mboga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ilibaki kidogo niunguze mboga

  2. JamiiForums Tanzania Moja ya sababu za Foreigners kulisha Hoteli za kitalii Matunda na Mboga mboga ni kwa sababu ya ujinga wa sisi Watanzania hakuna sababu nyingine.

    Wanao faidika na wingi wa Hoteli za kitalii au Camps hapa Tanzania au wingi wa watalii ni foregners, na sio sisi Watanzania. Sababu iko wazi. Kule Iringa kuna yule Mafisio, yule Mzungu anailisha Zanzibar yote, analisha Dar hotels na Super Market zote, anailisha Arusha hoteli zote na Super...
  3. JamiiForums Tanzania Viungo vya kupika mboga ye mvuto na ladha nzuri

    Wapishi na wapenda mapishi, naomba msaada wenu! Ni viungo gani mbalimbali vinavyotumika katika kupika mboga ili kuzifanya ziwe na ladha nzuri? Maana ni mwezi sasa tangu nitoke home naona mapishi nayopika hasa ya mboga hayana radha kama ya nyumbani. Pia ningependa kujua bei za viungo hivyo kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Mboga unayoweza kula na chakula chochote

    Kama unapenda ubunifu wa mapishi mbalimbali ya mboga basi pitia huu uzi Unajua ufundi na ladha viko kwenye mboga na sio ugali au ubwamba?
  5. JamiiForums Tanzania Taja majina ya mboga za majani ulizotumia, au unazotumia mpaka sasa

    Wale ambao tumekulia maisha ya kijijini, au maisha ya hali ya chini, kuna aina za mboga za majani ambazo zilitulea na kutupa afya njema. Huenda kwa sasa hukutani nazo kwasababu ya kijiografia, hali ya maisha uliyonayo sasa, kuchangamana na watu wa jamii nyingine, au kwasababu nyingine yoyote...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa hapa Dar wapi naweza kupata hii mboga inayoitwa mgagani?

    Wakuu Nimemiss kula mboga za asili,kuna anaejua wapi kwa hapa Dar naweza kupata hii mboga ya majani inayoitwa mgagani? Ni mboga maarufu zaidi huko kanda ya ziwa.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ikiwa mke /mwanamke wako atazidisha chumvi kwenye mboga ni lugha gani utatumia kumwambia?

    Poleni na mfungo wakuu, 👉Kama tunavyojua wanawake wameumbwa na hulka ya kusifiwa 👉Na pia ni emotional oriented " 👉Kwenye suala la upishi huwa wanapenda sana wapewe credit Endapo mwanamke wako atazidisha chumvi kwenye maakuli ni lugha utatumia kufikisha ujumbe ili usimkwaze 👉Aya tutiririke...
  8. JamiiForums Tanzania Mboga saba kutoka kwa Mr Blue

    Mboga saba. Verse 1 – Mr Blue Mboga saba umeniteka, makahaba nawacheka Kwenye mkataba nakuweka, kwenye mahaba nakuweka Napiga ibada usije lala kwenye mkeka Aah kama vumba likikataa Aah ndumba halitovaa Bila nyumba chumba kimoja utakaa? Nguo za mitumba nauliza mchumba utavaa? (Yeah) Yeah...
  9. JamiiForums Tanzania Wenye chakula chao, nitajie majina ya mboga saba za kiasili unazozifahamu na kuziona hapo! 10k mfuko wa shati!

  10. JamiiForums Tanzania Mama wa Rayvany anauza mbogamboga na Mama wa Martha anauza Juice. Maisha ya wasanii ni magumu sana

    Wasanii wa Tz ukiachana na showoff zao, Ila kiufupi wana maisha magumu Sana . Mama wa Rayvanny yupo mbeya sokoni anauza Mboga za majani za reja reja. Na mama yake Martha anaokota machupa na kuuza juice. This industry is all about shit.
  11. JamiiForums Tanzania Hapa Tanzania kuna mrembo mzuri kuzidi hii?

    Hivi kwa bongo hii kuna MBOGA Safi inayovutia kuzidi hii? Kuna watu wanakula MBOGA Safi bana!
  12. JamiiForums Tanzania Taja mboga ambayo ukiipika utaila weee ila sifa yake ni kwamba haiishagi mimi naanza na Kabeji (kabichi)

    Habari ndugu zangu, Moja ya sifa ya kabeji ni kwamba unaipika unaila mpaka unatamani iishe sasa ila ndo haiishi....twende kazi mboga gani nyingine ina sifa hii ?
  13. JamiiForums Tanzania Leo msela mimi nimepika Wali Nazi na Mboga Nazi

    Leo nimepika chakula kitamu mno hasa mboga maana ilikua na viungo vingi nyenye kuleta ladha MAHITAJI NILIYOTUMIA Mchele nusu kilo, mafuta ya kula, viazi mviringo viwili, nusu kuku, njegere, tui la nazi, paprika, black pepper, curry powder, soya source, pilipili ya kuwasha ya unga, majani ya...
  14. JamiiForums Tanzania Mboga nisizopenda katika maisha yangu

    1.Mchicha. 2.Mlenda. 3.Kisamvu. 4.Dagaa wa mwanza...
  15. JamiiForums Tanzania Wanawake wanapenda ukombe mboga yote

    Wanawake zangu wote ambao nimewahi kuishi nao lazima kuna siku nilikunywa kamnyweso kakanikwangua utumbo niliporudi home ile njaa ikanipelekea kulamba sufuria zima la mboga.basi ile stori mpaka kesho huwa wanaikumbusha kwa kucheka kumbe mimi zilikuwa tungi tu.wemyewe eti wanajua niliona mboga...
  16. JamiiForums Tanzania SI KWELI Ulaji wa Ugali husababisha udumavu wa akili

    Kumekuwepo na madai kuwa ulaji wa ugali hudumaza akili. Madai haya yana ukweli kiasi gani?
  17. JamiiForums Tanzania Mnawezaje kula mboga saba?

    Sijawahi kuelewa kabisa mtu anakulaje ugali mboga saba kwa raha mustarehe akifurahia chakula, wengine wanaita kucheza drafti. Mimi chakula kikizidi mboga tatu huwa naona kizunguzungu tu saa ya kula. Pia mboga zikiwa nyingi sana tofauti tofauti ugali huwa unawahi kuisha mboga zinabaki inabidi...
  18. JamiiForums Tanzania SI KWELI Mjusi kafiri akidondokea kwenye chakula ukaila ni sumu kali inayoua mtu

    Wakuu salaam, Kuna mdudu anaitwa Mjusi kafiri, kumekuwa na hoja mbalimbali kwamba mdudu huyo ni hatari na ana sumu kali ikiwa atadondokea kwenye chakula na ukakila. Je kuna ukweli kuhusu hoja hii?
  19. JamiiForums Tanzania Kwa nini huwezi kula ugali bila Mboga?

    Wanajukwaa habari zenu! Hivi umewahi kujiuliza, Kwa nini Mboga ni za lazima au muhimu unapokula ugali? Je, umewahi kula ugali bila mboga yoyote ile? Inawezekana? Haiwezekani? Kuna makundi makuu ya virutubisho ya vyakula: (1)wanga (2) protein (3) madini Chumvi (4) fibers/roughage (5) vitamins...
  20. JamiiForums Tanzania SI KWELI Mboga za majani aina ya Chainizi husababisha upungufu wa Nguvu za kiume

    Kumekuwa na Madai ya kwamba matumizi ya mboga za majani aina ya chainizi yamekua na madhara katika ufanisi wa tendo la ndoa kwa wanaume. Kuna ukweli gani katika hilo suala? Naomba nijibiwe kitaalam niweze kuelewa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…