mbona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mama Mbona Ujaipongeza Timu ya Simba Kushika Nafasi ya Pili Kwenye Kombe la Shirikisho Mwaka Huu 2025?

    Inawezekana Mama amepitiwa kulikosababishwa na Majirani zetu wapendwa wa hapo Kenya!
  2. JamiiForums Tanzania Mbona kama siviamini CHAUMMA na ACT WAZALENDO?

    Ingawa nilianza kupiga kura mwaka 2000, lakini sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa. Ingawa sina Chama, nilikuwa ninafurahia ninapoona ushindani wa kisera kati ya CCM na CHADEMA! Kwa bahati mbaya, mpaka sasa hakuna uhakika wa CHADEMA kushiriki uchaguzi wa mwaka huu. Vyama...
  3. JamiiForums Tanzania Mtandao wa X zamani Twitter mbona una ugumu kufunguka?

    Jaman wapendwa wangu, naomba msaada wenu. Nimejaribu kuingia tweeter a.k.a X lakini nashindwa jamani. Nataka nifuatilie habari za nchi yetu na mambo mengine.
  4. JamiiForums Tanzania Mbona kama mambo yanajirudia!

    Kulikuwa na utawala wenye ukatili wa wazi wazi na matendo yenye kufanana na hapa kwetu. Ila walipovuka mipaka wakajikuta tumemtoa mpaka yeye. Kitendo cha kufanya yale yale kuvuka mipaka kitakuja kumfanya kama alivyofanyiwa IDD amin. Kumbuka hata ZNZ ilisaidiwa na mtu wa Uganda.
  5. X

    JamiiForums Tanzania Hivi wenzetu mnaoweka status WhatsApp mnafaidika nini? Mna utoto mwingi sana

    Hii kitu imenishinda kabisa. Kitu hunishangaza ni kuona mwanaume anaweka status, ile huduma imekaa kikike sana. Tena kwa mabinti wa seco labda na vyuo. Wanawake imekuwa kama sehemu ya kupigana vijembe na hata midume nayo imeanza hizo pigo za kike. Show off za kijinga jinga zimejaa kwenye...
  6. JamiiForums Tanzania Mbona kama nimeachwa hivi

    Dah! Yaani hata sielewi... Kuna huyo mwanamke tulitokea kupendana sana. Previous (Early 2023), alikuwa jirani tu wa kawaida, ila kuna kipindi mipango yangu ilikwenda mrama sana, nikasumbuliwa na janga la njaa kali. I'll never forvet the day niliyoanguka kolidoni nusu nife, alikuwa katulia...
  7. JamiiForums Tanzania Hawa wanaohama chadema Mbona kadi hawakabidhi?

    GT. Jamani mna uhakika hawa qanaoitisha press ni wanachadema wote au kuna mamluki ndani yake? Pili sijaona wakikabidhi au kurudisha kadi za chama ila CCM kwa propaganda ni wazuri lakini mwisho wa siiu hakuna lolote
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mbona kama nachanganyikiwa..! Risasi alizopigwa Lissu zinauhusika na pande zote mbili? Kwanini wanachadema wanaamua kukimbia chama bila sababu?

    Wanusa upepo wa CCM na Chadema hasa wanaokula sahani moja kwenye hizi siasa za kinafiki, wamegundua kuwa, Ni dhahili Chadema inaenda kushika dola Wakati huu, nilitarajia Chadema iwe moja, ishikamane kwa hali zote Kwa sababu, wakati wa Chadema kuchukua nchi ni sasa, na hii ingefanya Chadema...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wa CCM hapa JF mbona mnajifichaficha? Tuambieni kama hii hali ya kamata kamata na kupoteza watu mnaiunga mkono

    Mgambo wakiamrishwa nyuma geuka, yule aliyekuwa wa kwanza, huwa wa mwisho, na yule aliyekuwa wa mwisho huwa wa kwanza Kipindi cha awamu iliyopita, tuliungana wote kumpinga Magufuli hasa kwenye suala la kupotea kwa watu na kuonekana kwenye viloba, leo wana ccm mnataka kusema hamlioni hili? Ni...
  10. JamiiForums Tanzania Huyu mgeni wangu mbona kama simsomi?

    Kuna jamaa yangu katoka bush kuja kufuatilia masuala yao ya mirathi hapa mjini,sasa kwa sababu ni mtu wa kijijini na tunafahamiana nikamuambia hakuna haja ya kufikia lodge hapa kwangu kuna chumba cha wageni aje tu ili apunguze gharama. Jamaa kafika tumepiga story za hapa na pale tukaagana kila...
  11. JamiiForums Tanzania Waungwana, Mzee Wangu na Swahiba Wangu Steven Wassira Yuko Wapi? Mbona Kimya?

    Nilimuonya Swahiba wangu Babu Steven Wassira wanakupoza hao CCM kukuingiza katika Marathon na mtu kama John Heche "Kipchoge" wa kizazi hiki ila hakuthamini maana anawaamini Chama chakavu ambao hata akifia kwenye race watamtunuku bendera robo mlingoti na kumsahau. Sasa anayejua yuko wapi...
  12. JamiiForums Tanzania Nafuatilia msiba wa Msuya tangu juzi, mbona David Mathayo David hatajwi kwenye watoto wa marehemu

    Tangu juzi kuagwa kwa Mzee wetu mwendazake Cleopa Msuya pale Karemjee Hall mpaka leo hapo Usangi inapofanyika ibada ya mazishi, sijaona Mh. David Mathayo David akitajwa kama miongoni mwa watoto wa Mzee Msuya. Au wameamua kuuchuna kiaina?
  13. JamiiForums Tanzania Eti wakuu mbona miundo ya aina hii ya valenda watu hawaitengenezi tena, ni issue ya gharama au ni mabadiriko ya trend?

  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Huyu Benson Kigaila akikutana na Bensoni Kigaila wa leo aliyetangaza kujiondoa CHADEMA mbona itakuwa wewooo

    Nimekutana na clip ya Benson Kigaila wa enzi hizo akisema kuwa ikifika 2024 na 2025 hakuna Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi basi hakutakuwa na uchaguzi, halafu kuna huyu anayesema kuwa kutoshiriki uchaguzi ni kutaka CCM ipite bila kupingwa, wakikutana watazichapa sana. Hitimisho: Njaa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mbona India ni kama chui wa kuchora?

    India wameshindwa tena kutekeleza operation yao ya kijeshi bila majeraha makubwa kwenye jeshi lao. Ikiwa tayari ni miaka sita imepita toka walipofanya military failed mission dhidi ya Pakistan, India usiku wa kuamkia Leo imefanya tena operation ikilenga vituo vya kikundi cha kigaidi...
  16. JamiiForums Tanzania Walimu wa madrasa mna shida gani? Mbona mnautia matope dini ya haki na ukweli(uislamu)

    Mahakama ya Wilaya ya Lushoto, imemhukumu mwalimu wa Madrasa Abuubakar Hamis, mkazi wa eneo la Dule B lililopo Jimbo la Bumbuli wilayani humo, baada ya kukutwa na hatia ya Kumlawiti mara kwa mara Mtoto wa kaka yake wa kiume, ambaye ni Mwanafunzi wa darasa la pili na kumsababishia athari kubwa...
  17. JamiiForums Tanzania Webabu na ritz mbona hamtupatii ripoti ya yemen kuungua huko 🤣 au hadi iwe dhidi ya makafiri.

    Kaokoeni ndugu zenu
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi kamateni Faris Burhan Mwenyekiti UVCCM Kagera kufuatia kutekwa kwa Mdude

    Polisi hampaswi kujiulizauliza mtu wa kuanza nae ni Farsi Burhan Mwenyekiti wa Uvccm mkoa wa Kagera ambaye mwaka jana alijitangaza kuanza kuteka watu na kuwaonya kuwa inaootokea mtu akatekwa polisi msimtafute. Anza na huyu mtekaji akiyejitangaza hadharani jamani huenda ndo yupo nyuma ya...
  19. JamiiForums Tanzania Mbona timu za Zanzibar hazipigwi goli nyingi na Yanga kama za huku bara?

    Najiuliza hili swali nikijua ligi ya Bara ni bora kuliko ya Zanzibar na pia kwa viwango ipo kwenye ligi 5 bora Afrika. Sasa kama hizi timu zilizopo kwenye ligi bora zinapigwa goli nyingi kila kukicha na Yanga, mbona kwa hizi timu za Zanzibar ambayo ligi yake inaonekana dhaifu hazipigwi goli...
  20. JamiiForums Tanzania Mbona watu ni kama wamezikimbia Toyota Wish, ni issue ilio technical au ni trend tu

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…