mbili

Mbili (Bambili) and Mbui (Bambui) are dialects of a Grassfields Bantu language spoken in Cameroon.

View More On Wikipedia.org
  1. Nawezaje kuigeuza milioni kumi kuwa bilioni mbili ndani ya miaka mitano?

    Naomba usiniambie haiwezekani, tafadhali! Hiyo milioni kumi haitatumika kwa kazi nyingine zaidi ya kuzalisha hela nyingine, ili baada ya miaka mitano ziwe zimeshafika bilioni mbili. Ingekuwa ni wewe ungefanyeje? Asanteni sana🙏
  2. Mpasuko Chadema wiki mbili kabla ya Uchaguzi

    Yapo madai kwamba mikutano mwingine ya Chadema inaruhusiwa na Polisi lakini baadaye Polisi wanaizuia kutokana na shinikizo kutoka ndani ya Chadema. Sasa tunakwenda kwenye huu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa: matumaini yangu ni kwamba itakuwa Uchaguzi wa amani. Huu ni Uchaguzi ambao utaonyesha...
  3. Mjadala wa kina kwanini Yanga amefungwa mechi mbili mfululizo na kucheza chini ya kiwango

    Yanga wanaonekana wana wachezaji wazuri lakini pia wana kocha mzuri. Ni sababu zipi zimepelekea afungwe mechi mbili mfululizo. Alifungwa na Azam goli 1 kwa 0 mechi ya tarehe 2 November 2024. Leo tarehe 7 November 2024 tumeshuhudia Yanga anafungwa goli 3 kwa 0 zidi ya Tabora United. Hili jambo...
  4. Honda wamezindua Electric Motorcycle mbili: EV Urban na EV Fun.

    Wakali wa pikipiki kutoka Japan, Honda, wametuletea wadau wa pikipiki EV mbili, moja inaitwa EV Fun na nyingine EV Urban. EV Urban itawahusu wale wapenzi wa scooter za kuzunguka nazo mjini au short trips, mfano kazini au shuleni au sokoni. EV Fun ni kwa wapenzi wa sport bikes, kwa mara ya...
  5. Tracks kila moja 20,000 ziko mbili tu

    Wazee kwema? Nina tracks mbili hapa kiuno 36 unyama yani. Light grey(bottega) moja na nyuesi moja (versace). Ziko mbagala hapa. Quality njema na yenye kupendeza, nguo mpya kabisa Bei yake ni 20,000 Deliver 3000 ndani ya dar! 0628731833
  6. Ulishawahi kuwa kwenye mahusisno na msichana anayechagua vyakula? Mimi nilimlaza njaa siku mbili akaanza kula ugali dagaa

    Huyu binti alikuwa ni mpenzi wa rafiki yangu, sijui walizinguana nini, saa nne usiku akanipigia simu kuwa amezinguana na rafiki yangu (yaani mpenzi wake) na hajui atalala wapi hana hata mia mbovu Nikamwambia njoo ulale kwangu, usiku mrefu ndugu zanguni, nilikuwa naishi kighetogheto chumba...
  7. Kila aliyefanikiwa na kutajirika anasema alianza kuuza bagia za mia mbili

    Mhadhara (54)✍️ Bila shaka ni kweli, kwasababu sina hakika kama kuna tajiri aliyetamka kuwa utajiri wake umetokana na kurithi/biashara ya magendo/ufisadi/madawa ya kulevya/ujangili/dhuruma/ au kafara. Licha ya kwamba utandawazi (teknolojia) imetusaidia na inaendelea kutusaidia kushuhudia...
  8. Mwanza: Uboreshaji mkubwa wa Mamlaka ya Bandari kuongeza mara mbili idadi ya abiria katika Ziwa Victoria

    Uboreshaji mkubwa wa Mamlaka ya Bandari kuongeza mara mbili idadi ya abiria katika Ziwa Victoria Mwanza. Idadi ya abiria wanaosafiri katika Ziwa Victoria inatarajiwa kuongezeka mara mbili mwaka ujao, kutokana na miradi mikubwa ya upanuzi wa bandari na uzinduzi unaosubiriwa wa meli ya MV Mwanza...
  9. Nauza Magauni ya mtumba, jumla 2500 hadi 3000. Unapata gauni kali

    Hellow wapendwa nauza nguo za mtumba kali Magauni na tops kali pia. -Magauni jumla utapata kuanzia sh 2000, 2500 tu hadi 3000 guys vigauni vizuri mnoo ambayo ukienda kuuza unapata faida kama unataka kuanza biashara karibu Nauza magauni kwa reja reja pia kuanzia sh elfu 7000 hadi 15000...
  10. Jogoo kashindwa kuwika mara mbili, nitumie Viagra?

    Ndugu wapendwa habari za jioni hiii, nimekuja kwenu kutafuta kujuzwa kuhusu utumiaji wa dawa za kuongeza nguvu za kiume (viagra). JUMANNE NA Jana nilipatwa na mshituko kwani nilikwenda kwenye mambos na mpenzi wangu wa siku zote na katika kuhitimisha mambo yetu kila kitu kilienda sawa kwenye...
  11. Ukimkopesha mtu laki tatu kushuka chini wewe tegemea umemsaidia wewe unazani atafanyia nini?

    Huwa nashangaaga sana taasisi, watu binafsi, kausha damu, kwanini umkopeshe mtu hiyo pesa alafu utegemee akulipe hebu vaa viatu vya mkopaji unamkopesha mtu elfu 50 alafu unakaa wiki mbili zikipita unategemea malipo? Ni biashara gani atafanya apate faida akupe hiyo elfu hamsini muwe na huruma...
  12. Wamiliki wa fremu Sinza zenye tisheti mbili tu na kiyoyozi, tunaombeni siri ya urembo

    Inashangaza sana ndugu zanguni. Unakutana na fremu ina tisheti 2 na jinzi moja lenye mitatuko, pembeni kuna kepu imening'inizwa. Fremu lenyewe la kioo halafu full kiyoyozi. Mhuni aliyepanga fremu hiyo amechili tu akiwa na smartphone yake anaperuzi, muda huo meno nje nje. Nje imepaki BMW Unaamua...
  13. G

    Anaimba tangu 2020 kawahi kupata show mbili za laki 1 na elf 20, Nawezaje kumshawishi ajikite zaidi na vitu vingine vya kimaendeleo

    naona anakoenda siko kabisa nami kama mtu mzima niliyeweza kujionea uhalisia wa muziki ni wasanii wachache sana wanaoweza kupenya na wengi hawafiki kokote na hata kuharibu maisha ya baadhi ya vijana ninasikitika kwamba dogo anaweza kuingia huko. Mara kadhaa anashea nami miziki yake kwa...
  14. Natafuta mtalaam wa kutafuta simu zangu mbili zilizoibiwa

    Habari wadau Natafuta simu zangu mbili zilizoibiwa . Polisi waliniahidi kuwa zitapatikana lakini sasa nakaribia mwaka Ila niliambiwa wapo vijana wa IT wanauwezo wa kutrack simu na kuzipata. Naomba anayeweza aje inbox na naahidi zawadi nono itatolewa kwa sharti moja tu ya malipo ni baada ya...
  15. Upotofu, ulaghai na uchafu ndani ya kanisa kiini chake kikubwa ni viongozi wa dini kukwepa haya hizi mbili ndani ya Biblia

    Hallelujah! Mimi ni mkristo, siandiki hapa kwa lengo la kuufedhehesha Ukristo hapana. Natamani turudi kwenye Ukristo ule ambao sifa tu inatosha kuleta uponyaji wa kimwili na kuleta bubujiko la kiroho tofauti na sasa sifa ipo tu kama desturi. Mtu ametoka kuzini jana leo anashika mike kuongoza...
  16. Sifa Mbili pekee ndizo hufanya Wanaume wawaite Wanawake Malaya, sio ajabu Mume kumuita Mkewe Malaya hata kama Mkewe hafanyi ufuska.

    SIFA MBILI PEKEE NDIZO HUFANYA WANAUME WAWAITE WANAWAKE MALAYA, SIO ADHABU MUME KUMUITA MKEWE MALAYA HATA KAMA MKEWE HAFANYI UFUSKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Moja ya mambo àmbayo Wanawake wengi hawapendi uwaite ni kumuita Malaya, lakini kingine kumuita MCHAFU. Yaani ukitaka Mwanamke...
  17. K

    Je, ni idadi gani ya watu waliowezesha mapato ya shilingi trillioni 3.1 kwa mwezi Septemba?

    Nawasalimu wote kwa jina la jamhuri ya Tanganyika. Awali ya yote naipongeza TRA kwa kuvunja rekodi ya ukusanyaji wa mapato kwa mwezi Septemba hadi kufikia Trillioni 3.1. Pia nilishtushwa na taarifa za idadi ya watanzania wanaolipa kodi kwamba ni milioni mbili tu. Hata hivyo ni jambo jema kwa...
  18. Simba na Yanga mpaka sasa kutokuwa na Viwanja vyao vyenye hadhi ya Kimataifa? Tatizo ni TFF, Sera au?

    Simba na Yanga ni vilabu vikongwe na vikubwa si Africa Mashariki tu bali Afrika kwa ujumla. Yanga na Simba zina historia kubwa pengine kuliko vilabu vingi Africa, historia zao zimejengwa katika lengo lililofanya vilabu hivi kuazishwa miaka zaidi ya 63 iliyopita. Vilabu hivi unaweza kuviita ni...
  19. Yanga leo ikifungwa na Pamba au kutoa Draw nipigwe Ban ya wiki Mbili

    SIONI NAMNA PAMBA ANAWEZA KUTOA HATA DRAW. SIONI KABISA. Yaani hawa jamaa leo lazima Aziz Ki atupie, Chama atupie, Zengeli atupie. Pamba siku zote ni wetu. Ni wetu na tena ni wetu. Yaani hawana cha kutuzuia sisi kupiga mpira mwingi sana na mabao ya kutosha. Hii ndo match ambayo wanayanga...
  20. Hizi ajali mbili za malori zilinifurahisha sana nilitamani zijirudie

    Mwanzoni mwa miaka ya 2000 nikiwa likizo kuna lori la kampuni ya bia lilidondoka mtaani kwetu, kufumba na kufumbua hakuna kreti ya bia hata moja, mtaa nzima kila mtu anelewa, tukapata taarifa kuwa polisi wanakuja ku search nyumba kwa nyumba, tulificha zile bia wiki nzima ilikuwani kufyonza tu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…