mbinguni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hapa Duniani tunapita lakini, Kuna watu Wana/watakuwa na nafasi za kipekee mbinguni

    Ufunua wa Yohana 22:12 Neno: Bibilia Takatifu Yesu kristo anasema, 12 “Tazama, Ninakuja upesi! Nakuja na tuzo yangu, nimpe tuzo kila mtu kulingana na matendo yake. Duniani hatuna muda kabisa Tuzo yako , kwenye mshahara ule ambao Kila mtu ata upokea upo kwenye Yale UTAKAYO TENDA NA SIO...
  2. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Waziri asema watu masikini hawatokwenda mbinguni

    Waziri wa Uganda akinukuliwa "Ikiwa hutumii akili alizokupa Mwenyezi Mungu, usimlaumu unaposalia kuwa maskini. Jitahidi kuushinda umaskini kwa sababu kuwa tajiri ni utukufu," Gazeti la New Vision la Uganda linamnukuu kiongozi mmoja mkuu nchini Uganda akisema kuwa "maskini hawataenda mbinguni...
  3. JamiiForums Tanzania Mambo ambayo Biblia inaweza kukusaidia hata kama hutaki kwenda Mbinguni

    1: UTAWALA: Watawala waliotawala dunia zamani walitumia maandiko ya Mungu wa kiebrania kama miongoni mwa machapisho yao. 2: Ndoa. Kanuni za ndoa zinazosisitizwa katika biblia zitakufanya ufurahie ndoa hadi mwisho wako. Mke mtii Mume, mume mpende mke. 3: Muda. Tabia ya kujali Muda inayoleta...
  4. JamiiForums Tanzania Mbinguni nako hakutakuwa salama

    Kuna dhana ya kwamba mbinguni ukifika basi full kiyoyozi,yaan bata lake usipime, kuimba na kucheza tuu na raha nyingi, wengine wakaenda mbali zaidi ukifika huko unapewa mademu wa kutosha, yaani tendo la sex litaboreshwa kileleni unachukua siku tatu ndio una.., mtanisamehe nimeenda direct bila...
  5. JamiiForums Tanzania Kumbe Israeli 'akitukosakosa' kuondoka nasi mazima Udongoni hadi Mbinguni na Kunusurika huwa tunakuwa Kero na Kituko hivi?

    Wabunge wa Chama cha Mapinduzi msisahau majimbo yenu, 2025 ni kesho kutwa, na sisi tunataka Rais huyu [Samia Suluhu Hassan] arudi madarakani. Na wajumbe wanawasubiri."- Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango. Chanzo: Swahili Times Mtandaoni Lini uliteuliwa kuwasemea Watu wote?
  6. JamiiForums Tanzania Kama umeelewa hii picha utafika mbinguni ukiwa umechoka sana

    wahuni sio watu wazuri😅😅
  7. JamiiForums Tanzania Kama unamjua huyu Mwamba huendi mbinguni

    Ni bora usimjue
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…