Dar: Risasi zinarindima Mbezi beach muda huu

Dar: Risasi zinarindima Mbezi beach muda huu

Risasi zinalindima Mbezi beach muda huu. Karibu na kwa Dr. Hiza.

Yaani mitutu inalia hadi raha. Utadhani 29.10.2025.

Je, ni Polisi au Majambazi.. Yaani jamaa wanapiga mtutu hata hawaogopi..
umeandika uzi ukiwa upo chini ya uvungu wa kitanda, dirishani unachungulia nje ukiwa unezima taa, au umejifunika kabisa na blanketi zito hadi usoni, halafu ndio unaskilizia njungu zinavyomwagwa nje?

halafu,
sio bodaboda hao kweli gentleman?🐒
 
Toyo Mbezi zikafanye mini??
Ni sawa mtu aseme toyo njiro usiku za nini wakati usiku toyo zipo kila mahali hasa za 3 mzuka.... Zinapita za kupasuka kisha zinakuja za kuwasachi watakaopatikana au zinapita za kupasuka kisha zinakuja risasi halisi ili kupoteza maboyae
 
Risasi zinalindima Mbezi beach muda huu. Karibu na kwa Dr. Hiza.

Yaani mitutu inalia hadi raha. Utadhani 29.10.2025.
Ungesogelea hapo ukatuchukulia hata kavideo ka ushahidi mkuu kisha unakatupia hapa kwenye uzi tuone hizo risasi zinavyofanya mashindano ya kusafiri masafa marefu
 
Back
Top Bottom