mbosso

  1. gonamwitu

    Mbosso badilika, gemu itakushinda

    Ahlan wasahlan wanajukwaa, Huyu kijana wa kuitwa Mbosso "Khan Mushedede" kutoka viunga vya WCB kiundashi, melody na hata jinsi anavyoimba yuko njema. Shida yake ni moja tu: habadiliki, kila siku nyimbo zile zile, uandishi ule ule, mahadhi yale yale. Kila wimbo anataja maandazi, kachori...
  2. Nobunaga

    Rayvanny - I Love You, Mbosso - Ate, Lavalava - Tekenya: Naona mmeamua kutuchezea nyie vijana wa WCB

    Rayvanny wa I Love You sio yule wa Kwetu na Natafuta Kiki. Mbosso wa Ate sio yule wa Hodari na Maajabu. Lavalava wa Tekenya sio yule tulomzoea wa mapini makali kama Bora Tuachane na Niuwe. Hivi nyie vijana wa WCB ndio mmeamua kuprove kwamba Harmonize alikuwa mkali namba 2 kama sio namba 1...
  3. Nobunaga

    Mbosso ndiye mrithi wa Harmonize pale WCB

    Hili liko wazi kabisa, wala halihitaji ubishi. Kijana huyu ana cheche na moto haswaa wa kuweza kukamata siti iliyoachwa wazi na Harmonize. Najua matarajio ya wengi ni kwamba Rayvany ndio ataziba hilo gap, lakini nionavyo mimi uwezo wake ndipo ulipoishia. Kama ni kumfikia Harmonize basi alipaswa...
  4. Barcelona763

    Mbosso – Maajab

    Mbosso – Maajab Mbosso nyimbo zake zote zinafanana,melody zinafanana na bado aina ya muziki anayofanya sijamuelewa mpaka was leo.Nyimbo hii sielewi wala Mimi si kisiwi inahusu nini haswa.hakuna mwendeleo wa Shairi ila kurusha kurusha maneno ya misamiati.
  5. GadoTz

    Mbosso(WCB) vs Aslay, nini kitatokea?

    Kwa wasiomfahamu Marombosso ni kijana hapo kwenye video, ambae alikuwa miongoni mwa wanaounda Yamoto band. Kwa sasa ametoka kupitia WCB. Wakati yupo Yamoto walikuwa wanachuana vikali na Aslay na inasemekana ni moja ya sababu kundi kuvunjika ni hivi vipaji viwili. Kwa kutazama muono wa mbali...
Back
Top Bottom