mbele

Blaise Lelo Mbele (born 10 August 1987) is a retired Congolese footballer who last played for Al-Ahli Club. Lelo previously played for different professional clubs such as South African giants, Orlando Pirates FC and the Saudi Arabian club, Al-Hilal FC.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Sijamwelewa Waziri Mkuu amemaanisha au ndiyo kusema ukiitwa mbele ya mfalme lazima umfurahishe

    "Waziri Mkuu Kasim Majaliwa Amesema kutokana na Utendaji wa Rais Samia Suluhu Anaupiga Mwingi Kama Vijana wanavyoendelea kusema na Mungu akijaalia Ataifikisha Vizuri Tanzania Mwaka 2025 na Mungu akijaalia atamaliza Salama Mwaka 2030" Ameyasema hayo Kwenye Kampeni ya Maendeleo ya Ustawi wa Taifa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ajali mbele ya Chuo cha Ualimu Butimba

    Wanabodi Kama isomavyo "tetesi", nikiwa mazingira ya butimba chuoni leo kwa usafiri wa bodaboda, nimetaarifiwa kwamba wakati wanachuo wakiwa mchaka mchaka alfajiri, baadhi yao wamegongwa na daladala. Sijui ni mazingira ya namna gani, imetokea vipi na ni kwa namna gani wanafunzi 2 wamefariki...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Siku hayati Magufuli aliposimama imara kutetea wamachinga, mbele ya Samia

    Siweki neno: Lakini ukitaka kujua kwa nini wamachinga walimlilia sana, kujitokeza kwa wingi njiani kumzika ni hii hapo juu Hata Rais wa awanu ya pili mzee Ali Hassan Mwinyi wakati akisoma Tanzia yake huko Chato, alimsifu Hayati kwa kutowasumbua wamachinga kwenye utawala wake! Wamachinga...
  4. JamiiForums Tanzania Rais atoe taarifa za kweli juu ya tozo na fedha za IMF

    Rais Samia awe makini kukwepa kusema uongo mbele ya umma Rais Magufuli alipenda propaganda ndio maana watu werevu walimchoka mapema kwa propaganda Alichukua pesa za michango ya rambirambi Bukoba na kwenda kufanyia mambo mengine kabisa. Mara tunajenga kwa pesa zetu Sasa na Samia ameanza...
  5. JamiiForums Tanzania SoC01 Kwanini vijana wengi wana uoga wa kuongea mbele ya watu (public speaking)?

    “According to most studies, people’s number one fear is Public speaking. Number two is death. Death is number two. Does that sound right? This means to the average person, if you go to a funeral, you’re better off in the casket than delivering the eulogy.”- Jerry Seinfeld, Comedian. “ Kutokana...
  6. JamiiForums Tanzania Mnaopakia watoto seat za mbele za gari, tafadhali airbag zinaua

    Watu wengi wanaendesha gari za kijapani. Hivyo hiyo sticker huwa inakuwa na maandishi ya kijapani. Lakini kwa gari za wazungu, hiyo sticker inakuwa kwa kiingereza. Umewekewa tahadhari kwamba kifo au majeraha makubwa yanaweza kutokea. 1. Watoto wa miaka 12 au chini ya hapo wanaweza kuuawa na...
  7. JamiiForums Tanzania Ukuaji wa mziki wa Afrika. Hakika tunakua na kusonga mbele

    Habari za kazi wa kuu katika jukwaa langu pendwa, kwanza natoa pole kwa member wote kwa kuondokewa na mtu muhimu katika jukwaa hili warumi simfaham sura ila kwa taarifa nilizo pata ni home boy kabisa.😭😢 Mimi nimdau wa mziki wa Afrika wa kizazi kipya kwa kitambo kirefu toka miaka ya 90 mwishoni...
  8. JamiiForums Tanzania Tairi zipi zinatakiwa kujazwa upepo zaidi kati ya za mbele na za nyuma?

    Tairi zipi zinatakiwa kujazwa upepo zaidi kati ya za mbele na za nyuma?
  9. JamiiForums Tanzania SoC01 Hata katika Majanga, Mashujaa huinuka na kusonga mbele

    Katika historia ya dunia tumekuwa tukipoteza wapendwa wetu siku hadi siku kwasababu nyingi. Takwimu za mwaka 2017, zinaonesha kulikuwa na vifo zaidi ya millioni 50 vya mwaka huo dunia nzima, 72.67% ya vifo vya dunia vimesababishwa na magonjwa yasivyoambukiza, na huku 19.49% ya vifo vikiletwa na...
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole naye ameitwa mbele ya Kamati ya Maadili?

    Kama ni kweli, nimeumia sana kwamba kila anayesema kuhusu ubeberu na kuhusu ugonjwa wa corona anaitwa kwenye maadili. Freedom of expression iko wapi? Au Mbunge hana freedom of expression? Nakiona chama kipya cha upinzani chenye nguvu kubwa kikizaliwa.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Lukuvi alitembelea nyota ya Dkt. Magufuli, hana uwezo nje ya dola na mbele ya msingi wa haki

    Mhe. Lukuvi awamu iliyopita alikuwa anazunguka na kutoa amri zakufuta hati kila siku huku akiwatetemesha makampuni ya upimaji wa ardhi yakimbizane na deadlines. Alionekana Kama anajua kazi yake na ana uwezo wakusimamia kazi ikaenda. Leo hii ameondoka aliyekuwa bosi wake na yeye amepotea Kwenye...
  12. JamiiForums Tanzania Naliona shimo kubwa mbele yetu

    Wasalaam. Kama taifa ni kama tumepoteza dira na matumaini kwani miongoni mwetu tunaishi na manung'uniko, visasi, uhasama, dhulma, na kuombeana hata vifo na kupambikiana kesi za kipuuzi. Ukweli mchungu ni kwamba chama cha mapinduzi ndio kimetufikisha hapa tulipo na tunakaribia njia panda...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Shoo: Yanayotendeka katika nchi hii yanasikitisha, Watanzania pigeni magoti mbele ya Mungu atajibu

  14. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Ukweli Usiosemeka

    Mazingira yanaoizunguka katiba mpya ni muhimu yakajulikana yote wazi wazi. Inafahamika kuwa CCM walio wanufaika wa katiba iliyopo, hawana sababu yoyote ya kujitia kitanzini kwa kuridhia ujio wa katiba mpya kirahisi. Kutokupatikana kwa katiba mpya kutaifanya CCM kuwa imefanikiwa katika...
  15. JamiiForums Tanzania Katiba mpya: CHADEMA inakwendaje mbele baada ya Mbowe kukamatwa?

    Wana-CHADEMA, Mwenyekiti wenu alikamatwa usiku wa kuamkia kongamano la katiba mpya kule Mwanza akiwa na wanachama na viongozi wengine. Tangu akamatwe, habari ya kongamano imekufa! Kwa sababu serikali inasema imemkamata kwa sababu nyingine na wala siyo suala la katiba mpya, kwa nini viongozi...
  16. JamiiForums Tanzania Kama mnasubiri CCM ikosee mbele wananchi mtasubiri sana

    Hata wanannchi wa kawaida wasio na elimu ya kutosha wanajua CCM imejitahidi kwa kadri ya uwezo wake kuwaketea wananchi maendeleo, amani na mshikamano. Sasa mnataka ionekane imekwama kuleta amani na mshikamano pamoja na maendeleo kisa tu kuna viongozi wenu wamewekwa ndani? Sasa mnakaa kuvizia...
  17. JamiiForums Tanzania SoC01 Migogoro ya Wafugaji na Wakulima, kweli ni Donda ndugu lisilopona mbele ya Serikali na wasomi?

    Athari za Migogoro ya Wafugaji na Wakulima. Migogro hii imekuwa ikisababisha upotevu wa rasilimali kwa raia, jamii na serikali kwa ujumla, uharibifu wa mali, uhai wa raia na mifugo kwa ujumla. Kwa miaka mingi katika nchi yetu tumekuwa tukiishi na jamii za kifugaji (pastoralists) kama wamasai na...
  18. JamiiForums Tanzania Ipo hatari hapo mbele wanaomiliki hisa 51% kumgeukia MO kama Simba Sc itafanya vibaya ndani na nje

    Wapenzi na mashabiki wa Simba wameridhia Mo kumiliki timu ilimradi wanapata furaha na makombe hawatarajii na hawategemei kama Simba itakuja kushindwa sidhani kama wataweza kumvumilia pale mambo yakienda kinyume na matarajio yao.
  19. JamiiForums Tanzania Tumtangulize mbele Mwenyezi Mungu ~ Mbowe

  20. JamiiForums Tanzania Msaada tutani: Gari inatikisika mtikisiko mkubwa mbele ya bonnet

    Gari linatikisika kitu kizito mbele ya bonnet linapokuwa linatembea kwa spidi ya kuanzia km 80 kwa saa, na likiwa kwenye gia namba tano (gari ni manual). Mwenye kujua hili ni tatizo gani atakuwa wa msaada sana. Fundi wa gari amejaribu kubadilisha bush za mbele lakin bado lipo, fundi yeye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…