mbowe

  1. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Rose Mayemba: Nimefukuzwa Makao Makuu kama mbwa na walinzi wa Mbowe. Aeleza Rushwa ya Freeman Mbowe ilivyokwamisha Uchaguzi Mkoa wa Njombe usifanyike

    https://youtu.be/pfMrZF7ISCc?si=WHSR_MisNg9yIa0e Sikuwahi kufikiri wala kumuona huyu dada kuwa kumbe ni jembe kiasi hiki... Cha ajabu eti Freeman Mbowe anamfanyia figisu figisu asiwe mwenyekiti wa chama mkoa wa Njombe - CHADEMA.. Honestly, simulizi yake hii kumhusu Freeman Mbowe inachukiza na...
  2. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania James Mbowe ana cheo gani huko CHADEMA?

    1. Mambo mengine CHADEMA mnajichanganya aisee. 2. Huyu mtu hata kujieleza hawezi ana cheo huko CHADEMA? 3. Kiwango chake cha juu cha Elimu? Usikute ngumbaru mwenzetu!!
  3. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Maridhiano turufu ya Dr Mbowe, F

    Maridhiano ndio turufu ya Dr Mbowe kuchaguliwa tena na tena hadi mwisho wa uhai wake
  4. P

    JamiiForums Tanzania PWANI: Hatimaye wajumbe wa Mkutano Mkuu CHADEMA wamkataa rasmi Mbowe wasema bila Lissu CHADEMA ni kama CUF ya Lipumba

    https://www.youtube.com/live/FqER78na70U?si=fdkhYBIEbHCPvXlP Huenda kweli safari ya Mbowe imewadia wimbi la mabadiliko ni kubwa sana ndani ya CHADEMA lazima tusikilize sauti za watu. Ukipewa rushwa kula ila kamwe usiuuze chama kwa vipande vya pesa.
  5. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Bila Mbowe mbona Chadema itajifia!

    1. Bila Mheshimiwa Dr Bilionea Freeman Mbowe (Kiongozi wa Kambi rasmi ya upinzani Bungeni Mstaafu (KB Mstaafu) basi hakuna CHADEMA. 2. Mheshimiwa kakipigania Chama toka Enzi, anatokea mwanaharakati "uchwara" anajidai ana uchungu. Huku hataki kuchangia Chama. NB: Nafasi ya Mwenyekiti si ajira...
  6. Auto-Marvelt

    JamiiForums Tanzania KURA YAKO: Freeman Mbowe, Odero Charles na Tundu Lissu

    Yakiwa yamebakia masaa kadhaa uchaguzi ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (@ChademaTz) ufanyike, nafasi ya Mwenyekiti ni lipi chaguo lako kama ungekuwa ni mpiga kura kwenye uchaguzi huo?
  7. P

    JamiiForums Tanzania DODOMA: CHADEMA Mkoa wa Dodoma wamkataa kata kata Mbowe wasema Kwa sasa ni Lissu Wanakuwa ni Mkoa wa 20 kutoa azimio hilo kati ya Mikoa 31

    https://www.youtube.com/live/3eUZr56l98U?si=Ri2UPJYSDc5O1vN2 Tuache Kudanganyana Mbowe hawezi kushinda huu Uchaguzi tuweni wa kweli na Mungu atatubariki Mbowe hatakiwi kabisa. Mjumbe hata kama utapewa pesa toka CCM ili umchague Mbowe usifanye hivyo utakiua chama.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Hizi agenda zote Mbowe alikuwa wapi kuzitekeleza?

    Hizi agenda ni kutoka ukurasa wa mtandao wa X wa Martin Maranja Masese:
  9. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ifike mahali tuache Kudanganyana, Mbowe hashindi, Mpaka Sasa hakuna Mkoa au Jimbo hata Moja lililosema linamuunga Mkono Mbowe, Kura Zake Ziko Wapi?

    Wataalamu wa siasa wanasema "Politics is all about numbers and influence" Taifa limeshuhudia matamko ya Viongozi wa CHADEMA kutoka katika kila Kona ya nchi wakisema wao watasimama na Lissu, HOJA YANGU, 1. KURA ZA MBOWE ZIKO WAPI? 2. JE, WAPIGAKURA WA MBOWE NI MABUBU? 3. JE, WANAOGOPA NINI...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lisu: Mzee Freeman Mbowe atakuwa Mjumbe wa Kudumu wa Kamati Kuu ya Chadema Kwa mujibu wa Katiba yetu!

    Mh Tundu Lisu amesema Mzee Mbowe kuanzia tarehe 22 January 2025 Siku ya Jumatano atakuwa ni Mjumbe wa Kudumu wa Kamati Kuu ya Chadema Hiyo ni Kwa mujibu wa Katiba ya Chadema Kwa Wenyeviti wastaafu na atakuwa YEYE na Mzee Mtei Star tv Nawatakia Dominica NJEMA 🌹
  11. M

    JamiiForums Tanzania Lissu ashauriwe kama ana ndoto za kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe ni Karata yake muhimu sana asimuache

    Ni mjinga pekee ndiyo anaweza kuunderestimate Nguvu ya Mbowe ndani ya CHADEMA, Namshauri Lissu awamu hii akubali amekosea hesabu zake za kisiasa na ni wazi hatamuweza Mbowe atashindwa ila anaweza kurekebisha Makosa baada ya awamu hii kama kweli bado atakuwa anahitaji kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Nitawaambia nini wanachama? Nitajiunga na CCM ya Mzee Wassira endapo kwa namna yoyote Wajumbe wenzangu Watakula rushwa na kumchagua Mbowe

    Wananchi na Wanachama wote huku kwangu wanamuunga mkono sana Tundu Lissu, Wameniambia kama sitamchagua Lissu basi wao hawatakuwa tayari kuendelea na Ujenzi wa Chama, Lakini kwenye huu Uchaguzi Mimi sipigi kura peke yangu nafanyaje? Basi kama Mbowe atashinda Mimi nitajiunga tu na CCM Kwa...
  13. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Unadhani Freeman Mbowe au Tundu Lissu, mmojawapo akishinda itakuwaje?

    Kama Freeman Aikael Mbowe akishinda au Tundu Antipas Lissu akishinda, unadhani kitatokea nini kwenye mtizamo na msimamo wa CHADEMA juu ya mambo haya yafuatayo; 1. Marekebisho ya Katiba ya CHADEMA 2. Ruzuku inayotolewa Kwa CHADEMA 3. Mgombea Urais chadema uchaguzi Mkuu mwaka 2025. 4. Mfumo wa...
  14. mshale21

    JamiiForums Tanzania Mbowe anaona kila ampingae anamtukana

    Alianza Lisu kuchukua fomu na kutoa hoja zake ni nini atakifanyia chama endapo atachaguliwa , Mbowe katoka hadharani na kudai kuwa Lissu anamtukana. Amekuja John Heche , pamoja na kueleza mbele ya press kuwa Mbowe ni baba yake kisiasa , amemlea na anamheshimu , bado Mbowe anadai Heche...
  15. mshale21

    JamiiForums Tanzania Mbowe anaona kila ampingae anamtukana

    Alianza Lisu kuchukua fomu na kutoa hoja zake ni nini atakifanyia chama endapo atachaguliwa , Mbowe katoka hadharani na kudai kuwa Lissu anamtukana. Amekuja John Heche , pamoja na kueleza mbele ya press kuwa Mbowe ni baba yake kisiasa , amemlea na anamheshimu , bado Mbowe anadai Heche...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Jahazi linapoelekea kuzama Mbowe na CCM waja na mkakati mpya. Tuona na kusikia mengi!

    Kwamba? Ila mdahalo wameukimbia? Kwani mahuku-taabu lini waliwahi kumpenda au kumtakia jema? Ukweli mchungu: "kunguru hategwi au kushawishiwa kwa maharage makavu!"
  17. B

    JamiiForums Tanzania Mbowe na wafuasi wake hoja, ufafanuzi, kujitetea nk wangeyasema jana kwenye mdahalo.

    Kwamba mdahalo wameukimbia? Kwani Nchimbi walisema je? Kwa hiyo mwamba ameulaza u nini? Kama alikuwa na hoja au kujitetea au kutoa ufafanuzi ilikuwapo fursa bora kwake kuliko jana? Viva CDM kuanza safari mpya free from "chawa wala viroboto!"
  18. S

    JamiiForums Tanzania Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa: Hili Bango ndio kaburi la Mbowe

    Kuna hili bango linadaiwa kuonekana huko Dodoma katika Mkutano Mkuu wa CCM. HIili bango kwangu ndio kaburi la Mbowe kwa wakati huu. CCM wamekosa maarifa kwa kiasi kikubwa sana. Sijui ni nani alishauri kitu kama hiki wakati huu Mbowe amechafuka. Team Lissu sijui Mungu awape nini tena kwenye...
  19. kyagata

    JamiiForums Tanzania Makomandoo wa Mbowe wanalipwa na nani?

    Wakuu Mbowe ndio kiongozi pekee wa chama cha siasa hapa nchini anaelindwa na makomandoo. Je hao makomandoo wa mbowe wanalipwa na nani na wanalipwa kutoka chanzo gani cha mapato?
  20. R

    JamiiForums Tanzania Lissu utalinda heshima gani ya Mbowe aliyobakiza ambaye umemdhihaki kwa kumuita mla Rushwa, msaliti wa chama, hafai kuongoza etc etc?

    Nadhani umetambua makosa yako ya kumsingizia mambo mabaya Mbowe ua UONGO leo unasema utalinda heshima yake. Utalinda heshima gani aliyobakiza? Umemchafua makusudi , guility consciousness inakutanga moyoni! Nani akuamini? c&p Guilty consciousness is haunting you Lisu! A guilty conscience...
Back
Top Bottom