Niaje waungwana
Kwa mara ya kwanza tangu dunia iumbwe, Iran ndio nchi ya kwanza imeifanya Marekani na Trump watubu na kujutia walichokifanya.
Kwanza Iran ndio nchi ya kwanza kuingia vitani na Marekani huku ikiwa imeungana na Israel
Pili Iran ndio nchi ya kwanza kushambulia nchi 10 kwa wakati...
Njia alizokuwa akitumia Mbowe kuongoza CHADEMA zilikuwa za busara
Kawaida binadamu anayetumia busara huonekana kama mjinga lakini mwisho mjinga hujulikana baada ya matokeo
Kwahiyo tusubiri matokeo ndipo wabishi na werevu watajulikana
kumekuwepo na chapisho ambalo linasambazwa kwenye mitandao ya kijamii likimunukuu John mnyika kutoa kauli inayosema kuwa tusipo muangukia mbowe wanachadema hatutoboi
Baada ya kufanya ufuatiliaji wa kina kwa kutumia njia ya utafutaji wa maneno tumebaini kuwa taarifa hiyo nipotoshi na ina nia ya...
Kuna wale vijana waliotoka chadema kwa ridhaa yao na kuhamia chauma baada ya ajenda yao kujulikana.
Hawa vijana wanatafta attention kupitia kuitukana chadema na maneno yasiyo na tija mtandaoni!
Watu hao wanaotumia kurasa za mitandao ya kijamii kuishambulia zaidi chadema.
Wana ajenda kuu...
Unakuwa na mtu kama Mbowe na Zitto alafu kwa akili zako timamu unasema ni wa wapinzani wanaotaka kuig'oa CCM.
Watu ambao wanafanya siasa za biashara.
Magufuli shujaa wa Africa alipinga siasa za biashara na kuwahadaa watanzania wanaolipa kodi.
Shujaa atakumbukwa sana?
Mwenyekiti wazamani wa CHADEMA Freeman Mbowe akiwa na vijana na makada wa zamani wa CHADEMA ambapo walihamia kwenye chama Cha CHAUMMA .
Vijana wanajichekesha tu wenyewee
Asee Heche ni mwamba .
Baada ya msiba huu mzito ni wazi Ccm wakishirikiana na watu wao Hususan Mbowe na zitto kuwatumia kuhakikisha msiba hauwapi Milage Chadema kwa mbinu mbali mbali .naomba mtililiko ya yaliyojiri
- Kipenga kilipigwa kwa mbowe kutumia umkwe kuwa msemaji wa familia ,sisi...
Msiba wa Mzee Edwin Mtei haukuwa tu tukio la kuaga mwili. Ulikuwa mahakama ya dhamiri ya taifa. Ilikuwa ni mahali ambapo historia, maumivu, hofu, na matumaini vilikutana uso kwa uso. Katika jukwaa hilo, Freeman Mbowe—mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA—alisema maneno yaliyotikisa mioyo ya wengi...
Baada ya hotuba yake kwenye mazishi ya Mzee Mtei (RIP), vijana wengi wanaonekana kukoshwa na hotuba hiyo, wengine wakimpongeza kwa hashtags kwenye social media. Wengine wanaona kama ni mwelekeo mzuri wa Mbowe kurudisha heshima iliyotetereka ndani ya chama chake cha CHADEMA kwa siku za hivi...
Nimeona mitandaoni juu ya kauli hii ya Mbowe kuwa CHADEMA ya sasa chini Lissu haijengi hoja kama ilivyokuwa akina Mtei na Bob Makani.
Hii sio kweli kabisa. Sasa Hivi Lissu na Heche ndio wanahoja za mashiko. Kwa katiba hii ya CCM ambayo hata mtu hajapigiwa kura anakuwa madarani utaingia ikulu...
Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, ambaye pia ni mwanafamilia wa marehemu Mzee Edwin Mtei, amejibu hoja mbalimbali zilizoibuliwa mitandaoni zikidai kuwa CHADEMA haijapewa nafasi na hadhi inayostahili katika taratibu za kumuenzi muasisi wa chama...
Anandika Hilda Newton
HUJUMA MSIBA WA MUASISI WA CHADEMA MZEE EDWIN MTEI.
Nimepata taarifa kutoka chanzo cha kuaminika kwamba Mhe. Mbowe anatumia nafasi yake ya uanafamilia kuihujumu CHADEMA kwenye msiba wa muasisi wetu wa Chama Mzee Edwin Mtei.
Sasa iko hivi, imepangwa ratiba ya msiba siku...
Nimepata taarifa kutoka chanzo cha kuaminika kwamba Mhe. Mbowe anatumia nafasi yake ya uanafamilia kuihujumu CHADEMA kwenye msiba wa muasisi wetu wa Chama Mzee Edwin Mtei.Sasa iko hivi, imepangwa ratiba ya msiba siku ya Mazishi ambapo CHADEMA itapewa nafasi ya kutoa salam za rambirambi saa tatu...
Kahujumu maridhiano mengi kwa faida binafsi akishirikiana na aliyekuwa Mkurugenzi wa chama Jon Mrema na wenzake waliokimbilia CHAUMMA.
Kwenye uchaguzi wa 2015, ulikuwa ni mpango wa Mbowe kumweka Lowassa kugombea urais dakika za mwisho bila mchakato wowote ili kuzima nguvu ya Dr. Slaa aliyokuwa...
Chadema imenajisiwa na akina Lissu, Heche na Mnyika. Chama cha waluteri kimeibiwa na wakatoliki na kikaratibu kuichoma nchi kama short cut ya kuipundua serikali; lakini wakashindwa vibaya sana. Butiku na Warioba wamejichimbia humohumo kupitisha ajenda zao. Chadema ya sasa ni kama chaka lenye...
Hili ni swali muhimu kwa wananchi hivi sasa.
Chadema ya sasa chini ya uwenyekiti wa LISSU imejikuta ikihangaika na vurugu na uhaini na usaliti tu kwa Tanzania.
Je mbowe anapasha misuli kurejea na kuirejesha Chadema iliyotekwa na Mange kwenye ulingo wa siasa?
Kimya kingi kina mshindo mkuu, Waswahili wanasema. Hivyo ndivyo mikakati inavyopangwa kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kurejeshwa kwenye chama hicho kwa mlango wa nyuma kwa ajenda ya maridhiano.
Hii inakuja kufuatia juhudi zakumshawishi Mwenyekiti wa sasa wa chama hicho, Tundu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.