mbaya

The Mbayá or Mbyá are an ethnic group, commonly called "Indians", which formerly ranged on both sides of the Paraguay River, on the north and northwestern Paraguay frontier, eastern Bolivia, and in the adjacent province of Mato Grosso do Sul, Brazil. They have also been called Caduveo. In the 16th century the Mbayá were called Guaycuru, a name later used generically for all the nomadic and semi-nomadic Indians of the Gran Chaco. The Kadiwéu people of Brazil are the surviving branch of the Mbayá.The Mbayá called themselves the Eyiguayegis 'people of the palm', a reference to the abundant palm trees in their home country. (The name Eyiguayegis is similar to that of Agaces or aigeis, a name more often applied to the related Payaguá. Possibly the two peoples were nearly the same in the 16th century.) The Mbayá spoke a Guaycuruan language. They were "formidable" fighters and "kept the Europeans – settlers and priests alike – at bay" for more than 300 years.The Mbayá were nomads. With horses captured from the Spanish, the Mbayá developed an equestrian culture by about 1600 and were a serious threat to Spanish and Portuguese settlers, missionaries, and governments in Paraguay, Bolivia, and Brazil until near the late 19th century. They also raided and subjugated other Indian groups, notably the Guana. They were generally friendly with the Payaguá, who lived along the Paraguay River and had a riverine culture.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma za UTT ni mbaya sana siku hizi

    Huduma za UTT ni mbaya sana hivi sasa. Watu hawawazi access funds zao wana kuwekeza kwa uaminifu sababu App haifanyi kazi na tukipiga simu tunaambiwa tutarejewa bila mrejesho. Ssa sisi ni wawekezaji au ombaomba?
  2. JamiiForums Tanzania Ambulence hatuna ila magari ya bei mbaya ya polisi tunayo!

    Nimeona polisi wa Uganda na wanajeshi wanavyotesa wapinzani. Wana magari ya bei mbaya na mitulinga usipime. Nimekumbuka hapa kwetu. Pesa ya kuwanunulia magari polisi wa kupiga na kuua waandamanaji inapatikana ila siyo ya kununulia ambulansi, vitabu mashuleni, kuleta maji nk.
  3. JamiiForums Tanzania Njaa ni mbaya sana

    Njaa inawafanya watu kuwa machawa promax totally mtu akiwa chawa hua anaupungufu fulani wa kiakiri maana yeye huwaza pesa tu. Ninasikitika kwamba serikali hii ndio serikali ya mazwazwa kuliko serikali zote zilizowahi kupita watumishi wamegeukia uchawa hata taasisi za kidini nazo zimefanywa...
  4. JamiiForums Tanzania Responded Prof. Mkenda: Wanaopiga picha Shule zenye matatizo ya Miundombinu hawana nia mbaya, Watendaji wawajibike

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amesema kuwa wanaopiga picha shule zenye changamoto ya Miundombinu na kuzirusha kwenye Mitandao ya Kijamii hawana nia mbaya hata kama nia yao ni mbaya ila anachukulia hiyo ni njia ya Utoaji wa taarifa ili ifanyiwe Prof. Mkenda ameyasema...
  5. JamiiForums Tanzania Wasanii Shilole na Wema wanajijengea picha mbaya kwa watanzania hii ni baada ya mivutano ya wasanii hao na watanzania mtandaoni itawagharimu

    Wasanii shilole na wema wanajijengea picha mbaya kwa watanzania hii ni baada ya mivutano ya wasanii hao na watanzania mtandaoni itawagharimu. Bora kugombana na mtu mmoja au wawili sio na watanzania wote unachogombea kwanza hukijui yani ni mbumbumbu ngoja upate shida huone kama utasaidiwa.
  6. JamiiForums Tanzania Ikitokea umekula sumu bahati mbaya, nini cha kufanya?

    habari Natanguliza shukrani nauliza kama wataalamu mtatusaidia.
  7. JamiiForums Tanzania 2025 ilkuwa mwaka mbaya kuliko hata ule wa wakoloni

    Mwaka uliopita, Watu walitekwa Waliteswa Walipotezwa Walinyanyaswa Waliuawa Walitishwa Walidhalilishwa Walichekwa Walikosa na kupoteza matumaini Waliibiwa fedha, mali, na raslimali hata kura Nchi ilinajisiwa kiasi cha sifa yake kutoweka Ni mwaka wa mikosi na mateso hakuna mfano Watanzania...
  8. M

    JamiiForums Tanzania baruti zinazopigwa usiku huu wa mwaka mpya zingepigwa marufuku, zinaleta kumbukumbu mbaya za milio ya risasi ya 29 Oktoba 2025

    Sikutegemea kama usiku huu wa kuamkua 2026 mwaka mpya utanivuruga kisaikolojia Nilizoea kufurahia baruti za mwaka mpya lakini kwa mara ya kwanza nimehuzunika kila ninaposikia milio ya baruti, akili inarudi kwenye milio ya 29 Oktoba mwaka jana
  9. JamiiForums Tanzania Kuna video inamuonesha anayesadikika kuwa ni yule Vaileth wa Matonya akiwa katika hali mbaya na uraibu

  10. E

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali yalalamikiwa, hali mbaya katika Shule ya Msingi Mbosho Wilayani Hai

    Shule Ya Msingi Mbosho iliyopo kata ya Masama Kati Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro ni miongoni mwa Shule kongwe zilizopo Wilayani Hai. Kwa Sasa Shule hii Inakabiliwa na Uchakavu Mkubwa wa majengo ya Madarasa na Ofisi ya Waalimu. Shule hii kwa Sasa Ukiitembelea Hali yake inatisha, Majengo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwa sababu ya utawala mbaya wa CCM kila atakayefurahi Taifa stars ikifungwa weka comment hapa

    Utekaji, uuaji na ufisadi unaokwamisha maendeleo ya nchi yetu yameifanya tuichukie CCM. Taifa Stars wapigwe tu Wapigwe tu
  12. JamiiForums Tanzania Unaambiwa mauaji ya Oktoba 29 hayakuwa kwa bahati mbaya

    Mdau anasema yeye ni daktari aliekuwa likizo kabla ya uchaguzi. Alipokea SMS akielekezwa kurejea kazini kabla ya siku ya uchaguzi kwa ajili ya kujiandaa na wimbi kubwa la majeruhi litakalokuwepo siku hiyo. Mdau anaendelea kusema alikuwa akitoa risasi majeruhi na mda mwingine alilazimika...
  13. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akataa kuuza utu wake kwa hongo. Majaji hawataki kuingia kwenye rekodi mbaya. Samia akosa namna sahihi ya kuachana na kesi ya mtu huyu..!

    Ukitaka kuelewa ni kwanini risasi 42 alizopigwa Tundu Lissu Septemba 7, 2017 na 16 zikaingia mwilini mwake hazikupata ruhusa za kuondoa uhai wake, basi jibu unaweza kulipata wakati huu kwa kuangalia mtiririko wa matukio kumhusu.. Simulizi ya Wakili Dr Rugemeleza Nshala (unaweza kufuatilia...
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sativa ashitakiwa kwa kutoa taarifa za uongo. Mahakama yaombwa kutoa kibali cha kukamatwa kwake

  15. JamiiForums Tanzania Wenye Nyumba: “Nataka Mpangaji Asie na Mtoto Tu!” Huu ni Uchawi au Roho Mbaya tu?

    Kuna matangazo kibao ya nyumba ambapo dalali anasema kabisa mwenye nyumba anataka mpangaji asie na mtoto/watoto. Issue ni nini? Wivu au Roho mbaya?
  16. JamiiForums Tanzania Watanzania hatuelewi tunachotaka,ni roho mbaya tu

    *Habari wana great thinker; Mimi kwa mtazamo wangu Watanzania kinachotusumbua ni wivu wa kijinga dhidi ya viongozi na familia zao.Mathalani;watu wanamchukia samia na kumtaka atoke kwa sababu zifuatazo;Ufisadi,maisha ya kifahari ya watoto wao,utekaji,katiba mpya,uchaguzi huru na wa haki,kwamba...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Polisi msiuingie mtego wa kuzuia maandamano ya 9D ama kwa makusudi au kwa bahari mbaya.

    Wenzenu watakuwa nje ya nchi na familia zao wakiwaangalia kwenye TV, wakati ninyi mnapambana na raia ambao hata baada ya masaa ya kazi mnaenda kuishi nao huko mitaani. Mwenye masikio na asikie. Tarehe 9D siyo siku ya utani. Polisi atakayeliona onyo hili amtaarifu na mwenzie.
  18. JamiiForums Tanzania Kwa hiyo tumehamia TEC vs BAKWATA and TEC vs GOVERNMENT? HALI MI MBAYA

    Serikali mpaka sasa zimebaki siku 4 tuu kufikia 9 dec Watanzania wenzangu tusiandamane maana sasa hivi vita ni kati ya TEC na serikali ya Tanzania, BAKWATA NA TEC hii vita vya udini ni mbaya sana In God we Trust
  19. JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuendelea kulinda Amani ya Taifa la Tanzania, Matatizo yanayotokea ni mkono unateleza bahati mbaya na kupelekea chupa ya Taifa kupasuka

    Kuna haja ya kuendelea kulinda Amani ya Taifa la Tanzania, Matatizo yanayotokea ni mkono unateleza bahati mbaya na kupelekea chupa ya Taifa kupasuka Tanzania ni Taifa bora sana duniani hasa pale linapolinganishwa kinidhamu, watu wake ni wapole na wakaribu na hii ndiyo sifa kubwa tuliyo nayo...
  20. JamiiForums Tanzania Mbwana Ally Sammata, nimekudharau na sito kuheshimu, una roho mbaya na ni mnafiki we jamaaa, sijapata kuona

    Sina Imani jamaa kama ali kosa usingizi na kuwa na hofu kwa kilicho endelea baada ya internet kuzimwa, Sina Imani kama jamaa WALAU aliwaulizia washikaji wa kitaaa chake na wabongo waliopigana kumshangilia na kusapport kazi zake mpaka kufika hapo. Kuna wale watoto wa academy ya mpira waliopigwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…