mbona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    CHADEMA mbona mnahangaika sana? Mlikuwa hamtaki wafungue kesi upya? Mnaingilia haki za akina halima. Acheni uhuni.

    Mbona mnakuwa na roho za ajabu ninyi wanaChadema? Hiii nini? Hamtaki wafungue kesi upya?
  2. Kumbe tunauza zaidi Kenya kuliko wao wanavyouza kwetu! Ila mbona bado wanatuuzia sabuni nyingi hivi?

    Urari wa biashara kati ya Tanzania na Kenya umeimarika sana. Leo niliona bungeni Rashid Shangazi akiliongelea hili nikaona nijiridhishe. Kulingana na data za benki kuu ya Kenya kuishia mwaka jana Tanzania iliuza Kenya bidhaa zenye thamani ya trilioni 1.15 huku yenyewe ikinunua zenye thamani ya...
  3. J

    Serikali yakutana na Mabalozi na Taasisi za kimataifa kuwafafanulia kinachoendelea Ngorongoro

    Serikali ya JMT leo imekutana na Mabalozi na wakuu wa Taasisi za kimataifa kuwafafanulia kinachoendelea Ngorongoro Serikali ikiongozwa na Waziri Mulamula, waziri Ndumbaro na Naibu waziri Masanja Masanja amesema mifugo ya nchi Jirani ndio Ilikuwa inaletwa Ngorongoro kwa ajili ya kunenepeshwa...
  4. M

    Dk Slaa mbona unakaa kimya? Huoni kinachoendelea? Wale jamaa waliokuwa wanakutonya kuhusu upigaji wapo kimya?

    Please please Dk Slaa hivi sasa hali sio nzuri kabisa. Taifa letu litaibiwa sana. Wewe una bahati ya kuwa na wanyetishaji. Ndio maana huko nyuma uliibua madudu makubwa. Sasa hivi kuna harufu mbaya sana inanukia juu ya ufisadi na wewe ulishaisikia. Please hebu ongea kitu maana sasa tunaelekea...
  5. J

    Baraka Shamte aliyefukuzwa CCM mbona sio Mwarabu kama baba yake Mohamed Shamte?

    Baraka Shamte ambaye ni mtoto wa Mohamed Shamte, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Zanzibar kabla ya kupinduliwa Huyu mtu nilikuwa simjui hadi nilipomuona kwenye video kuhusu sekeseke lake na CCM hivi majuzi Kilichonisukuma kuanzisha uzi ni kuwa mbona huyu mtu ni Mwafrika wala hata sio chotara (mixed)...
  6. Kwahiyo mkiwaomba 'Rushwa' na Wakiwanyima ndiyo mnapandwa na Hasira na Kuwakamata mbona wakiwapeni hamtangazi Kuwashukuru?

    Basi la Friends linalofanya safari zake kutoka Uganda kwenda mkoani Mwanza, limekamatwa mkoani Geita na Kikosi cha Kupambana na Magendo cha TRA, likiwa limebeba shehena ya vipodozi hatari vilivyopigwa marufuku kuingia nchini, pamoja na bidhaa ambazo zinadaiwa kupitishwa mpaka wa Mtukula...
  7. Mionekano ya vijana wa kiume huko tiktok mbona ina utata sana

    Huu mtandao Nimeujua muda mrefu ila nilikuwa sijawahi kabisa kuingia kuna clip nyingi nilikuwa naona zinasambazwa kwenye mitandao mingine kiukweli kama mtu siku hiyo upo bored ukikutana na clip za tiktok zitakufanya ufurahi Sasa leo ndio nimepakua hiyo app nimeingia kwenye huo mtandao nimeona...
  8. ACT Wazalendo hawana wanachama wengi Tanzania Bara, nani anawafadhili? Mbona harakati nyingi? Wanatoa wapi fund?

    Kiukweli huku Bara hawana vichwa kabisa na hata huko Tanzania Visiwani wanatembelea nyota ya maalim Seif (RIP). Nani anawapa nguvu ya kufurukuta hawa ACT Wazalendo?
  9. M

    Hawa TAMISEMI vipi? Mbona ajira ya walimu ni kimya na akaunti za waombaji zote wamezifunga

    Hawa Tamisemi wako kimya tu kuhusu ajira za walimu. Bila shaka wamelenga ajira zianze julai mosi. Sasa ni vizuri wakatoa majina mapema ili watu wajipange, wasije wakatoa majina kisha kutoa muda mfupi wa kuripoti na vitisho kuwa mtu asiporipoti mapema nafasi yake itachukuliwa. Ninachoshangaa ni...
  10. Q

    UVCCM mbona hawatoi Tamko kuhusu viongozi wao wanaotuhumiwa kwa mauaji Loliondo

    Wapo madiwani wa CCM 9 na mwenyekiti wa CCM wa wilaya, mbona mko kimya.
  11. B

    Je, Kuna watu wasio na Imani na Rais? Mbona nguvu kubwa inatumika kuwaaminisha Watu mazuri yake? Wanaomsifu wana Iman naye?

    Fuatilia siasa za nchi mbalimbali Duniani, RAIS wa nchi anapokuwa katika miaka ya uongozi ambayo siyo ya uchaguzi uwezi kusikia kusifu na kumwabudu Kama ilivyo Tanzania Hali inayoendelea nchini Kwetu inafanya baadhi ya Watu kuhoji labda wanaosema Wana imani na RAIS hawana Imani naye Bali...
  12. Wizara ya Afya na TAMISEMI mbona mko kimya sana?

    Habari gani ndugu wanajamvi la Habari mchanganyiko. Ngoja niende moja kwa moja kwenye Maada. Mnamo aprili 16 2022 kulitangazwa nafasi za Kazi upande wa Afya na Elimu/Ualimu. Ni miezi sasa imepita toka dirisha la kutuma maombi lifungwe. Huenda mimi ni mgeni au sina uzoefu sana kwenye haya...
  13. M

    Kama wamasai sio wazawa, mbona Wahehe walitokea Zimbabwe. Huyu Msigwa hana utu na mbaguzi

    Huwezi kubagua watanzania wenzetu kwa historia ya miaka 2000 iliyopita. Huyu ni mbumbu kabisa. Mbona Wahehe walitokea huko kusini mwa Afrika na walevi kama watu wa Zimbabwe mbona hatuwabagui
  14. Mbona Maulid Kitenge hajasema 'Swahiba' wake Oscar Oscar anaachana na EFM na anaenda wapi?

    Imeandikwa na @maulidkitenge - @oscaroscarjr ni moja ya wachambuzi waandamizi ambao wamekuwa nasi kwenye Sports HQ kwa miaka 7. Sisi tunamshukuru kwa uchambuzi wa kina, vituko, maoni na yote aliyofanya kwenye kipindi hicho. Tunamtakia kila lenye kheri kwenye majukumu yake mapya. Chanzo: Dar...
  15. Hawa wanaojinasibu kuwa CCM ni mali yao mbona ndio wanajihusisha sana na ufisadi hapa ncnini? Kagasheki ndio alitoa amri ardhi ya Ngorongoro ipunguzwe

    Inashangaza sana hili kundi la CCM ina wenyewe wao kazi yao tu ni kupigaga madili tu kuanzia Epa, Escrow Kagoda na wizi wa mali za CCM Kumbe Kagasheki ndio alihusika na kuingia dili ili eneo la Loliondo lipunguzwe kwa manufaa ya mwarabu. 👇🏿 Mwananchi › kitaifa CCM wamgeuka Waziri Kagasheki...
  16. Vijana wa CHADEMA mbona hamsomeki? Kulamba asali mnataka na harakati mnataka, mtapasuka msamba

    Naona mnapenda sana huku na huku. Boss wenu ameshalamba asali na ninyi mmeshalamba kwa ujumla maana yeye ndo Alfa na Omega. Sasa hizi harakati mnazotaka kufanya za nini? Au ndio mmezoea maharakati? 👇Chadema: Tutasimama na watu wa Ngorongoro Chadema: Tutasimama na watu wa Ngorongoro
  17. F

    Ismael Jussa amesema kuwa Nyerere ndiye aliyemuua Abeid Karume, yana ukweli haya? Na kama siyo mbona bado anazunguka mitaani, akamatwe

    Nimewahi kusikiliza online TV inaitwa Zanzibar Kamili, kuna mahojiano ya huyo anayeitwa Ismael Jussa ( Nadhani nimetaja jina lake la pili vizuri), huyo Jussa wakati akifanya uchambuzi wa vitabu, kuna sehamu amesema kuwa Nyerere alikuwa anawakandamiza viongozi wa ZNZ kuanzia wakati wa vuguvugu la...
  18. Kula dagaa ni umaskini au maharage, sasa mbona bei iko juu?

    Maharage kilo 2800 Dagaa kilo 8000 Sasa kwanini ukila unaonekana hohehahe?
  19. Ajira mpya za Utumishi zinachanganya. Matangazo yametoka mawili, lipi ni sahihi?

    Wadau, tarehe 28 May Utumishi walitangaza nafasi za kazi kwa watanzania kada mbalimbali ILA Kuna kitu kimenichanganya hapa kama ifuatavyo: Haya matangazo yanaonesha yako mawili na hata idadi ya Ajira zinatofautiana, Kuna tangazo moja lina posts 1904 total na tangazo la pili lina posts 2057. So...
  20. Mbona matapeli na waganga wa jadi wamejaa Voda?

    Mimi ni mtumiaji mzuri wa airtel ila baada ya kupoteza simu nikaibuka na voda wapo vizuri ila shidaaa ni hii message za matapeli haziishi yani hujakaa vizuri mara mganga wa nguvu za kiume na utajiri. Wanadili gani hawa maana si kwa tigo na mtandao mingine ni kubaatisha ila voda message hizi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…