mbolea

Tanzania Mbolea and Petrochemical Company (TMPC), a Tanzanian company that was specifically formed to design, build and operate a fertilizer-manufacturing factory in the Mtwara Region of Tanzania, using natural gas as raw material.When completed, the plant will be the largest fertilizer-manufacturing factory in Africa, with capacity of 3.8 million metric tonnes of product annually.

View More On Wikipedia.org
  1. E

    Upatikanaji wa mbolea ya mboji

    Mboji ni aina ya mbolea ya asili yenye rangi nyeusi kahawia na harufu nzuri ya kidongo ambayo hutokana na kuoza kwa mchanganyiko wa masalia ya mimea,mazao au matunda, kunakosababishwa na vijidudu na wadudu rafiki wa mazao. Mbolea ya mboji unaweza kutengeneza mwenyewe kwa kukusanya mabaki ya...
  2. Rais Samia, mbolea ya ruzuku ikichelewa wakulima wa kutotegemea mvua tutapata hasara kubwa

    Ombi kwa mheshimiwa Raisi Mama Samia. Mpango wa mbolea ya ruzuku ni mzuri sana na wenye tija kama utatekelezwa kwa wakati. Serikali yako imesikiliza kilio cha wakulima cha muda mrefu. Hongera sana. Pongezi pia ziwafikie washauri wako na wazira ya kilimo kwa ujumla. Mpango huu umeanza kuwa...
  3. Changamoto kubwa kwenye mfumo mbolea za ruzuku

    Msimu wa kilimo 2022/2023, serikali imekuja na mfumo wa mbolea za ruzuku, ambapo mkulima ni lazima ajisajili kwenye madaftari ya wakulima yaliyosambazwa kote vijijini. Changamoto kubwa iliyojitokeza ni wakulima wengi kutopata namba ambayo wanatakiwa kwenda nayo kwa wakala ili wakamilishe malipo...
  4. S

    Urusi nafaka kwenda nchi masikini, kutoa mbolea ya bure

    Rais Putin ameahidi kumimina nafaka kwenda nchi masikini. Ameahidi kusupply tani milioni 30 mpaka mwisho wa December. Na pia Urusi ipo tayari kuongeza kiwango hicho na kufikia tani milioni 50. Sambamba na hilo Putin amesema atamimina mbolea ya kumwaga ya bureee kwenda nchi masikini. Kamuamuru...
  5. Mbolea bei juu, maagizo ya Waziri wa Kilimo kuhusiana na kushushwa kwa bei ya mbolea yamepuuzwa?

    Mbali na tamko la waziri la waziri wa kilimo Mh. Hussein Bashe kutoa bei elekezi ya mbolea kuwa ifikapo tarehe 15/08/22 maduka yote nchini yanayouza pembejeo za kilimo yawe yameshusha bei ya mbolea na kuuza kwa bei elekezi ya serikali ili kumpatia nafuu mkulima. Lakini hadi sasa...
  6. L

    SoC02 Namna nilivyoweza kupunguza gharama za kilimo kwa kutengeneza mbolea yenye uwezo mkubwa wa ajabu

    Kilimo tangu nyakati za uhuru mpaka leo hii ndiyo sekta pekee inayoajiri asilimia kubwa ya watanzania. Inakadiriwa kuwa zaidi ya 60% ya watanzania wamejiajiri au kuajiriwa katika sekta ya kilimo. Na kilimo imekuwa mhimili mkubwa wa maisha ya kila siku ya watanzania wengi. Pamoja na kuwa kilimo...
  7. Mbolea ya ruzuku ipo au haipo?

    Leo nilienda kujiandikisha ili na mimi niwekatika ule mpango wa mbolea hiyo ya RUZUKU Maajabu afisa mtendaji akaniambia mimi sistahili kuwa katika mpango huo kwani najiweza sababu namiliki ekari 20 Hivyo waliolengwa ni wale wanaomiliki ekari 3 kushuka chini Swali langu kwa Waziri wa Kilimo...
  8. Waziri Bashe masharti ya kupata mbolea yanaashiria mbolea hamna. Nimeanza kukosa imani

    Kijiji cha Ilembo kata ya Mpui wilayani Sumbawanga, nimekutana na kioja kama si kihoja! Ati ukijiandikisha inatakiwa wakapime mashamba yako, wakishayapima ndio upatiwe hiyo mbolea. Nauliza kijiji kimoja kinawakulima mpaka 10,000' na Kila mkulima ana heka kumi, mtapima mashamba yote ndio mgawe...
  9. P

    SoC02 Mirathi ilivyo mbolea ya umasikini na upoteaji wa asilia ya vizazi

    Moja ya majukumu yangu ni kuwasaidia wafiwa kuandaa nyaraka muhimu za mirathi na kuwapa ushauri ni namna gani wanaweza kulinda mali za wapendwa wao marehemu na haki za warithi wao kisheria pindi wanapokuwa wamefiwa ikiwemo ufunguaji na uteuzi wa wasimamizi wa mirathi. Katika utendaji wangu huu...
  10. Ruzuku kwenye mbolea na mustakabali wa uchumi wa taifa letu

    Jitihada kadhaa zenye lengo la kuiinua sekta ya kilimo zimewahi kufanywa na serikali za awamu zilizopita lakini bado hazikufanikiwa kwa kiasi kikubwa. Moja ya iliyokuwa changamoto kubwa katika sekta ya kilimo ni mfumuko wa bei za mbolea nchini. Bei ya mbolea imekuwa ikipanda maradufu na...
  11. N

    Hizi ndio bei za mbolea ambazo wakulima watanunulia kuanzia Agosti 15, 2022 baada ya bilioni 150

    Utashangaa kiukweli hii inaonyesha ni Kwa namna gani serikali inawasikiliza watu wake hasa katika kuhakikisha inawapunguzia makali wakulima kutokana na hali ya kupanda kwa bei za mbolea katika soko la dunia si Tanzania pekee bali ni ulimwenguni kote. Zipo sababu kadhaa zilizosababisha bei...
  12. Bashe: Hata usiposajiliwa, utapata mbolea kwa bei ya ruzuku

    Ziara ya Rais Samia Suluh Hassan Mkoani Njombe, kijiji cha Mtwango. Waziri wa Kilimo Mh. Hussein Bashe ametoa uhakika wa upatikanaji wa mbolea kwa bei ya ruzuku hata kwa wakulima ambao hawatakuwa wamesajiliwa baada ya muda huo kufika. Hii inatoa ahueni kwa wakulima waliokuwa na wasiwasi juu ya...
  13. Rais Samia, fufua kiwanda cha mbolea Tanga (Tanga Fertilizer Company)

    Mwalimu Nyerere aliona mbali sana baada ya kujua kuwa nchi hii ya Tanzania ni ya Wakulima na Wafanya kazi. Kati ya viwanda vingi alijenga ni kile cha Tanga Fertirlizer Company iliyokuwa inatengeneza mbolea ya NPK na nyingine kama sikosei. Wajanja wakakiuza na hata ukigoogle leo hakipo kwenye...
  14. Bei mpya elekezi ya mbolea

    Serikali imetoa mbei mpya ya mbolea yenye ruzuku. DAO kutoka 131,676 hadi 70,000 Urea..................124,724 ...........70,000 CAN ...................108,156............60,000 SA...........................82,852............50,000 NPK.......................122,695...........70,000 MAMA SAMIA...
  15. Mbeya: Rais Samia azindua mpango wa ruzuku kukabiliana na bei ya mbolea kwa wakulima

    Rais Samia Suluhu Hassani amezindua rasmi mpango wa ruzuku ili kukabiliana na bei ya mbolea nchini ambao baada ya ruzuku hiyo, mkulima atanunua kwa bei ya chini kama inavyoonekana ktk jedwali.✊🏿 Tangu aingie madarakani, Rais Samia amefanya jitihada kadhaa kwa ajili ya kuhakikisha kuwa sekta ya...
  16. Onyo la Marekani kwa Waafrika: msinunue kitu chochote kutoka Urusi isipokuwa nafaka na mbolea

    Marekani kashikwa pabaya. Onyo la Marekani kwa Afrika: msinunue kitu chochote kutoka Urusi isipokuwa nafaka na mbolea Getty ImagesCopyright: Getty Images Afrika imekuwa na msimamo wa kutoegamia upande wowote katika vita vya Ukraine na UrusiImage caption: Afrika imekuwa na msimamo wa...
  17. Kwanini Makamba anajiingiza kwenye majukumu ya Wizara ya Kilimo kuhusu kupanda kwa bei mbolea

    Waziri wa Nishati, Makamba amempigia simu Waziri wa Kilimo kuhusiana na suala la tatizo la kilio kikubwa cha bei ya Mbolea akiwa kwenye mkutano wa wananchi Ludewa, inamaana Bashe hawezi kusimamia majukumu yake hadi asaidiwe na makamba au Bashe hawezi kufanya ziara Ludewa kuzungumza na wakulima...
  18. Sio mafuta tu, Rais Samia Suluhu aweka ruzuku na kwenye mbolea

    Serikali imetenga Bil 150 kugharamia ruzuku ya mbolea itakayotolewa kwa wakulima nchini kwa ajili ya kupunguzwa makali ya bei ya mbolea. Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua mpango wa utoaji wa ruzuku ya mbolea katika kilele cha maonyesho ya Nanenane, yatakayofanyika mkoani Mbeya...
  19. SoC02 Changamoto ni fursa; Uchafu ni fursa kwa kuzalisha umeme, gesi ya kupikia, vilainishi pamoja na mbolea yenye virutubisho

    Uchafu ni kitu chochote ambacho hakina matumizi kwenye mazingira; mfano chupa zilizoishiwa matumizi, karatasi, makapi ya mazao mbalimbali,majani ya matunda, mabaki ya vyakula na vinginevyo. Kwa hiyo kutokana na uchafu, mazingira yanakua sio safi na salama kwa viumbe hai ndani yake. Asilimia 37%...
  20. SoC02 Mabadiliko ya fikra za Vijana katika kujishughulisha na kilimo

    Picha na farming Africa. UTANGULIZI Nchi nyingi katika dunia ya leo hasa zile zinazoendelea zikiwemo nchi za AfriKa hasa katika ukanda wa Sahara ikiwemo Tanzania watu wake hutegemea sana kilimo kama uti wa mgongo wa uchumi wao kutokana na ukweli kwamba watu wake wanakaa katika maeneo ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…