mBio is a bimonthly peer-reviewed open access scientific journal published by the American Society for Microbiology in association with the American Academy of Microbiology. It covers all aspects of the microbiological sciences, including virology, bacteriology, parasitology, mycology, and allied fields. The journal was established in 2010 with Arturo Casadevall as founding editor-in-chief.
Mhu 9:11
Nikarudi, na kuona chini ya jua, ya kwamba si wenye mbio washindao katika michezo"",
wala si walio hodari washindao vitani,
wala si wenye hekima wapatao chakula,
wala si watu wa ufahamu wapatao mali,
wala wenye ustadi wapatao upendeleo;
lakini wakati na bahati huwapata wote...
Wakuu naona mbio za kuutaka urais zinashika kasi... makada wa chama pendwa ambao pia ni viongozi maarufu serikalini wako kasi sana kuji-brand.
Binafsi ninaona siojambo baya ila mara nyingi watu kama hawa hupatwa na AJALI ZA KISIASA au chama pendwa kubadili gia angani kwenye kuteua mgombea...
Yohana 11: 49 Mmoja wao aliyeitwa Kayafa, aliyekuwa kuhani mkuu mwaka huo, akasema, “Ninyi hamjui kitu chochote! 50 Hamjui kwamba ni afadhali mtu mmoja afe kwa ajili ya watu, kuliko taifa lote liangamie?”
Maneno hayo ya Kayafa ndio SOP ya mataifa mengi duniani, mifumo ikiona mambo yanazidi kuwa...
Watamshugulisha wee had magoti yaishe ute ute siku akirudi tena ulimi wote njee aanze kusema walimwibia viatu vyake kama yule wa Tanga.
Pia Soma: Tokyo, Japan: Alphonce Simbu ashinda Medali ya Dhahabu ya kwanza kwa kushinda mbio za Dunia za Marathoni
Safari ya Ubunge Jimbo la Kigoma Kusini 2025.
Kwa heshima na taadhima, napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wananchi wa Kigoma Kusini kupitia chama chetu cha ACT-Wazalendo kwa safari tuliyoitembea pamoja tangu mwaka 2020 baada ya uchaguzi Mkuu. Tumekuwa bega kwa bega katika kujenga chama...
Katika historia ya michezo ya riadha duniani, tarehe hii itaendelea kukumbukwa kwa muda mrefu. Mwanariadha kutoka Afrika Kusini, Sibusiso Kubheka, ameweka rekodi ya aina yake baada ya kuvunja rekodi ya muda wa saa 6 katika mbio za kilomita 100, akimaliza kwa muda wa 5:59:20 kupitia mradi wa...
Mange Kimambi aelezea jinsi alive furahishwa na uamuzi wa Samia kumuengua Ummy Mwalimu mbio za Ubunge jijini Tanga.
My take : Msishangae Mange akabadilisha gia angani akaikacha " Timu" Yake ya sasa hivi, akahamia Timu Samia.
Waziri Kombo apokea na kuanzisha Kifimbo cha Mbio za Mfalme wa Uingereza
Katika Viwanja vya Michezo vya Jakaya Mrisho Kikwete, Kidongo Chekundu, Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amepokea Kifimbo cha...
Badala ya kukimbia barabarani ,washiri kwa kujiunga kwa kutumia linki ya mtandao huku wakifanya mazoezi haya ya kukimbia marathoni katika maeneo maalumu na mahususi kwa ajili ya michezo na mazoezi kama vile viwanja vya michezo, na wengine wanaweza kushiriki wakiwa hata nyumbani kama wana...
Hivi tunavyoongea kijana wa miaka 33 mzaliwa wa Kampala Uganda Zohran Mamdani anaongoza mbio za umeya kwenye jiji kubwa duniani la New york ,akipambana na mpinzani wake meya aliyeshika kiti hicho awali Cuomo.
Zohran ambaye hakuwa na uwezo mkubwa wa kifedha kama mpinzani wake huyo ambaye anapata...
Picha zikionesha matukio tofauti ya Washiriki mbalimbali wa mbio (Fun Run) za Kilometa Tano zilizofanyika leo Aprili 27, 2025 ikiwa ni kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari ambayo yanafanyika kwa siku tatu Jijini Arusha
Mbio hizo zilizoshirikisha Wadau mbalimbali...
Hapa ilikuwa hata kabla ya kugunduliwa Whatsapp, Instagram, majalida haya yalichukua umaarufu mkubwa sana Tanzania na Kenya.
Utandawaza unakuja kwa kasi sana siku hizi ni Tiktok na blogs za umbea tu.
Wana bodi huu upuuzi wa kutumia watoto katika halaiki na kuwalipa 3,000/= ni aibu. Yaani watoto washiriki mazoezi kwa muda wa wiki tatu(3) na gharama za usafi ni kwa wazazi, kisha baada ya kukamilika zoezi hilo wanaambulia tracksuits na Shilingi 3,000/=. Wakati wakuu wa idara wanapewa nauli...
Baada ya ccm na serikali kuharibu kila kona hasa kuanzia awamu ya tano, sasa ccm imekuja na a very constructive strategy ya kuwahadaa vijana kwamba mpaka waende VETA baada ya kumaliza degree, phd au uproffesor ndo iwaajiri.
Hi ni danganya toto ukweli ni kwamba ccm imeshindwa na inatafuta pa...
Nguli wa soka Thierry Henry amesema kuhusu Tuzo zijazo za Ballon d'Or, Mbrazil wa Barcelona FC, Raphinha ana nafasi kubwa kutokana na takwimu nzuri na ameonyesha kiwango Bora zaidi ya Mohamed Salah wa Liverpool
Amesema "Raphinha ana Magoli 11 katika UEFA Champions League, anafanya vizuri katika...
Nyie mademu wa jogging mtakuja mtuuwe jamani
Mnavaa vinguo vya kututega
Sisi wanaume marijali tulishiriki jogging na marathon zenu, tutatoka tumemaliza kila kitu
Tusiige wazungu
Mwanamke wa kizungu hata avae kichupi hawezi kumshawishi mwanaume kihisia, huku kwetu maumbo ya kibantu afu umevàa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.