Ukitaka kujua hujui piga namba za kituo cha huduma kwa wateja, itaanza vizuri tu karibu utumish kituo huduma kwa wateja, kwa msaada wanaanza bonyeza namba kama 1 au 2 au 3.
Ukichagua namba ya huduma yako weka loudspeaker, italia mziki mpaka inakatika. Ni masikitiko tu. Mh. Ridhowani Kikwete hii...