mbao

  1. JamiiForums Tanzania Natafuta Meza ya Dining ya Mbao Adimu kwa bei yoyote ile

    Ndugu zangu wanaJF, Natumaini wote mu wazima. Mimi ni mpenzi wa vitu vya kipekee, vya ubora wa juu na vyenye hadhi ya kimataifa. Kwa muda sasa nimekuwa nikitafuta meza ya dining ya mbao ya asili (preferably African blackwood au mahogany) iliyo unique siyo zile zinazoonekana kila sehemu. Sitaki...
  2. JamiiForums Tanzania Mnaojua masoko ya mbao kwa jumla

    Wakuu msaada Nina mbao pic 650 mninga grade B na C...zimenidodea...zilikuwa Mbezi nimeleta Manzese hali ni ile ile Nifanyaje...wapi naweza pata mtej wa jumla
  3. JamiiForums Tanzania Ubunifu: Sanaa ya kuchoma moto mbao kwa ajili ya kupata rangi

    Rangi ni kitu muhimu sana kwenye ubunifu wowote wa mbao na mazao yake kwenye kutenhengeza vitu vingi Kuna wenye mapenzi na rangi asilia ya mbao lakini kuna wenye kupendelea rangi za kupuliza na wengine hupendelea polish tu ama cilla Sasa kuna hii teknolojia nyingine ya kuunguza ubao ama kuuchoma...
  4. JamiiForums Tanzania Ubunifu: spika za mbao halisi

  5. JamiiForums Tanzania Kampuni ya ZANREC RECYCLING tunajishughulisha na utengenezaji wa mbao na nguzo za plastiki

    Kampuni ya ZANREC RECYCLING tunajishughulisha na utengenezaji wa mbao na nguzo za plastiki, ni mbao imara na zinadum kwa mda mrefu kama ilivyo plastiki huishi zaidi ya miaka 50, mbao hizi zinatumika kawaida kama mbao zingine, uzuri wa hizi mbao haziozi, haziliwi na wadudu, pia ni rafiki kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Ubunifu: urembo wa sebuleni.. Tv show case za mbao

  7. JamiiForums Tanzania Moto Wateketeza Vibanda 30 Katika Soko la Mbao Sabasaba, Mwanza

    https://www.youtube.com/watch?v=TLSD0tQq_Es Moto ambao bado chanzo chake hakijafahamika umeunguza vibanda vya wafanyabiashara zaidi ya 30 katika soko la mbao Sabasaba Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza. Akithibitisha kutokea tukio hilo leo Jumatatu Machi 17, 2025, Kaimu Mkuu wa Jeshi la Zimamoto...
  8. JamiiForums Tanzania Je, Gharama kiasi Gani inaitajika kujenga frame ya mita za mraba 40 Kwa kutumia mbao laini.

    Habari wana JF Kwa anaejua au mwenyewe uelewa juu ya Gharama za kujenga frame ndogo kwaajili ya biashara. Kwa kutumia mbao laini anisaidie ufafanuzi tafadhar. Karibuni...
  9. JamiiForums Tanzania Ukienda kununua mbao nenda na Mita yakoo binadamu wamekuwa Simba nwdays

    SIO MBAYA wajenxi kukumbushana wapendwa Najua mpaka tunajenga tunahangaika sana sana kuweza kujenga Hizi changamoto utazikuta wakati WA ujenzi Ukiwa unaenda kununua mbao hasa pale buguruni Nenda na mtr yako..na usiwambie kama una MITA yako malizeni ku bargain sh ngapi kwa futi mkifika kupima...
  10. JamiiForums Tanzania Ubunifu wa meza sehemu ya pili: Mbao asilia.. Ufundi uliotukuka..

  11. JamiiForums Tanzania Nauza mbao za dawa buguruni

    Tunauza mbao zilizokomaa zadawa buguruni 2/2 2900 2/4 5000 1 by 8 12000 1by10 16,000 Misumali inch 4 bei 3500 Misumali ya bati ya rangi pakt kg1 bei 10,000 .. Zote hizo ni ft 12 Piga sim 0743257669
  12. JamiiForums Tanzania Part 2: Ubunifu utokanao na miti, magogo na mbao… Kazi za viwango

    Huu si ubunifu wala usanifu wa kubahatisha wala kukurupuka.. Kila mkono uliogusa mojawapo wa hizi kazi akili yake ilikuwa imetulia na roho ni nyeupe... Huwezi kufanya hizi kazi kwa ufanisi huu kama rohoni mwako na kichwani mwako umejawa na stress za kila aina ... Na hata kununua pia😀
  13. JamiiForums Tanzania Ubunifu: samaki wa mbao

  14. JamiiForums Tanzania Ubunifu; vigoda vya mbao, miti

    Hivi vigoda/stuli ni very special. Hakuna msumari hata mmoja uliotumika na bei yake ni kichaa.. Na wengi huvitumia kama urembo na si matumizi halisi ya kukalia.. Hivi havipigwi polishi bali hupakwa Silla
  15. JamiiForums Tanzania Ubunifu: vyombo vya mbao kwa kutumia miundo ya wanyama

  16. JamiiForums Tanzania Ubunifu saa za ukutani za mbao na miti

  17. JamiiForums Tanzania Kijana Mwenye kuhitaji kuwekeza kwenye soko la mbao, nguzo za umeme kwa mtaji wa milioni mbili tu nipo hapa nitamsaidia

    Vijana kama unatamani mafanikio na unamtaji mdogo na unatamani kuwa mfanya biashara mkubwa mimi kijana mwenzenu nipo hapa kukusaidia najua kuna wengine mna mitaji hamjui wapi muwekeze na mpate faida ya haraka Karibuni tuwekeze kwenye soko la miti ya mbao pamoja na nguzo za umeme Kwa mtaji...
  18. JamiiForums Tanzania Sanaa bunifu inayotokana na Mbao, masalia ya mbao, miti, magogo na mizizi ya miti

    Fenicha, urembo vitu na nyenzo mbalimbali.. Kwa wapenzi wa asili na wana mazingira
  19. JamiiForums Tanzania Manula, kaa sawa Camara anapata uraia, Taifa Stars utakalia mbao tu

    Manula, kaa sawa Camara anapata uraia, Taifa Stars utakalia mbao tu( Bechi)
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mnatumia mbao za aina gani kuezeka nyumba?

    .
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…