Rais wa 47 wa Taifa la Marekani, Donald John Trump (79) ameeleza mashaka yake ya kuingia mbinguni ambapo amesema hana hakika kama kuna kitu kinachoweza kumfanya aingie mbinguni ila ana uhakika amesaidia maisha ya watu wengi.
Trump alisema hayo akijibu swali la mwandishi wa habari aliyemuuliza...