mbolea

Tanzania Mbolea and Petrochemical Company (TMPC), a Tanzanian company that was specifically formed to design, build and operate a fertilizer-manufacturing factory in the Mtwara Region of Tanzania, using natural gas as raw material.When completed, the plant will be the largest fertilizer-manufacturing factory in Africa, with capacity of 3.8 million metric tonnes of product annually.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    Mjasiriamali kijana wa Tanzania abadilisha nywele kuwa mbolea

    Wakati David Dennis alipoona kwa mara ya kwanza nywele zimetawanyika katika duka lake la kinyozi la shule ya sekondari, hakujua kabisa kwamba nywele hizo zilizotupwa siku moja zitamweka mbele kabisa katika harakati za uvumbuzi wa kijani zinazochipukia. Leo, Mtanzania huyo mwenye umri wa miaka...
  2. JamiiCheck

    KWELI Chokaa inaweza kuchangia kuongezeka kwa ubora na ufanisi wa mbolea katika kilimo cha ndizi

    Mdau katika jukwaa la Kilimo, Ufugaji na Uvuvi amehoji kama ni kweli chokaa inachangia ubora na ufanisi wa mbolea katika kilimo cha ndizi? "Nilikiwa kwenye Mkoa wa Kagera ambapo kuna mwenendo unaoongezeka wa wakulima wa ndizi kutumia chokaa katika mashamba yao. Wakulima hao wanadai kuwa...
  3. BigTall

    Je, ni kweli chokaa inachangia ubora na ufanisi wa mbolea katika kilimo cha ndizi?

    Nilikiwa kwenye Mkoa wa Kagera ambapo kuna mwenendo unaoongezeka wa wakulima wa ndizi kutumia chokaa katika mashamba yao. Wakulima hao wanadai kuwa matumizi ya chokaa husaidia migomba kustawi vizuri na kupunguza au kuzuia mashambulizi ya baadhi ya wadudu wanaosababisha kudhoofika au kuharibika...
  4. Jumlisha

    DOKEZO Uvushaji wa mbolea za ruzuku kwenda Zambia

    Tunduma Kuna uvushaji wa mbolea za ruzuku kupeleka Zambia kwa njia ya magendo. Hii kazi inasimamiwa na vijana wa CCM, wao wanajiita vijana wa chama chini ya mbunge wa sasa David Silinde na wao wanatoza kila mfuko wa mbolea 2000. Hizi mbolea zimetapaka sana Zambia licha ya kuwa ni za ruzuku kwa...
  5. Just Pray

    GE2025 Samia aahidi ruzuku za Mbolea, chanjo za mifugo

    Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan, akiwa Igunga mkoani Tabora leo, Jumatano Septemba 10, 2025, ametoa wito kwa wafugaji wa mkoa huo kupeleka mifugo yao kwenye chanjo na utambuzi ili kuiweka Tanzania katika viwango vinavyokubalika kimataifa katika soko la mifugo...
  6. Jesusie

    Rais Samia: Tumetoa Sh. bilioni 700 kwaajiili ya ruzuku ya mbolea | Uzalishaji wa mazao ya chakula umefikia Tan 22.8.

    Dar es Salaam, Tanzania – Uzalishaji wa mazao ya chakula nchini umeongezeka kutoka tani milioni 17.1 mwaka 2021 hadi kufikia tani milioni 22.8 mwaka 2024, ongezeko linaloashiria jitihada za Serikali na wakulima kuongeza tija na kuhakikisha usalama wa chakula nchini. Aidha, Serikali inaendelea...
  7. Shikoloo.

    Dodoma kuna kiwanda kikubwa sana cha mbolea, kwanini Tanzania bado tunaagiza mbolea toka nje?

    Nina swali wadau hapa Dodoma kuna kiwanda kikubwa sana cha mbolea kinaitwa Itracom ndo kiwanda kikubwa kwa Afrika Mashariki na kati na kinauza mbolea yake kwa sasa, Kenya, Burundi, Uganda na Malawi, Lkn kwanini sisi hapa hapa Tanzania bado tunaagiza mbolea toka nje?
  8. Bakulutu

    KERO Mbolea za YARA zimekuwa changamoto kupatikana kwa RUZUKU muda mrefu sasa hasa ukanda wa pwani.

    Ni zaidi ya miaka 2 sasa mbolea za YARA ukiulizia kwa wauzaji hawataki kuuza kwa Ruzuku, wanadai hawalipwi kwa wakati na wananunua “cash” na wao wakiuza kwa ruzuku pesa yao inachelewa sana kulipwa. Ukiwapigia YARA sio rahisi kuwapata hata simu zao ni changamoto kupokelewa na wakipokea kwa...
  9. A

    Tuliopiga pesa kwenye mbolea zenye ruzuku miaka 2010 hadi 2014 na kufirisiwa na Hayati Magufuli tukutane hapa

    Binafsi, nimekaa na kukumbuka harakati za kimaisha na jinsi nilivyokuwa milionea na kufirisika na kuwa Kapuku. Nilikuwa nina duka la Pembejeo za Kilimo pale Makambako nikiuza pembejeo za kilimo mbalimbali. Baadaye mbolea zenye ruzuku ya serikali zikaanza wakati wa Kilimo kwanza. Mwaka 2010...
  10. Just Pray

    KWELI Mkojo wa Sungura unaweza kutumika kama mbolea na dawa ya kuulia wadudu kwenye mazao

    Nimekuwa nikiona wafugaji wa sungura wakivuna mkojo wa wanyama hao na kudai kuwa unaweza kutumika kama mbolea na dawa ya kuulia wadudu kwenye mazao. Wakuu wa JamiiCheck uhalisia wa hili ni upi?
  11. The redemeer

    Jifunze jinsi ya kutengeneza mbolea na virutubisho vya mimea kwa bustani yako ( booster na grower)

    Kama unashughulika na kilimo na unapata changamoto ya gharama za kunuanua virutubisho vya mimie shambani kwako huu hapa muongozo. Hapa kuna mwongozo wa kutengeneza Super Glow na Booster za mimea nyumbani kwa kutumia viambato vya asili au vya bei nafuu vilivyopo sokoni. Hii ni nzuri...
  12. Mhina Martin

    Mbolea ya kinyesi cha Popo

    Wadau naomba ufafanuzi kitaalamu na kwa wadhoefu waliowahi kutumia mbolea hii mavi ya popo ufanisi wake ni nzuri?na inafanya vizuri Zaid kwenye mazao Gani maana nina kama gunia 15 za kinyes Cha popo
  13. Mhina Martin

    Uchaguzi wa mbolea bora msimu huu wa kilimo

    Habari wadau wa kilimo poleni na majukumu, misimu ya kilimo hii kama tunavyojua kipindi hichi kumezuka mbolea nyingi sana za makampuni tofauti tofauti za vimiminika (booster) ,na wakulimu tunazitumia na Tunaona ubora wake naomba tushare uzoefu wa booster nzuri ulioyoitumia na kuletaa matokeo...
  14. Ojuolegbha

    Hali ya upatikanaji wa mbolea nchini imeendelea kuimarika

    UPATIKANAJI WA MBOLEA UMEONGEZEKA Hali ya upatikanaji wa mbolea nchini imeendelea kuimarika ambapo hadi kufikia tarehe 31 Januari, 2025 kulikuwa na jumla ya tani milioni 1.21 sawa na asilimia 80.9 ya makisio ya mahitaji ya tani milioni 1.5 za mbolea kwa msimu wa mwaka 2024/2025. Aidha, katika...
  15. Mshana Jr

    Mbolea 12 za nyumbani kwa mimea ambayo unaweza kupata kwa urahisi nyumbani

    1. Maganda ya ndizi yenye potasiamu nyingi, zika moja kwa moja chini au kwenye safu ya miraba kwa ajii ya mbolea ya asili ya kioevu. 2. Nafaka/mabaki/ maganda ya kahawa zilizotumika zinafaa kabisa kwa mimea inayopenda udongo wa asidi kama vile waridi au blueberries. 3. Maganda ya mayai yaponde...
  16. M

    Matumizi ya Mbolea katika kilimo cha karanga

    Naomba kupata uzoefu wa matumizi ya Mbolea za kukuzia katika kilimo cha mbegu zinazozalia chini...mfano karanga. Nimejaribu ku google lakini maelezo hayajitoshelezi Aidha nimeongea na wa kulima wengi wanadai karanga hazifai kuwekwa mbolea. Nimeamua nifanye majaribio ya kulima nusu heka...
  17. Ojuolegbha

    Mikoa iliyoongoza kwa matumizi ya mbolea katika msimu 2023/2024

    Mikoa iliyoongoza kwa matumizi ya mbolea katika msimu 2023/2024; 1. Ruvuma ulitumia tani 100,000, 2. Njombe tani 75,358, 3. Mbeya tani 75,252, 4. Songwe tani 71,230 5. Iringa tani 44,214.
  18. A

    DOKEZO Mbolea za ruzuku hakuna kabisa

    Sisi wakulima wa ukanda wa Pwani tunateseka sana na mbolea , hakuna mbolea yoyote ya Ruzuku kwa sasa ilipo kwa mawakala , toka mwezi wa 11 mwishoni, kila wakala anasema serikali haijalipa wasambazaji hivyo mawakala wakichukua mbolea na kuuza kwa ruzuku hawatalipwa . Tunaomba Waziri wa Kilimo...
  19. Torra Siabba

    DOKEZO Mbolea Feki tunayopewa Wakulima Tabora ni chanzo cha kifo cha zao la Tumbaku, Waziri wa Kilimo fanya jambo

    Hivi Waziri wa Kilimo yupo kweli? Maana sisi wakulima wa Tumbaku hapa Tabora tunapitia changamoto na taabu kubwa sana ambazo kama zisipofanyiwa kazi sisi tutaacha kulima zao hilo na Taifa litapata hasara kubwa ya kukosa fedha za kigeni kutokana zao la Tumbaku kuanguka. Iko hivi, sisi wakulima...
  20. D

    Mbolea gani ya kunyunyizia (Foliar fertilizer) inayofaa kwenye shamba la nanasi?

    Nimepanda shamba la nanasi. Huu ni mwaka pili. Nimeshaanza kuvuna. Nahitaji kuongeza/kuweka mbolea ya kunyunyizia [Foliar fertilize]. Ni ipi inayofaa?
Back
Top Bottom