Mbio za mwenge na matumizi ya watoto wa halaiki

Mbio za mwenge na matumizi ya watoto wa halaiki

mtokeibwima

Member
Joined
Aug 2, 2014
Posts
74
Reaction score
37
Wana bodi huu upuuzi wa kutumia watoto katika halaiki na kuwalipa 3,000/= ni aibu. Yaani watoto washiriki mazoezi kwa muda wa wiki tatu(3) na gharama za usafi ni kwa wazazi, kisha baada ya kukamilika zoezi hilo wanaambulia tracksuits na Shilingi 3,000/=. Wakati wakuu wa idara wanapewa nauli, perdiems za 180,000/=@ kwa siku moja. Na misosi inaandaliwa na Ni aibu kiukweli
 
Bro, wenyewe wanaita URAGHBISHAJI wa Falsafa ya mwenge.
Hii ni kitendo cha kurithisha dhana ya mwenge kwa vizazi vijavyo.
Suala la malipo sasa hapo ndio kwenye hoja.
 
Back
Top Bottom