. Subirini mtaona mengi.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka wa kuachana na CHADEMA ya Mbowe. Mimi najitoa rasmi

    Naomba kutamka rasimu kuwa sina imani tena na Mbowe na ni wakati sahihi wa mimi kuachana na CHADEMA ya Mbowe(labda Lissu ashinde). Sitaraji uchaguzi wa haki katika kwa nafasi ya Mwenyekiti na ninaona kila dalili ya Mbowe kuwa mamlulki wa CCM kwenye hiyo nafasi. No wonder tunasoma mitandaoni...
  3. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Mbowe kwa msimamo wa kubaki CHADEMA. Tambua kuwa mpango wa kukuondoa ulikuwa kuua Chama. Nashkuru umegundua hilo

    Hongera sana Mh Mbowe kwa msimamo wa kiume wa kubaki CHADEMA, tambua kua mpango wa kukuondoa wewe ilikuwa kuua chama nashkuru umegundua hilo. Mh Mbowe hongera sana ufahamu wako umefunguka kama nilivyokuombea. Mh Mbowe mpango wa kukuondoa CHADEMA ilikua kuua chama kwasababu Lissu ni mharibifu...
  4. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Mojawapo ya faida ya maridhiano ni kununua jengo Mikocheni la Tsh Bilioni 1 na laki 6 taslimu

    Wakuu, Akiwa anazungumza leo, Mbowe amesema kuwa mojawapo ya faida ya maridhiano ni chama hicho kununua jengo lao la Bilioni 1 na laki 6 ambalo liko Mikocheni. Mbowe amesema kuwa kupitia maridhiano na Rais Samia, CHADEMA waliweza kuanza kuchukua ruzuku ambazo ndizo zilitumika kununua jengo...
  5. technically

    JamiiForums Tanzania TBC wanaratibu kila kitu kwenye press ya Mbowe why?

    Toka lini watu waliokuwa hawawezi hata kutangaza habari za chama miaka zaidi ya 20 nyuma Leo wanaratibu press ya Mbowe?? Hapa ndio naamini 100% mbowe ni tapeli na sio mpinzani kabisa Poleni watanganyika.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Hekima hii ya Mwalimu Nyerere, Ikuongoze Mhe. Mbowe

    Mwalimu Nyerere miaka ile 1995 alipoona sarakasi za siasa zenye lengo la kuidhoofisha Nchi, aliingia ulingoni na akawatamkia wapinzani kina Marehemu Mrema, maneno yafuatayo:- " I cant go to sleep in Butiama and let my country go to dogs" Ni wazi CHADEMA imekuwa hivi ilivyo kwa mchango wako...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe anaongea na Wahariri wa Vyombo vya Habari nyumbani kwake Mikocheni, Dar es Salaam

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, Mwenyekiti wa Chadema anayemaliza muda wake, Freeman Mbowe, ataongea na Wahariri wa Vyombo vya habari (si waandishi wa kawaida) Mwamba ataongea na Wahariri hao nyumbani kwake Mikocheni, Dar es salaam. Mimi Mtumishi wenu nitakuwepo ili kuwapa Taarifa ya kila...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Propaganda ya Mbowe na Lissu imeongeza umaarufu wa CHADEMA kuelekea uchaguzi Kwa haraka sana!

    Hellow! Naona CHADEMA imeamua kutumia njia hii ya propaganda Ili kusababisha iteke tena mijadala yote kisiasa na vinywa vya watz baada ya kuepuka kifo Awamu ya Magu. CHADEMA imefanikiwa Kwa wiki hizi chache kurudisha umaarufu wao haraka kuelekea uchaguzi. Na propaganda hii inaenda...
  9. Knock life

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Mbowe ndo GOAT , Greatest of all time katika siasa za upinzani

    Mbowe ili uendelee kuwa Greatest of all time , usigombee Cheo chochote hapo Chadema. Taifa litakukumbuka Kwa Mambo mengi. Linda heshima yako usikubali kudanganyika . Umri wako Heshima yako Financial status Haya mambo yote yapo vizuri Sana kwako jaribu kuruhusu akili Mpya kuiongoza Chadema...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kosa la Mbowe ni kumshauri Wenje kupambana na Lissu, kwa hasira Lissu akampandia juu. Uamuzi ambao nauona sahihi kwake hata akishindwa

    Ulitafakari kwa makini baadhi ya sentwsi na sababu za Lissu kuamua kuachana na umakamu hoja ya msingi kaificha. Lakini ukweli uliojificha ni hasira zake dhidi analoamini lina kiburi cha fedha za Abdul na mama yake kutaka kumpora cheo ndani ya chama. Lissu aliamini kabisa akishindana na Wenje...
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Huenda mgombea uongozi anaepewa nafasi kubwa zaidi ya ushindi wa uchaguzi wa chadema taifa kuwekewa vikwazo vya kimataifa

    Inasemekana chimbuko la yote hayo ni joto la uchaguzi wa ndani ya Chama Cha ha Demokrasia na Maendeleo Chadema, ilogawanyika, na kutokuwapo kabisa uwezekano wa wengine kushinda nafasi hiyo. Bado haijajulikana ni zipi hasa sababu za hali hiyo ambayo inayodaiwa kuchochewa na influence na access...
  12. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Mbowe hata akishinda atakuwa kama ameshindwa tu.

    Bila shaka umewahi sikia kuhusu msemo Pyrrhic Victory. Msemo huo unamaanisha ushindi uliopatikana kwa gharama kubwa kiasi kwamba umekuwa sawa na kushindwa. Miaka kama 300 kabla ya Yesu mfalme mmoja wa ufalme mdogo wa Kigiriki aliyeitwa Pyrrhus alipigana na Waroma. Alishinda vita ila alipoteza...
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Maelezo ya Wenje yamenyooka zaidi kuliko tuhuma za Lissu! Huenda Mbowe bado ni mtu sahihi zaidi kuongoza CHADEMA

    Nimesikiliza maelezo ya Ezekiel Wenje aliyetuhumiwa na Lissu kumpeleka Abdul kumuhonga pesa, ukiniuliza mimi naona maelezo ya Wenje yamenyooka sana kuliko tuhuma alizokuwa anarusha Lissu dhidi ya watu anaodai wamehongwa. Swali ambalo limebaki sasa ni kwamba Lissu anafanya mambo haya kwa sababu...
  14. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Wenje: Lissu alimsingizia Mbowe kahongwa magari mawili

    Wakuu, Akiwa anazungumza hivi karibuni kwenye mahojiano na wanahabari Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria Ezekiel Wenje alimvaa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu kwa uchonganishi na kumsingizia Freeman Mbowe kuhongwa magari mawili Wenje amedokeza Mbowe alinunua magari...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Maono- ndoto kuhusu Mbowe

    Nimepata maono ya ajabu sana ya kimungu kuhusu Mh Mbowe. Nimeotehswa Mbowe kavaa jezi namba 17 sijajua maana yake kwa undani lakini nimeona ni share hapa
  16. Econometrician

    JamiiForums Tanzania Mbowe epuka makosa haya kukinisuru CHADEMA

    Wakuu habari ya muda. Kuna msemo kuwa Duniani hakuna jipya mengi yamisha fanyika ni muda tu ndio unafanya tuone mapya. Tutakumbuka hili swala la Lissu linaendana kabisa na issue ya Seif Sharif Hamad alipokuwa CUF.Ni ukweli ambao haukipingika kuwa CUF ilikufa baada ya Seif Sharif Hamad...
  17. Mr Why

    JamiiForums Tanzania CHADEMA msimchukulie Mh Mbowe kirahisi, alijitoa sana sadaka kwa kuuza mali zake ili ajenge chama, usidhani CHADEMA imefika hapa ilipo kirahisi

    CHADEMA msimchukulie Mh Mbowe kirahisi, alijitoa sana sadaka kwa kuuza mali zake nyingi ili ajenge chama, msidhani CHADEMA imefika hapa ilipo kirahisi Tundu Lisu ni kivuruge ni mwanasiasa mzuri sana lakini tatizo lake ana mdomo mrefu sana Kuweni na Heshima na Adabu mnapomzungumzia Mbowe Nani...
  18. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Acheni kuremba mwandiko, Mbowe umeshachokwa

    Huo ndiwo UKWELI! Bwana Mbowe nenda kapumzike salama kaka, ulichokifanyia Chama kwa wakati wako kinatosha na ASANTE! Binafsi nitakukumbuka kwa namna jioni ya giza changa pale Bungeni ulivyovurugana na Profesa Kapuya kuhusu hoja ya maadili ya wanafunzi hali iliyopelekea mkafukunyuana vibaya...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ni hatari thinktanks na washauri wa mwenyekiti Mbowe kuwa watu kama Ntobi na Boni Yai

    Zamani Chadema ilikuwa imesheheni vichwa makini, walikuwa watu kama profesa Safari, Profesa Baregu. Hawa ndo walikuwa thinktanks na washauri wa Chama. Leo inasikitisha chama kimebaki na wahuni kama Ntobi, kijana anayetukana matusi ya wazi viongozi wa chama. Yeye mtu mwenye thamani kwake ni...
  20. G Sam

    JamiiForums Tanzania Kwanini awamu hii CCM inamhitaji zaidi Mbowe kuwa mwenyekiti wa Chadema?

    Kwa mara hii tumepishana njiani kitofauti kabisa. Sisi miaka ya nyuma tulimhitaji Mbowe kuwa mwenyekiti wa Chadema taifa kwenye kila chaguzi na CCM walikuwa wanawahitaji zaidi wapinzani wake kwenye kinyang'anyiro hicho kuwa wenyeviti. Awamu hii hali ni tofauti kabisa. Sisi awamu hii kama...
Back
Top Bottom