mbagala

Mbagala is an administrative ward in the Temeke district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. The ward lies south of the Dar es Salaam central business district. According to the 2002 census, the ward has a total population of 70,290. It is also the site of an army base, which was hit by a deadly ammunition dump explosion on April 29, 2009.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mnaposema Dar es Salaam itapata maji 100% ni ipi hiyo? Ile ya Mabwanyenye wa CCM na washirika wao? Vipi madongo poromoka kama Buza na Mbagala?

    Nina hakika mtandao maji ya Dawasa haujtandaa Dar yote. Ni baadhi ya maeneo tu ndio kuna mtanado huo Sasa hao wanaokaaa madongo poromoka mnawafikiria vipi na wao? Mtakuwa mnajaza waterbowser na kuwapelekea? Ndiyo kusema mnaposema Dar mna maanisha mnapooshi nyie mabwanyenye?
  2. JamiiForums Tanzania Bungeni: Milipuko ya mabomu Mbagala yatafuna Tsh. Bilioni 17.4

    Waziri George Simbachawene amesema Serikali ilitumia kiasi hicho kuwapa pole waliothirika na milipuko iliyotokea Aprili 29, 2009 katika Kambi ya JWTZ KJ 671 na kuua zaidi ya watu 29. Amesema wananchi 12,647 waliathirika na mlipuko huo uliosababisha huku watu kujeruhiwa na familia nyingi kukosa...
  3. JamiiForums Tanzania Mabasi 750 ya mwendokasi kuanza kazi Mbagala Machi mwakani

    Mabasi 750 Yaendayo Haraka yanatarajiwa kuanza kufanya kazi katika barabara ya Mbagala jijini Dar es Salaam, Machi 2023. Mradi huo ambao ni awamu ya pili unatarajiwa kuanza na mabasi 750 kutokana na wingi wa watu katika eneo hilo. Mradi wa mwendokasi Mbagala utasaidia kusafirisha abiria...
  4. JamiiForums Tanzania DOKEZO Wananchi wa Mbagala walalamikia DAWASA kusitisha huduma ya mwekezaji binafsi

    Wakazi wa Mitaa ya Bughudadi, Kizinga na Moringe, Kata ya Mbagala wameilalamikia Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) wa kutowatimizia mahitaji yao ya maji maeneo yote na kudai kuwa hali hiyo inawalazimu kutumia muwekezaji binafsi kupata huduma hiyo. Malalamiko hayo...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Shule ya Msingi Mbagala Kuu apandishwa kizimbani kwa kumbaka mwanafunzi wa Darasa la Sita

    Mwalimu wa Shule ya msingi Mbagala Kuu, mkazi wa Mwanamtoti aitwaye Ally Said Kaule (26) maarufu kama Sir Ally amepandishwa kizimbani katika mahakama ya wilaya ya Temeke kwa kosa la kumuingilia kingono mwanafunzi wake wa darasa la sita. Akisomewa mashtaka leo Jumanne mbele ya hakimu mkazi Aziza...
  6. JamiiForums Tanzania Majibu ya hoja za uzi kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani nitajibu humu

    Habari za muda huu wana Jf, nimeona na kusoma comments zote za uzi wa Retired wenye kichwa cha habari " Kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani? Nilichogundua watu wamekosa umakini kwa kiwango kikubwa watu wengi wanajadili bila facts na porojo nyingi sasa nimejipanga kujibu baadhi ya hoja...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani?

    Miaka nenda miaka rudi, ardhi ya Mbagala imekuwa haina thamani pamoja na kuwa na watu wengi. Nenda Goba, kivumbi, miji ya juzi. Mbagala ya zamani haina hadhi mpaka leo. kwanini?
  8. G

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Mbagala Chamazi Mbande bei m3.3

    Mtenja serious ____________ KIWANJA KINAUZWA MBAGALA CHAMAZI MBANDE BEI 💵 M3.3 KULIPA KWA AWAMU MTAA UMETULIA UDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZIPO MAJI UMEME YAPO CONTACT US 0768041126 0689357572
  9. P

    JamiiForums Tanzania Panya Road waiba na kujeruhi Kilungule Mbagala

    Hali kwa sasa ishakuwa Tete leo majira ya saa Saba usiku kundi la vijana wapatao 50 wamejeruhi watu watatu nakuiba pesa na Mali Kama tv halI ya majeruhi n mbaya Sana wapo temeke hospitali. Tunaomba serikali iwape nguvu Zaid jeshi la polisi na mgambo kwa vifaa na ujuz pia. Huku tozo huku wizi...
  10. E

    JamiiForums Tanzania SoC02 Wimbo wa Taifa la Mbagala

    Siyo ule wimbo tunaoimba huku tumesimama wima mithili ya askari anayelinda benki ya CRDB. Siyo ule wimbo ulioimbwa kabla ya Timu ya Taifa kupigwa risasi moja ya kichwa na Timu ya Taifa ya Uganda katika michuano ya  CHAN pale kwenye uwanja wa Mkapa. Siyo huo ! Huu ni wimbo  sugu unaoimbwa na...
  11. JamiiForums Tanzania Picha: Makarani wa sensa Mbagala wagoma kukatwa tozo

    Makarani wagoma kupokea 300,000 badala ya 340,000 walizotakiwa kulipwa, inasemekana kuna makato yamekatwa ya 40,000.
  12. JamiiForums Tanzania Mkata nyasi za garden natafuta kazi

    Natafuta kazi za 1; Kutunza garden 2; Kukata nyasi za garden Nina uzoefu wa miaka 4 kwenye kazi za garden Nipo Dar Mtoni kijichi 0715271246
  13. JamiiForums Tanzania Rais Kikwete tarehe 11/12/2012 alifungua jengo la hosipitali Mbagala Zakhiem, leo limechakaa

    Jengo la hospitali ya Mbagala Zakhiem lilifunguliwa na Rais Kikwete Desemba 2012, leo hii jengo hilo halifai kwa matumizi kwani lina nyufa nyingi sana, kwa ujumla limechakaa kupita kiasi likiwa na umri wa miaka 10 tu! Je, haya majengo ya Serikali hukaguliwa kila hatua ya ujenzi na mamlaka husika?
  14. JamiiForums Tanzania LATRA yalaumiwa na wanyonge wa Mbagala

    Katika hali isiyo ya kawaida, mabasi/ daladala zenye TLB inayotolewa na LATRA Mbaga mpaka GEREZANI/ Kariakoo imekuwa shamba la bibi. Kutoka kituo cha Kariakoo, Gerezani mpaka makao makuu ya LATRA ni kilometa 2 tu lakini Daladala zikifika kariakoo siti za kukaa ni shilingi 1000 na kusimama ni...
  15. JamiiForums Tanzania Trafiki: Abiria wa Makumbusho-Posta wastaarabu siyo kama wale wa ruti ya Mbagala

    "Utakuta watu wa route hii ya Makumbusho Posta wana ustaarabu, akikuta gari limejaa kwanza hapandi, tofauti na route za Mbagala, hata mwonekano wa kondakta na dereva wa gari la Posta uko smart, "- Sgt Amin Iddi, Traffic Dar. "Umepanda pikipiki dereva anaenda isivyo wewe unashindwa kumwambia...
  16. JamiiForums Tanzania Mbagala kulamba asali kesho, kuanza kutumia mabasi ya mwendokasi

    Wananchi wa Mbagala Rangi Tatu Kesho mtaanza rasmi kutumia mabasi ya mwendokasi kutoka Mbagala Hadi viwanja vya Sabasaba yanapofanyika maonyesho ya kimataifa ya biashara ya Dar es Salaam.
  17. JamiiForums Tanzania Miundombinu ya kuwezesha usalama kwa Watu wa Mbagala upoje?

    Hivi maeneo ya Mbagala, muda wa usiku kuna mataa ya kutosha mtaani au ni giza giza. Usalama kwa ujumla ukoje hususan maeneo ya ndanindani?
  18. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli tuna Waziri wa Ujenzi? Maana hoi barabara ya Mbagala Mwendokasi ni hatarishi

    Nashangaa kuona UJENZI WA hovio WA BARABARA mwendo Kasi kwenda Mbagala iko hovio. Injinia WA mkoa, wilaya as if wao wanaishi mbinguni, hawaoni hawaioni hiyo adha ya hiyo BARABARA. Tunaomba wafike saiti waangalie.
  19. JamiiForums Tanzania Mbagala Vs Gongo la Mboto

    Habari za jioni Kuna kaubishani kametokea site, sasa vijana wameshiba wanabishana kati ya Mbagala na Gongo la Mboto ipi kubwa zaidi? Kwa anayejua ningependa kufahamu Thank you
  20. JamiiForums Tanzania Mliokuwa mkisema Manula anafungwa Tegeta na Mbagala hii Kauli bado mnayo au mmeshaifuta kwa Kiwango chake Kikubwa na cha Kimataifa?

    Ndani ya Masaa Matatu ya leo nimepishana na Mawakala Watatu Mmoja wa PSG ya Ufaransa, mwingine wa FC Barcelona ya Hispania na wa mwisho ni wa Klabu yangu pendwa ya Liverpool FC ya nchini Uingereza wote Wakihaha kutaka Kuonana na Viongozi wa Klabu ya Simba ili wamsajili Kipa Namba Moja kwa sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…