Ninasafiri kesho asubuhi sana. Je, nikipandia daladala za Mbezi hapa Ubungo Riverside nashukia kituo gani huko Mbezi?
Je, Daladala zinazitokea Buguruni na Mbagala kwenda Mbezi zinaishia stendi ya Magufuli/Mbezi?
Pana umbali gani kutoka stendi ya daladala Mbezi mwisho hadi stendi ya Magufuli...