mbowe

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kisiasa Mbowe anaweza kuwa ni rafiki mzuri wa Dkt. Magufuli kuliko Job Ndugai

    Ukifuatilia kwa makini mwenendo wa Freeman Mbowe utagundua kuwa ni mtu anayejua anachokifanya. Tofauti na wanasiasa wengi ambao hutenda mambo kwa kubahatisha, kinafiki na wakati mwingine wakitaka waonekane wanausapoti uongozi wa juu. Ukiangalia utendaji wa Mbowe kama KUB amekuwa upande wa...
  2. JamiiForums Tanzania Shambulio dhidi ya Mbowe: Kamanda Giles Muroto (RPC Dodoma), umewaona wa kuwakamata? Nakutajia...

    Kuna habari kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe ameshambuliwa na 'watu wasiojulikana' jijini Dodoma alipokuwa akirejea nyumbani kwake usiku wa kuamkia jana. CHADEMA, kupitia kwa Katibu Mkuu wake John Mnyika, wakatoa taarifa ya awali kwa umma...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ashutumu kushambuliwa kwa Mbowe, ataka uhuru wa siasa

    Msiyemtaka kaja yule naibu waziri wa mambo ya nje wa USA anayeshughulika Africa bwana TiBOR ambaye profesa wa majalalani kipindi fulani alienda kubembeleza na kulilia msaada ka strike again, anataka uhuru wa kufanya kazi za kisiasa jambo amabalo ni gumu kwa CCM mpya maana uwanja ukiwekwa sawa...
  4. JamiiForums Tanzania Walinzi wa Freeman Mbowe walikuwa wapi wakati akishambuliwa na ni kweli alipokewa hospitalini akiwa amelewa chakari?

    Kwanza nitoe pole kwa mheshimiwa Freeman Mbowe kwa kushambuliwa na watu wasojulikana na kisha kuumizwa mguu. Namtakia ahueni na apone haraka kisha kurudi bungeni kuendelea na shughuli za upinzani. Taarifa zinazozagaa kwa kasi mjini Dodoma ni kwamba mheshimiwa Mbowe hakuwa na walinzi alipokuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani: Mbowe ameshambuliwa kikatili, wakumbushia pia shambulio la Tundu Lissu huku kukiwa hakuna hatua zilizochukuliwa

    Hatimaye tunaowaita kuwa ni mabeberu wazidi kuunguruma dhidi ya matukio ya kihuni ya kushambuliwa viongozi wa upinzani yanayoshamiri nchini.
  6. JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya (EU) walaani tukio la kushambuliwa Mbowe jijini Dodoma

    EU WALAANI KUSHAMBULIWA KWA FREEMAN MBOWE Viongozi wa Jumuiya ya Ulaya nchini Tanzania watoa kauli ya Pamoja juu ya shambulio dhidi ya Freeman Mbowe "Mwenyekiti wa CHADEMA na kiongozi wa upinzani katika Bunge la Tanzania Freeman Aikaeli Mbowe, ======= Joint Statement by the European Union...
  7. JamiiForums Tanzania Balozi wa Uingereza nchini Tanzania bi Sarah Cooke asikitishwa na tukio la Mbowe kushambuliwa, atoa wito kwa Serikali

    Bi Sarah Cooke anaeleza kusikitishwa na tukio la Mbowe kushambuliwa, aidha anavitaka vyombo vya usalama kuhakikisha kuwa wanasiasa wanatoa maoni yao kwa uhuru kuelekea uchaguzi mkuu. ''I am deeply concerned by the attack on Chadema Chairman Freeman Mbowe. All politicians in Tanzania must be...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi haya mashambulizi ya Viongozi wa Upinzani, baada ya Lissu na Mbowe nani atafuatia?

    Hill ni swali fikirishi, kuweza kuona mwelekro was matukio haya. Nini chanzo, walengwa kina nani? Sababu Nini? Wahusika kina Nani? Adui wa Mbowe na Lissu nani? Kwanini matukio yote tatokee Dodoma? Tena eneo lilelile? Ulinzi vipi ulienda wapi? Maswali Ni mengi kwa kweli.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu; Kuanzia Agosti tutarajie ya kutisha, tukio la Mbowe ni kiashiria. Maadui wa nje watatutesa

    KUB anashambuliwa leo unasikia maneno ya kebehi kwamba alikuwa amelewa lakini dunia inajua kinachoendelea na picha ya JPM kwenye vyombo vya kimataifa ni kwamba ni lijitu katili Ila what if tukio limefanywa hata na maadui wa nchi? Yes why not? Nchi hii sasa hivi haina umoja anayetarajiwa...
  10. JamiiForums Tanzania Chadema waongea na waandishi habari juu ya shambulio la Mbowe na mtazamo wa chama

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika, amesema kutokana na hali aliyonayo Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe, wamefikia uamuzi wa kufanya utaratibu wa kumsafirisha kuja jijini Dar es salaam kwa ajili uchunguzi zaidi na matibabu. Katika tukio hili napo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Maswali fikirishi kuhusu shambulio la Mbowe

    1. Kwanini Mbowe ameshambuliwa saa chache tu baada ya Lissu kutangaza nia ya kugombea urais? kwamba Timu Lissu wanaamini Mbowe ni kikwazo cha kupata nafasi ya kupeperusha bendera ya Chadema katika uchaguzi Mkuu. 2. Wakati Mbowe anashambuliwa walinzi wake binafsi wa CHADEMA ukiacha wa Serikali...
  12. JamiiForums Tanzania Kushambuliwa kwa Mbowe: Polisi wasema wanaendelea na Uchunguzi, wapiga marufuku tukio hilo kufanywa la kisiasa. CHADEMA yamuhusisha Mchungaji Mashimo

    Kamanda wa Polisi Mkoani Dodoma, Gilles Muroto amesema leo alfajiri walipokea taarifa kutoka kwa Mbunge wa Viti Maaalum, akiwa na Dereva wa Mbowe, Wilhad Urassa (34) kuwa Mwenyekiti huyo wa CHADEMA wakati akipandisha ngazi kuelekea ndani kwake inadaiwa alishambuliwa na watu 3 Kamanda Muroto...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Maoni yangu juu ya Shambulio dhidi ya Freeman Mbowe

    Nimepokea taarifa za kushambuliwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Mh. Freeman Mbowe, kwa mshtuko na masikitiko makubwa. Nitatoa kauli rasmi saa 7 mchana (EAT), 6 mchana (CET) na 4 asubuhi (GMT) kupitia live stream kwenye FB na Twitter. Chanzo: Ukurasa...
  14. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, unakuwaje Rais wa nchi bila kukemea Rushwa, bila kuongelea suala la maji, miundombinu na Elimu?

    Tundu Lissu umetoa hotuba dhaifu sana kuwahi kutolewa na mgombea yeyote kuwahi kutokea nchini mwetu umeongea mambo mepesi ambayo najua mambo hayo ni ya mazingira ya Marekani na nchi zilizoendelea. Tundu Lissu tunaonewa na wala Rushwa wanaoiba Mali zetu na kutufanya tuishi maisha ya kifukara na...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aieleze dunia nani anapanga mashambulizi ya Mbowe na Lissu jijini Dodoma?

    Tundu Lissu (MB-CHADEMA na Mnadhimu- KUB)alishambuliwa kwa kumiminiwa risasi zaidi ya 30 na WATU WASIOJULIKANA akiwa Dodoma mchana kweupe tarehe 7 Septemba, 2017. Lakini Mungu aliingilia kati kunusuru Uhai wa Mhe. Lissu. Mpaka sasa ni miaka 2 imepita walomshambulia hawajakamatwa! Leo tena...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Ofisi ya CHADEMA Kanda ya Pwani baada ya Sumaye kuondoka washindwa kununua umeme ofisi iko giza

    Mzee Sumaye aliwajengea chadema ofisi nzuri tu ya chama sasa hivi iko giza wameshindwa kununua umeme wa luku uchaguzi itakuwaje ?
  17. JamiiForums Tanzania Mbowe asingekuwa na kiburi angeomba kufanya 'internship' CCM makao makuu

    Mbowe akiacha ukaidi anaweza kupata nafasi ya kufanya internship ya miezi 6 pale Lumumba au Dodoma . Katika mafunzo hayo pamoja na ile kugugusana mabega na JPM, Mangula, Polepole na Bashiru kila siku kitamsaidia sana katika kujifunza njia mpya na mbinu kadhaa CCM walizozitumia kuiongeza...
  18. JamiiForums Tanzania Mbona Afrika hatuandamani kupinga mauaji ya kikatili na kifedhuli ya mweusi mwenzetu?

    Thousands of people in New Zealand marched in solidarity Monday with those in the United States protesting the death in police custody of African American George Floyd. Protesters in Auckland marched to the U.S. Consulate and chanted slogans familiar at U.S. protests, including “black lives...
  19. JamiiForums Tanzania Je, wakati tunajiandaa kuingia katika Uchaguzi Mkuu, CHADEMA Ikiwa katika vipande vipande Mbowe bado Mtu sahihi?

    Wakuu tumebakiwa na mda mchache kabla ya kipyenga cha uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 kupulizwa, Tumeshuhudia CHADEMA ikigawanyika katika vipande vipande na kusababisha vijana makini waliowanoa kwa miaka mingi kukihama chama hiki. CHADEMA iliundwa na Vijana makini waliokua wamejengeka kisiasa na...
  20. J

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Mbowe aliona shetani, majeneza na vifo lakini Rais Magufuli alimuona Mungu na kuishinda Corona

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amesema katika kuikabili Corona mh Mbowe wa Chadema aliona shetani, majeneza na vifo ndio maana aliogopa na kukimbilia chumbani kujificha yeye na kundi lake. Lakini Rais Magufuli alimwona Mungu akazipeleka haja zetu mbele zake, Mungu akatupigania nasi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…