mbeya

  1. Kati ya Mluo, mbozi, mbeya, tunduma na Makuyuni kuna unafuu wa kununua ardhi ya kilimo.

    Habari, Kati ya maeneo haya ni wapi kuna unafafu wa kununua ardhi (shamba) Mluo, mbozi, mbeya, tunduma na Makuyuni ni kwa lengo la shughuli za kilimo cha umwagiliaji au Highlands yenye vipindi virefu vya mvua. Na bei kwa bei nafuu around 200k to 700k kwa hekari pawe panapitika kwa gari...
  2. Arusha 620,000 Mbunge mmoja Mbeya 540,000 wabunge wawili.

    Tume huru imekuja na mgawanyo wa majimbo. Arusha idadi ya watu 620,000 ina jimbo mmoja la uchaguzi. Mbeya idadi ya watu 540,000 majimbo mawili ya uchaguzi. Huu ni mfano mdogo ambao unadhihirisha tume yetu huru ya uchaguzi si tume huru hata kidogo. Ngongo kwasasa Kwamromboo 🐐
  3. KERO Usafiri wa Mabasi Mbeya hauzingatii ratiba, wanatoa tiketi za karatasi na baadhi ya madereva wanalewa

    Mabasi ya kutoka Mbeya hasa yanayosafiri Usiku hayafuati ratiba ya safari, kwa mfano kuna siku nilipanda basi kutoka Mbeya kwenda Morogoro walisema linaondoka Saa 12:00 Jioni ila tuliondoka Saa 2:00 Usiku pale Stendi Kuu. Tulipofika Uyole wakapaki tukaondoka Saa tano Usiku kwa hiyo...
  4. Tetemeko la ardhi limepita jijini Mbeya

    Za asubuhi wakuu, huku Mbeya mjini tetemeko limepita yaani sio poa kabisa Hapa usingizi umekata Wataalam mtujuze shida nini
  5. Waziri wa Madini, agoma kufuta Leseni za Utafiti (PL )Mkoa wa Mbeya, Wilaya ya Chunya, zilizo kwisha muda wake miaka 10 iliyopita

    Waziri wa Madini, tunapozungumzia suala la leseni za utafiti wa madini (PL) katika Mkoa wa Mbeya, hususan Wilaya ya Chunya, kuna mambo kadhaa ya kuzingatia. Kwanza, ni muhimu kufahamu kwamba kuna leseni zaidi ya 20 ambazo zimeisha muda wake, hazijalipiwa, na zina wachimbaji wadogo waliotengewa...
  6. Naomba kujua gharama ya kusafirisha tani (1000kgs)ya mchele kutoka Mbeya kwenda Kampala(Uganda)

    Habari wadau, Wakubwa shikamoni, wengine habari zenu! Naomba kujua gharama ya kusafirisha tani( 1000kgs) ya mchele kutoka Mbeya kwenda Kampala. Na pia kama kuna mtu anafanya hii biashara genuinely na anatafuta soko nchini Uganda, tunaweza kuzungumza na kushauriana. Asanteni.
  7. Manipulation: Mbinu iliyotumika na CIA kukichukua kisiwa huko Ufilipino na Sakata la Sumu Ofisi za Chadema huko Mbeya.

    Kuelekea Vita kuu ya Pili ya Dunia Marekani alikuwa na uhitaji mkubwa sana wa visiwa katika Bara la Asia kwa ajili ya kujenga Kambi zake za kijeshi.Moja ya maeneo yaliyotambuliwa na Marekani ni visiwa vilivyopo karibu na Nchi ya Ufilipino. Pamoja na kutumia mbinu zote kuwashawishi wakazi wa...
  8. Hali yazidi kuwa tete kwa CCM: Baada ya kukosa pandikizi hata moja kwenye Uongozi Mpya wa Chadema wamuelekeza Msajili Kutengua Viongozi wapya

    Moja ya zawadi kubwa aliyotupa Mungu Watanzania mwaka huu 2025 ni kumteua Tundu Antipass Lissu kuwa Mwenyekiti wa Chadema. Kuchaguliwa kwa Tundu Lissu kuwa Mwenyekiti wa Chadema kwenye Uchaguzi Huru na wa Haki ulioshuhudiwa na Watanzania wote kupitia vyombo vya habari kulihitimisha rasmi siasa...
  9. Polisi hawawezi kusema wanachunguza kitu ambacho wananyooshewa vidole na zaidi ya nchi nzima kama wahusika lazima wananchi mbeya wajilinde

    Hatuwezi kusema na haiwezekani tuchunguze kitu ambacho watu zaidi ya maelfu wana tunyooshea videlo kama wahusika na utekaji wa mdude, alafu tuje na majibu mepesi kwamba tunachunguza hamuwezi kujichunguza. Wananchi wa mbeya wanayo haki ya kuchunguza tukio hilo na kujilinda dhidi ya wahalifu...
  10. Mbeya ni sehemu yenye watu strong sana , kimtazamo, kimaamuzi na katika kujua haki zao Study case kwa Mdude!

    Issue ya kutekwa kwa Mdude , Inaacha Alama katika vichwa vya watu wenye maono . Ni kuwa Mbeya ni sehemu ya watu wenye uwezo mzuri wa kupigania haki. Mpango mkakati wa mabadiliko. unabidi kulenga na kuwekeza sehemu zenye watu wanaojielewa na kujua nini wanataka Issue ya Mdude haitopita hivi hivi.
  11. S

    Ujumbe wa Mwabukusi kwenye mtandao wa X unaweza kutumika kuhakikisha aende Mbeya kwa kumfungulia kesi na kumuweka ndani

    Ule ujumbe wa vitisho wenye matusi ndani yake alioundika kwenye mtandao wa X, unaweza kutimika kama sababu ya kumkamata na kisha kumshitaki lengo ni kuhakikisha harudi mbeya. Kwa jinsi hawa watu walivyowaoga, wataona ni bora wamalizane nae mapema kabla hajafika Mbeya na njia mojawapo inaweza...
  12. PreGE2025 Wakili Mwabukusi: Ninatumiwa Jumbe za Vitisho "KUPOTEZWA" na namba 0792705831

    Anaandika Wakili Mwabukusi kupitia ukurasa wa X: UYU MPUMBAVU mwenye No Hii 0792 705831 anajaribu kunitisha. Nimemtaarifu kuwa haitaji kunivizia kama alivhosema ninarudi mbeya kushughukikia sula la Mdude Nyagali na nimeaama hiki mdiyo kiyama vha ujinga huu na nina hamu ya kuonana naye. Huu...
  13. Boniface Mwabukusi: RC Homera na RCO Mbeya, kama mmemdhuru Mdude Nyagali, hakikisheni mnamzaa, kumkuza na kumrudisha nyumbani kwake salama

    https://youtu.be/tfhpaLr7hBc?si=obXDytUPxizyrgqy Advocate Boniface Mwabukusi, Rais wa TLS ameapa kuwa, mwisho wa watu Kutekwa na kuumizwa ni kwa Father Charles Kitima na Mdude Nyagali... Amewataka Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Bwana Homera, RPC na RCO wahakikishe wanamrudisha Mdude Nyagali nyumbani...
  14. Mbeya mpooo

    Nipo mtaani kwenyu na mamba yangu mguuni naomba mnikaribishe kwa moyo mkunjufu sana😂💪🏿✌🏿
  15. RC wa Mbeya aambiwe, Tunamtaka MDUDE akiwa HAI , aache Janja Janja na Kauli za kihuni zinazoashilia MDUDE Hatopatikana!

    Kila kitu Kiko wazi, RC Mbeya aache kutoa Kauli za kihuni , Et Milion 5 Kwa atakayemleta Mdude akiwa Hai au Amekufa??. Kwa tafasiri ya kawaida, ni Kauli inayoonyesha Mdude hatopatikana . Sasa angalieni Upuuzi, RC badala ajikite kwenye Waliomteka Mdude, CHADEMA imemplekea majina ya wanaohisiwa...
  16. HONGERA Mbeya Highlands FM

    Nikitazama tamasha la Samia Kalamu Award, mwandishi na mtandazaji wa Mbeya Highlands FM , ndh Issakwisa Mbyale, amepata tuzo kitaifa. Toka naifahamu Radio hii imekuwa ya mfano kwa mikoa ya Mbeya na mikoa jirani. Nikiwa natoka Mbeya nawapongeza sana Mbeya Highlands FM kwa kuanza kuonyesha...
  17. Wananchi wa Mbeya wana utofauti mkubwa sana na Watanzania wengine

    Nimekuwa nikifuatilia tukio la kutekwa na kupotezwa kwa Mwanaharakati na Kada wa Chadema Bwana Mdude Nyangali. Kusema kweli kilichonifurahisha na kunishangaza ni mwitikio wa kipekee sana wa Wananchi wa Mbeya katika kujitoa kwao kumtafuta huyu mtu. Wananchi hawa wamejiorganise kumtafuta mtu...
  18. B

    Mbeya CHADEMA waandamana kwenda ofisi ya RPC kumsaka Mdude

    Makamanda Mbeya wamechafukwa: Wanachama na Viongozi wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya wameamua kufanya maandamano ya amani ya kwenda katika ofisi za kamanda wa polisi mkoa Mbeya ili kufahamu nini hatima ya mwanachama wao Mdude ambaye hadi sasa hawafahamu alipo tangu kutoka taarifa juzi kuwa amechukuliwa...
  19. Kwa sasa inatosha,itabidi tuungane na wana Mbeya kumtafuta Mdude. Masaa 24 hadi tumpate.

    Ndugu zangu Watanzania,naombeni tushirikiane ili tuwe salama ili si jukumu la watu wachache na wala si swala la viongozi wa chadema pekee yao. Tafadhali tunaomba sana tuamke tupambanie haki zetu tukiwa kama nchi huru na wala hatupo utumwani. Tukisimama kwa pamoja tunakuwa salama sana kuliko...
  20. Polisi Mbeya: Mwenye taarifa za alipo Mdude azitoe

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…