sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,704
- 9,926
Huyu hapa Mbosso aka Mshedede.
Alipotoka kwenye lebo namba moja Africa Mashariki ya WCB kila mtu alisubiri kuona anafanya nini.
Kiukweli nathibitisha sasa Mbosso ameiva.
First touch yake ni zaidi ya expectations za wengi amevuka mstari wa matarajio.
Ametoa EP nzuri sana, lakini akuishia hapo.
Promotion ya EP yake ni babu kubwa yani katika wanafunzi wa Diamond huyu naweza kusema kapata alama A+.
Kila kitu kwenye promo kipo on point.
Kila la heri Kilungi, umeweza. Umemheshimisha Simba.